Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
Hata mimi nilivyofika MIAMI Florida dah i was feel like I'm just dah yan ebwana dagh......
US msifananishe na kwengine
US msifananishe na kwengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Tanzania ukiacha sehemu mtu alipozaliwa sehemu pekee ambayo mtu akiwa anajifeel at home ni Dar es salaam.Sababu kuu inaweza kuwa nini wadau? how comes mtu upo kwenye " strange land" but still you feel at home. Hata ' home sickness' hakuna!!!
Mimi sababu ninazo zihisi ni 2, mosi ;kwa sababu mhusika anakuwa tayari yupo Marekani kiakili ( mentally) kwa muda mrefu so anapo fika Marekani physically anakuwa tayari alisha kuwa 'mwenyeji' hapo Marekani.
Pili : ni inferiority complex; huyu mtu ana feel proud kuwa kwenye nchi kama Marekani. Ndio maana wengi huwa wanafikia mpaka hatua ya kubadilisha accent. Mwamba kakulia mjini Daslam but miezi sita baada ya kukanyaga ardhi ya Marekani anaanza ku speak ' ebonic' kwa sababu anataka kuji assimilate na wamarekani, anataka kuwa addressed kama " Mmarekani"
Kuna jamaa yangu mmoja alienda Marekani mwaka 2008 kwa programe ya fullbright fellowship. Kwanza kabla hajaenda story zake zilikuwa " aisee nikifika Marekani ntapiga nondo nyie!!" mweeeh kwani hizo nondo huwezi kupiga ukiwa hapa hapa mjini daslamu?
Jamaa akaenda akarudi mwaka 2009, story zake zina taja matukio ya " D.C, Jersey, etc.
Akiwa anafanya kazi kwenye internet cafe net kazi inakuwa kumu harrass mtoa huduma. " Afrika mbona internet yenu ipo slow sana nyie, Marekani ukiwa na cyber yenye internet slow kama hii hupati customers kabisa. Marekani hatujazoea kabisa vitu kama hivi" Mweeh " hamjazoea wewe na nani?"
Mwezi wa kumi na moja, mwaka 2002 sista angu aliniita kula likizo Marekani. I was 17 years old ndo nilikuwa nimemaliza kidato cha nne. Nilikaa hadi January nikarudi. Story zilizagaa mtaani kwamba naenda kiwanja. Nilikula mademu mpaka ambao sikuwatarajia. Nilipo rudi nikawala zaidi. ( Na walikuwa ni mademu mademu kweli sio malaya! w ala watu wazima wenye michirizi na alama kati kati ya mapaja. walikuwa ni age mates wangu, ninao wazidi kidogo na wanao nizidi kidogo. Am talking about the 14,15,16,17,18, 19 years old gals.
Niliporudi kuna baadhi ya wana walinitenga kwa sababu waliona nnaringa. Kuna mwamba mmoja alikuwaga na story za kuzamia tangu miaka ya tisini( alikuwa rafiki yake na brother) Huyu akageuka kuwa chawa wangu, siku nzima kuniuliza tu story za mtoni.. Alikuwaga na emails kibao anawasiliana na watu mara sijui vyuo wanasema watampeleka mtoni.
Kuna jamaa walimtengeneza akajaa akawatumia laki tatu wamvute Marekani. Hiyo laki tatu aliwapa wakiwa katika ya mwisho kabisa na ilikuwa ni malipo ya kupewa visa( Alipigwa).
Ilikuwa mwaka 2003 mwanzoni, kama kesho yake ndo anaenda kuchukua " visa" akawa anatamba mtaani, " kabla inda club haijashuka chati nitakuwa mtoni"
Back to the question why do most Tanzanians and Africans at large feel at home in the US?
Dada angu ambae yupo USA tangu mwaka 97 sasa anafikiria kurudi Tanzania kumalizia maisha yake Tanzania.
Hakuna nchi duniani ina wagonjwa wengi wa pressure kama Marekani.Maisha kule sio mchezo.Lazima pressure ipande.Yaani wewe ni lishamba la mwisho hivi tanzania ni nchi au dampo ulinganishe Tanzania kisa mo anaishi Tanzania ndio na wewe ulivyokua zoba useme Tanzania ni nchi ya Raha hivi Kuna mtu asiejua kwamba Tanzania inanuka kama mishoga ipo kibao tena SSA hivi Hadi unafanya part acha uzwazwa
Mkuu wewe uliji feel at home Marekani?Sababu kuu inaweza kuwa nini wadau? how comes mtu upo kwenye "strange land" but still you feel at home. Hata ' home sickness' hakuna!
Mimi sababu ninazo zihisi ni 2, mosi ;kwa sababu mhusika anakuwa tayari yupo Marekani kiakili (mentally) kwa muda mrefu so anapo fika Marekani physically anakuwa tayari alisha kuwa 'mwenyeji' hapo Marekani.
