Kwanini Watanzania huwa wana "feel at home" mara tu baada ya kuingia USA?

Tanzania ushoga ,usagaji na ndoa za jinsia moja hauko kwenye sheria za nchi

Marekani wamehalalisha na wanalazimisha nchi kupewa mikopo au misaada lazima ikubali ushoga,usagaji na ndoa za jinsia moja

Wamelaaniwa hao
Kwani kuna mtu anaye zalimisha mtu awe shoga?

Au ni maamuzi ya mtu kuwa shoga?

Mbona unafanya Generalization zisizo na mantiki?

Kwamba Raia wote wa Marekani ni mashoga?

Nakwambia hivi [emoji116]

Hakuna uhusiano wowote wa nchi ya mtu na mtu kuwa shoga.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ukweli kwa mtu aliyetoka mazingira magumu na duni ukifika USA kila kitu kunaonekana supa na watu wanaingia katika happy mood kwani kwa mtu aliyotoka Buguruni Mapipa hapo akifika mamtoni kuna mengi mno ya ku enjoy lakini baada ya muda mrefu mambo huwa kawaida.
 
Haniiiii.....🎶
Hanniiiii.......🎻
Heheeeheee.....😜
Alafu mziki unaisha...😏
 
umepangiwa A-Level shule gani? au ndiyo kwisha habari yake
 
Tanzania ili ufanikiwe lazima upite kwenye mifumo ile ile ya rushwa,wizi, uhujumu uchumi na ukwepaji kodi.

Wengi wa walio fanikiwa hapa Tanzania kwa njia halali ni wachache sana.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Uongo

Nyumba zote nzuri unazoziona Tanzania nzima ni rushwa wizi,uhujumu uchumi,na ukwepaji kodi?
Mamilioni ya magari mazuri ya private ya kutembelea unayoyaona barabarani yote ni
rushwa wizi,uhujumu uchumi,na ukwepaji kodi?

Mamilioni ya watu unakutana nao Tanzania nzima wana afya nzuri na maisha mazuri na mavazi mazuri na wana furaha wote wala rushwa wizi,uhujumu uchumi,na ukwepaji kodi?

Wanaoona na ku feel at home Marekani wengi ni walioshindwa kutoboa kimaisha Tanzania hiyo wala sio siri.Ni ukweli ulio wazi
 
Hakika.
 
Sawa chagua wimbo!
 
Kwani kuna mtu anaye zalimisha mtu awe shoga?

Au ni maamuzi ya mtu kuwa shoga?
Marekani inalazimisha nchi zitake zisitake wakubali ushoga,usagaji na ndoa za jinsia moja Tatizo linaanzia hapo

Ndio maana nasema Marekani wamelaaniwa
 
Tatizo lako unataka ubishi ila sio uhalisia wa vitu ulivyo kwa ground.

Nakwambia hivi,

Mtanzania wa kipato cha chini hutumia nguvu kubwa mno kulinganisha thamani ya pesa anayo ipata.

Kuna Uzi uko hapa JF una onesha mishahara ya wafanyakazi wengi wa kitanzania uki convert kwenye US Dollar ($) ni kituko...

Kipato hicho ana Earn dogo wa part time jobs in USA.



Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Marekani inalazimisha nchi zitake zisitake wakubali ushoga,usagaji na ndoa za jinsia moja Tatizo linaanzia hapo

Ndio maana nasema Marekani wamelaaniwa
Hawalazimishi mtu kuwa shoga.

Wana tetea haki za wale ambao tayari ni mashoga.

Sasa wewe unataka mashoga wauwawe

Wakati kila mtu ana haki ya kuishi.




Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Sio ubishi kodi ya nyumba miji mingi UsA ni sawa na pesa za kitanzania milioni mbili kwa mwezi

Tanzania kodi za nyumba ziko chini.Utalinganishaje mishahara ya USA na Tanzania wakati gharama za maisha ziko juu mno USA? Tanzania ziko chini

Gharama za maisha haziko sawa.

Marekani pesa nyingi lakini zinaishia tu kupanga tu kula na kulala wengi hawana uwezo wa kumiliki nyumba au kununua kiwanja wanakufa wapangaji kwenye apartments

Kwetu hata mama nitilie tu unakuta ana kwake kajenga vyumba hata viwili vya kumsitiri.Hafii nyumba ya kupanga kama USA Sawa haviko level ya USA lakini ana kwake anakokuita kwangu mwenyewe
 
Yaani wewe ni lishamba la mwisho hivi tanzania ni nchi au dampo ulinganishe Tanzania kisa mo anaishi Tanzania ndio na wewe ulivyokua zoba useme Tanzania ni nchi ya Raha hivi Kuna mtu asiejua kwamba Tanzania inanuka kama mishoga ipo kibao tena SSA hivi Hadi unafanya part acha uzwazwa
 
Tafuta hela uache chuki na nchi zilizoendelea Tanzania Kuna mishoga kibao tena inajulikana mpaka part inafanya Sasa wewe nchi kama Tanzania inanuka njaa ulinganishe na USA hivi wengine mnakua humu jamii forum kukua sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…