Mkuu mbona kama ishu ya watu kuishi mbele ,inakutoa mapovu sana?Marekani ni Sodoma na Gomora wao ndio wamelaaniwa kwa kuruhusu ushoga,usagaji na ndoa za jinsia moja
Tanzania upumbavu huo na laana hizo hatutaki
Wasema Marekani imebarikiwa labda ni mashoga ,wasagaji na watu ndoa za jinsia moja
Watanzania tumebarikiwa sisi sio.sodoma na ghomora kama Marekani
Tena mara nyingi wanafanikiwa uzeeni kabsa karibu na kifo.Usifananishe mabilionea wakubwa waliokuta utajiri wa wazazi wao na mtanzania wa kawaida anaye tokea familia ya kimaskini ambaye mpaka aje kutoboa ana tumia nguvu kubwa mno.
Nguvu anayo tumia mtanzania wa hali ya chini kufanikiwa akiwa Tanzania ni kubwa mno kulinganisha na thamani ya pesa anayo ipata.
Mifumo ya Tanzania imejaa Rushwa, kujuana na wizi, Sasa mtu wa hali ya chini ambaye hana pesa za kuhonga unafikiri ni rahisi kwake kufanikiwa haraka?
USA mifumo yake inaruhusu hata mtu wa kipato cha chini, ku hustle na kufanikiwa.
Tanzania ili ufanikiwe lazima upite kwenye mifumo ile ile ya rushwa,wizi, uhujumu uchumi na ukwepaji kodi.
Wengi wa walio fanikiwa hapa Tanzania kwa njia halali ni wachache sana.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Nmeshangaa sana huyu mwamba.Tafuta hela uache chuki na nchi zilizoendelea Tanzania Kuna mishoga kibao tena inajulikana mpaka part inafanya Sasa wewe nchi kama Tanzania inanuka njaa ulinganishe na USA hivi wengine mnakua humu jamii forum kukua sio
Kwani Warusi wa Ngara wao wanasemaje?Sababu kuu inaweza kuwa nini wadau? how comes mtu upo kwenye "strange land" but still you feel at home. Hata ' home sickness' hakuna!
Mimi sababu ninazo zihisi ni 2, mosi ;kwa sababu mhusika anakuwa tayari yupo Marekani kiakili (mentally) kwa muda mrefu so anapo fika Marekani physically anakuwa tayari alisha kuwa 'mwenyeji' hapo Marekani.
Pili : ni inferiority complex; huyu mtu ana feel proud kuwa kwenye nchi kama Marekani. Ndio maana wengi huwa wanafikia mpaka hatua ya kubadilisha accent. Mwamba kakulia mjini Daslam but miezi sita baada ya kukanyaga ardhi ya Marekani anaanza ku speak ' ebonic' kwa sababu anataka kuji assimilate na wamarekani, anataka kuwa addressed kama "Mmarekani"
Kuna jamaa yangu mmoja alienda Marekani mwaka 2008 kwa programe ya fullbright fellowship. Kwanza kabla hajaenda story zake zilikuwa "aisee nikifika Marekani ntapiga nondo nyie!!" mweeeh kwani hizo nondo huwezi kupiga ukiwa hapa hapa mjini daslamu?
Jamaa akaenda akarudi mwaka 2009, story zake zina taja matukio ya " D.C, Jersey, etc.
Akiwa anafanya kazi kwenye internet cafe net kazi inakuwa kumu harrass mtoa huduma. " Afrika mbona internet yenu ipo slow sana nyie, Marekani ukiwa na cyber yenye internet slow kama hii hupati customers kabisa. Marekani hatujazoea kabisa vitu kama hivi" Mweeh " hamjazoea wewe na nani?"
Mwezi wa kumi na moja, mwaka 2002 sista angu aliniita kula likizo Marekani. I was 17 years old ndo nilikuwa nimemaliza kidato cha nne. Nilikaa hadi January nikarudi. Story zilizagaa mtaani kwamba naenda kiwanja. Nilikula mademu mpaka ambao sikuwatarajia. Nilipo rudi nikawala zaidi. (Na walikuwa ni mademu mademu kweli sio malaya! w ala watu wazima wenye michirizi na alama kati kati ya mapaja. walikuwa ni age mates wangu, ninao wazidi kidogo na wanao nizidi kidogo.
Niliporudi kuna baadhi ya wana walinitenga kwa sababu waliona nnaringa. Kuna mwamba mmoja alikuwaga na story za kuzamia tangu miaka ya tisini (alikuwa rafiki yake na brother). Huyu akageuka kuwa chawa wangu, siku nzima kuniuliza tu story za mtoni.. Alikuwaga na emails kibao anawasiliana na watu mara sijui vyuo wanasema watampeleka mtoni.
