Kwanini Watanzania huwa wana "feel at home" mara tu baada ya kuingia USA?

Hata mimi nilivyofika MIAMI Florida dah i was feel like I'm just dah yan ebwana dagh......
US msifananishe na kwengine
 
Hata Tanzania ukiacha sehemu mtu alipozaliwa sehemu pekee ambayo mtu akiwa anajifeel at home ni Dar es salaam.

Mtu aliyezaliwa njombe akiwa mtwara hawezi ji feel home kama akiwa Dar es salaam

Hivo hivo Duniani mtu akiwa US anajifeel home tofauti na akiwa China, korea nk, atleast UK

Sababu ni nini , sifahamu ila ndio ipo hivo
 
Hakuna nchi duniani ina wagonjwa wengi wa pressure kama Marekani.Maisha kule sio mchezo.Lazima pressure ipande.

Stunning as it may sound, nearly half of Americans ages 20 years and up – or more than 122 million people – have high blood pressure, according to a 2023 report from the American Heart Association.17 Feb 2023
 
Waafrika wako wa kutosha ndio mana unajihisi umefika home. Nenda Uchina au Uarabuni ni tofauti
 
Mkuu wewe uliji feel at home Marekani?

Mimi dunia nzima ni nyumbani kwangu. Sijivungi.

Sasa najiandaa kwenda Japan.
 
kwahiyo Tanzania hamna wagonjwa wa pressure au naona haujielewi
 
Uongo mtupu
 
kwahiyo Tanzania hamna wagonjwa wa pressure au naona haujielewi
Wachache sana

Marekani kati ya watu wawili mmoja ana pressure. Tanzania hakuna hiyo.Hatuna mambo ya kutupa pressure kama wamarekani au waishio Marekani kutoka nchi zetu

Kule lazima uwe na pesa kuishi .Tanzania sio lazima mtu aweza kuwa hela hana anakula chakula chake kajilimia shambani kwake

Marekani asilimia kubwa hela huna jiandae kupata pressure mapema kabla jogoo kuwika
 
Ilikua ivo ivo hata kwa dar miaka ya tisini na 2000s, watu wakija kwetu kijijini wanatumbia mbona uku kuna mbu utazani dar kuna nyuki tuu, kuna ndugu yetu alienda dar miaka iyo kurudi eti hajui kutwanga unga wa muhogo, shenz typically, HUA NI KAUSHAMBA FLANI KALIKO PEWA JINA LA KIZUNGU (EXPOSURE), sijui kama nimepatia.
 
Hata sasa kuna washamba

Akiondoka kwenda USA for the first time anavaa suti ya uhakika

Msubiri siku akirudi kavaa kikaptula kitishirt na kikofia na makobazi

Utasikia uku nyie washamba USA kuvaa sio kitu cha maana sana ushamba wenu ndio unawasumbua

Nguo waweza vaa yoyote

Huku washamba wengi
Maskini akipata ma.......hulia mbwata
 
Ni kweli Tanzania washamba wengi mmoja wapo wewe kuponda taifa lilokuzidi mara 1000000 hujioni kama bonge la rofa na mshamba eti umekaa kabisa unaiponda marekani USA mzee hao jamaa hata ukiponda vipi watabaki juu milele🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe ndio utwambie kwanini watu wanaondaga USA huwa wanafeel at home kwa sababu tayari ushawahi kuwa huko
 
Marekani acha itwe marekani tu , hii nchi inatupa fursa wengine tuna move forward mfano mimi nimemaliza chuo 2015 mpak natoka Bongo ajira hakuna, hio 2021. Sasa nimekuja huku mishe kibao Za kufanya opportunities ni nyingine within two years niko mbali sana..
 
Hongera mkuu kwa kuondoka kwenye Laana.

Uafrika hasa utanzania ni laana.

Sasa umevua laana na kujitakasa.

Bongo for vacation only.

USA for life.



Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…