Pili : ni inferiority complex; huyu mtu ana feel proud kuwa kwenye nchi kama Marekani. Ndio maana wengi huwa wanafikia mpaka hatua ya kubadilisha accent. Mwamba kakulia mjini Daslam but miezi sita baada ya kukanyaga ardhi ya Marekani anaanza ku speak ' ebonic' kwa sababu anataka kuji assimilate na wamarekani, anataka kuwa addressed kama "Mmarekani"
Kuna jamaa yangu mmoja alienda Marekani mwaka 2008 kwa programe ya fullbright fellowship. Kwanza kabla hajaenda story zake zilikuwa "aisee nikifika Marekani ntapiga nondo nyie!!" mweeeh kwani hizo nondo huwezi kupiga ukiwa hapa hapa mjini daslamu?
Jamaa akaenda akarudi mwaka 2009, story zake zina taja matukio ya " D.C, Jersey, etc.
Akiwa anafanya kazi kwenye internet cafe net kazi inakuwa kumu harrass mtoa huduma. " Afrika mbona internet yenu ipo slow sana nyie, Marekani ukiwa na cyber yenye internet slow kama hii hupati customers kabisa. Marekani hatujazoea kabisa vitu kama hivi" Mweeh " hamjazoea wewe na nani?"
Mwezi wa kumi na moja, mwaka 2002 sista angu aliniita kula likizo Marekani. I was 17 years old ndo nilikuwa nimemaliza kidato cha nne. Nilikaa hadi January nikarudi. Story zilizagaa mtaani kwamba naenda kiwanja. Nilikula mademu mpaka ambao sikuwatarajia. Nilipo rudi nikawala zaidi. (Na walikuwa ni mademu mademu kweli sio malaya! w ala watu wazima wenye michirizi na alama kati kati ya mapaja. walikuwa ni age mates wangu, ninao wazidi kidogo na wanao nizidi kidogo.
Niliporudi kuna baadhi ya wana walinitenga kwa sababu waliona nnaringa. Kuna mwamba mmoja alikuwaga na story za kuzamia tangu miaka ya tisini (alikuwa rafiki yake na brother). Huyu akageuka kuwa chawa wangu, siku nzima kuniuliza tu story za mtoni.. Alikuwaga na emails kibao anawasiliana na watu mara sijui vyuo wanasema watampeleka mtoni.
Kuna jamaa walimtengeneza akajaa akawatumia laki tatu wamvute Marekani. Hiyo laki tatu aliwapa wakiwa katika ya mwisho kabisa na ilikuwa ni malipo ya kupewa visa (Alipigwa).
Ilikuwa mwaka 2003 mwanzoni, kama kesho yake ndo anaenda kuchukua "visa" akawa anatamba mtaani, "kabla inda club haijashuka chati nitakuwa mtoni"
Back to the question why do most Tanzanians and Africans at large feel at home in the US?
Dada angu ambae yupo USA tangu mwaka 97 sasa anafikiria kurudi Tanzania kumalizia maisha yake Tanzania.
kwahiyo Tanzania hamna wagonjwa wa pressure au naona haujielewiHakuna nchi duniani ina wagonjwa wengi wa pressure kama Marekani.Maisha kule sio mchezo.Lazima pressure ipande.
Stunning as it may sound, nearly half of Americans ages 20 years and up – or more than 122 million people – have high blood pressure, according to a 2023 report from the American Heart Association.17 Feb 2023
Kabisa mkuu.Mkuu wewe uliji feel at home Marekani?
Mimi dunia nzima ni nyumbani kwangu. Sijivungi.
Sasa najiandaa kwenda Japan.
Uongo mtupuSababu kuu inaweza kuwa nini wadau? how comes mtu upo kwenye "strange land" but still you feel at home. Hata ' home sickness' hakuna!
Mimi sababu ninazo zihisi ni 2, mosi ;kwa sababu mhusika anakuwa tayari yupo Marekani kiakili (mentally) kwa muda mrefu so anapo fika Marekani physically anakuwa tayari alisha kuwa 'mwenyeji' hapo Marekani.
Pili : ni inferiority complex; huyu mtu ana feel proud kuwa kwenye nchi kama Marekani. Ndio maana wengi huwa wanafikia mpaka hatua ya kubadilisha accent. Mwamba kakulia mjini Daslam but miezi sita baada ya kukanyaga ardhi ya Marekani anaanza ku speak ' ebonic' kwa sababu anataka kuji assimilate na wamarekani, anataka kuwa addressed kama "Mmarekani"
Kuna jamaa yangu mmoja alienda Marekani mwaka 2008 kwa programe ya fullbright fellowship. Kwanza kabla hajaenda story zake zilikuwa "aisee nikifika Marekani ntapiga nondo nyie!!" mweeeh kwani hizo nondo huwezi kupiga ukiwa hapa hapa mjini daslamu?
