Kwanini Watanzania huwa wana "feel at home" mara tu baada ya kuingia USA?

Hongera mkuu kwa kuondoka kwenye Laana.

Uafrika hasa utanzania ni laana.

Sasa umevua laana na kujitakasa.

Bongo for vacation only.

USA for life.



Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app

Sasa watu wanalinganisha na Bongo nchi shida tupu watu wanakandamizwa vijana wanakuwa chawa tu , fursa hakuna kweli Bongo ni Vacation tu
 
Kw a sababu kule kunautawala wa sheria na haki za binadamu tofauti na hapa kila kitu kiko hovyohovyo tu
Na zile mass shooting huwa zinatokea mara kwa mara,unaziongeleaje. Naona kama unataka kutuaminisha kuwa Marekani ni safe paradise.
 
Fursa zipo nyingi labda unamaanisha kuajiriwa.

Kusoma,kupata mkopo Kwenye banks, pia pesa ina thamani sana mfano huku mtu unalipwa kila baada ya wiki mbili na pesa Yao ina thamani sana unaweza wekeza Bongo au huku watu wana project Za Real Estate, insurance, Health industry, opportunities ni nyingi pia hakuna Rushwa wala kujuana
 
Sema baadhi ya Watanzania sio wote hasa malofa walioshindwa kutoboa kimaisha Tanzania ndio hu feel at home Marekani baada ya kushindwa kutoboa kimaisha Tanzania
Acha dharau ndugu. Nchi yako yenye upuuzi wa kila aina inashindwa hata na Kenya ambao wanapokea pesa kutoka Paypal. Ungekuwa karibu ningekutoa pua na kukupiga tatoo ya Paypal. nakosa pesa hivi hivi kwasbabu ya li nchi ya kisengerema.
Huo ulofa wenu mpaka unawaona watu wengine ni malofa. Kutoboa Tanzania ni kazi ngumu sana. Unafikiri fursa ngapi zinatupita mtandaoni?
Wewe jamaa msengelema sana. Li nchi lenyewe la ovyo, bora hata mtu anayeishi Kenya. Marekani ni raha sana maana una fursa nyingi hata unaweza kupokea pesa na kutoa kwa Paypal. Baki na li nchi lako la kisengerema ambalo unaishi kama upo chooni. Tanzania ni laana
 
Mo Dewji kasoma marekani kaishi Marekani lakini ana feel at home Tanzania .Ubilionea wote kaupatia Tanzania. Utamwambia a feel at home marekani?

Malofa walioshindwa kutoboa kimaisha Tanzania ndio hu feel at home Marekani
Usiandike vitu usivyovielewa, Mo Dewji siyo self made Millionaire/Billionaire.

Baba yake Mzee Ghullum Dewji yupo hai Mo Dewji pesa amezikuta na makampuni ameyakuta.

Alichofanya Mo Dewji baada ya kusomeshwa Chuo bora duniani sasa elimu anafanya implementation kwa vitendo kuongeza utajili wa familia yao.
 
Kila Mtanzania ana wazazi wake.Wakati wazazi wa Dewji walikuwa wakichacharika kuhakikisha watoto wao wana feel at home Tanzania hao wazazi wa hao wakimbilia Marekani mfano walikuwa wakifanya nini cha maana hadi kusababisha watoto waona waka feel at home Marekani sio Tanzania kama Mo Dewji?
 

Nchi ya Tanzania sijui itakombolewa na nani
 
Hilo ni la kwako, Mimi nimekuweka sawa ujuwe kwamba Mo Dewji hajawahi kutafuta mtaji wa biashara usidanganye watu.

Mo Dewji amesomeshwa shule bora na Chuo bora Marekani na baba yake Mzee Ghullum Dewji.

Mali amezikuta na makampuni ameyakuta, anachokifanya Mo Dewji ni kutumia sasa usomi wake kutake off mpaka anaingia huko Forbes.

Kuna matycoon kama Bakhressa huyu ni self made Billionaire na huwezi kumuona huko Forbes wala kushobokea media.
 
Mtu aliyetoboa kimaisha na kufanikiwa kimaisha Tanzania hawezi hata siku moja kwenda ku feel at home Marekani
Akili zako unazijuwa mwenyewe, hao ndio wananunuwa property kabisa USA kama Apartment kwa mfano.

Kama Jakaya Kikwete hajatobowa basi nitakubaliana na wewe.
 
Akili zako unazijuwa mwenyewe, hao ndio wananunuwa property kabisa USA kama Apartment kwa mfano.

Kama Jakaya Kikwete hajatobowa basi nitakubaliana na wewe.
Wanapangisha mbona hawaishi huko..Muda mwingi wako Tanzania.Wengine hizo nyumba ni holiday homes tu.Huenda mara moja kwa mwaka likizo au mapumziko.Tu lakini sehemu wanayo feel at home ni Tanzania sio.Marrekani.

Wamenunua mijumba tu kama vitega uchumi tu lakini kutwa wako Tanzania ndiko wana feel at home
 
Lema kaenda canada sijui karudi anatukana boda boda na miundo mbinu yetu[emoji23]
 
Mo Dewji kasoma marekani kaishi Marekani lakini ana feel at home Tanzania .Ubilionea wote kaupatia Tanzania. Utamwambia a feel at home marekani?

Malofa walioshindwa kutoboa kimaisha Tanzania ndio hu feel at home Marekani
Mkuu kwani mtu akitamba anaishi marekan kuna ubaya gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…