Kwanini wataalamu wengi wanashauri usile vitunguu swaumu zaidi ya punje mbili kwa siku?

Kwanini wataalamu wengi wanashauri usile vitunguu swaumu zaidi ya punje mbili kwa siku?

Reduction of west circumference ni sawa na kukonda kidogo? Maana Mimi nimepungua ghafla baada kufululiza kutafuna hii kitu
 
Hii imekaaja kitaalamu? Je nikila punje tano kwa siku au nikatafuna puje tano papo hapo nitapatwa na nini?

Nahitaji kujua wataalamu maana mimi natafunaga tu hata kile kizima naweza tafuna punje zote, kumbe inawezekana nakosea?

Je kwa kufanya hivyo kuna madhara gani?
Tegemea kichwa kuburst , kupumua kwa shida nk.
 
Back
Top Bottom