Jamaa akaenda akarudi mwaka 2009, story zake zina taja matukio ya " D.C, Jersey, etc.
Akiwa anafanya kazi kwenye internet cafe net kazi inakuwa kumu harrass mtoa huduma. " Afrika mbona internet yenu ipo slow sana nyie, Marekani ukiwa na cyber yenye internet slow kama hii hupati customers kabisa. Marekani hatujazoea kabisa vitu kama hivi" Mweeh " hamjazoea wewe na nani?"
Mwezi wa kumi na moja, mwaka 2002 sista angu aliniita kula likizo Marekani. I was 17 years old ndo nilikuwa nimemaliza kidato cha nne. Nilikaa hadi January nikarudi. Story zilizagaa mtaani kwamba naenda kiwanja. Nilikula mademu mpaka ambao sikuwatarajia. Nilipo rudi nikawala zaidi. (Na walikuwa ni mademu mademu kweli sio malaya! w ala watu wazima wenye michirizi na alama kati kati ya mapaja. walikuwa ni age mates wangu, ninao wazidi kidogo na wanao nizidi kidogo.
Niliporudi kuna baadhi ya wana walinitenga kwa sababu waliona nnaringa. Kuna mwamba mmoja alikuwaga na story za kuzamia tangu miaka ya tisini (alikuwa rafiki yake na brother). Huyu akageuka kuwa chawa wangu, siku nzima kuniuliza tu story za mtoni.. Alikuwaga na emails kibao anawasiliana na watu mara sijui vyuo wanasema watampeleka mtoni.
Kuna jamaa walimtengeneza akajaa akawatumia laki tatu wamvute Marekani. Hiyo laki tatu aliwapa wakiwa katika ya mwisho kabisa na ilikuwa ni malipo ya kupewa visa (Alipigwa).
Ilikuwa mwaka 2003 mwanzoni, kama kesho yake ndo anaenda kuchukua "visa" akawa anatamba mtaani, "kabla inda club haijashuka chati nitakuwa mtoni"
Back to the question why do most Tanzanians and Africans at large feel at home in the US?
Dada angu ambae yupo USA tangu mwaka 97 sasa anafikiria kurudi Tanzania kumalizia maisha yake Tanzania.
Black Lives Matter movements, I can’t breathe, taking the knee , zisingekuwepoHaki ni muhimu kuliko hizo pesa.
Wachache sanakwahiyo Tanzania hamna wagonjwa wa pressure au naona haujielewi
[emoji16][emoji16][emoji106][emoji106]Sasa mkuu unataka kufananisha USA na Tanzania yenye laana?
Wana "Feel at home" kwa sababu wamevua laana ya Utanzania.
Uafrika hasa utanzania ni laana.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hata sasa kuna washambaIlikua ivo ivo hata kwa dar miaka ya tisini na 2000s, watu wakija kwetu kijijini wanatumbia mbona uku kuna mbu utazani dar kuna nyuki tuu, kuna ndugu yetu alienda dar miaka iyo kurudi eti hajui kutwanga unga wa muhogo, shenz typically, HUA NI KAUSHAMBA FLANI KALIKO PEWA JINA LA KIZUNGU (EXPOSURE), sijui kama nimepatia.
Ni kweli Tanzania washamba wengi mmoja wapo wewe kuponda taifa lilokuzidi mara 1000000 hujioni kama bonge la rofa na mshamba eti umekaa kabisa unaiponda marekani USA mzee hao jamaa hata ukiponda vipi watabaki juu milele🤣🤣🤣🤣🤣Hata sasa kuna washamba
Akiondoka kwenda USA for the first time anavaa suti ya uhakika
Msubiri siku akirudi kavaa kikaptula kitishirt na kikofia na makobazi
Utasikia uku nyie washamba USA kuvaa sio kitu cha maana sana ushamba wenu ndio unawasumbua
Nguo waweza vaa yoyote
Huku washamba wengi
Maskini akipata ma.......hulia mbwata
Mkuu wewe uliji feel at home Marekani?
Mimi dunia nzima ni nyumbani kwangu. Sijivungi.
Sasa najiandaa kwenda Japan.
Hongera mkuu kwa kuondoka kwenye Laana.Marekani acha itwe marekani tu , hii nchi inatupa fursa wengine tuna move forward mfano mimi nimemaliza chuo 2015 mpak natoka Bongo ajira hakuna, hio 2021. Sasa nimekuja huku mishe kibao Za kufanya opportunities ni nyingine within two years niko mbali sana..