Kuna jamaa walimtengeneza akajaa akawatumia laki tatu wamvute Marekani. Hiyo laki tatu aliwapa wakiwa katika ya mwisho kabisa na ilikuwa ni malipo ya kupewa visa (Alipigwa).
Ilikuwa mwaka 2003 mwanzoni, kama kesho yake ndo anaenda kuchukua "visa" akawa anatamba mtaani, "kabla inda club haijashuka chati nitakuwa mtoni"
Back to the question why do most Tanzanians and Africans at large feel at home in the US?
Dada angu ambae yupo USA tangu mwaka 97 sasa anafikiria kurudi Tanzania kumalizia maisha yake Tanzania.
Mkuu unafikiria kwel unachokiandika?Mtu aliyetoboa kimaisha na kufanikiwa kimaisha Tanzania hawezi hata siku moja kwenda ku feel at home Marekani
Hilo ni la kwako, Mimi nimekuweka sawa ujuwe kwamba Mo Dewji hajawahi kutafuta mtaji wa biashara usidanganye watu.
Mo Dewji amesomeshwa shule bora na Chuo bora Marekani na baba yake Mzee Ghullum Dewji.
Mali amezikuta na makampuni ameyakuta, anachokifanya Mo Dewji ni kutumia sasa usomi wake kutake off mpaka anaingia huko Forbes.
Kuna matycoon kama Bakhressa huyu ni self made Billionaire na huwezi kumuona huko Forbes wala kushobokea media.
umeeleweka vyemaUsifananishe mabilionea wakubwa waliokuta utajiri wa wazazi wao na mtanzania wa kawaida anaye tokea familia ya kimaskini ambaye mpaka aje kutoboa ana tumia nguvu kubwa mno.
Nguvu anayo tumia mtanzania wa hali ya chini kufanikiwa akiwa Tanzania ni kubwa mno kulinganisha na thamani ya pesa anayo ipata.
Mifumo ya Tanzania imejaa Rushwa, kujuana na wizi, Sasa mtu wa hali ya chini ambaye hana pesa za kuhonga unafikiri ni rahisi kwake kufanikiwa haraka?
USA mifumo yake inaruhusu hata mtu wa kipato cha chini, ku hustle na kufanikiwa.
Tanzania ili ufanikiwe lazima upite kwenye mifumo ile ile ya rushwa,wizi, uhujumu uchumi na ukwepaji kodi.
Wengi wa walio fanikiwa hapa Tanzania kwa njia halali ni wachache sana.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Umemaliza mleta mada asipokuelewa basi.kichwa chake kina shidaKutembembea ni kujifunza ndo mnaita(exposure) ni kweli.
Ila kuna tofauti ya kujifunza alafu ukabaki mtupu na kujifunza ukaona fulsa zilipo.
Marekani ni dream land kwa masikini wakiafrica wanaishi kupigania green card ila kwa level za juu za kuelewa na kuchambua mambo bas nchi zilizoendelea zote hua ni shure alafu africa ni field ya shure yako.
NYERERE alienda nje kaelewa mchezo karudi africa kafanya jambo lake nalikatimia hakurudi katoboa pua wala kuvaa milegezo na kazikwa huko kwao kwa wazanaki.
MENGI kaenda nje kajifunza karudi home kafanya revolution kwenye media na kazikwa machame uko.
RUGE kazaliwa nje[emoji1] ingekua kina ww sijui kama wangekubal kubadiri utaifa wake[emoji1]#jokes, but alisoma akaona fulsa akarudi kaengeneza fulsa kwa mamia ya watu mpaka leo kwa exposure yake na kazikwa huko kwa wahaya alikozaliwa.
Hawa ni mifano michache ya watu ambao tunaweza kuwapa jina la kisasa (WANYAMA) maana walikua na exposure yakutosha mali pia fedha lakini hawakua na ushamba wenu wakipa jina nchi yenu kua ni ARDHI YA LAAANA wa walio wengi wakishafika nje wanaanza kuvimbia watu na akili zao kulala kuamka wanawaza green card ili waendelee kupata easy money na kazi za welcome to America na ndo fikra zao hua zimeishia hapo.
Sio mbaya kwenda nje na hata ukiamua kuishi ni wewe ila unapoanza kuona wenzako walio baki kwenye nchi zao ni wapuuzi na wajinga unakumbilia sehemu ilotolewa jasho na watu zaidi ya miaka na miaka wakajitafuta wakajipata we ndo unaona raha kutembea juu ya ardhi yao na kutukania wenzako wanao ipambania ardhi yao nawao wafike walau robo ya izo nchi zilizondelea huo ndo ujinga wenyewe.
Kuishi Tanzania sio tatizo wala laana na kuishi nje sio akili wala mafanikio kila mtu yupo sawa kulingana na uwezo wake na namna yake yakuingiza kipato system ziko tofauti ila kilammoja anaweza kufanikiwa na kuenjoy maisha vile atakavyo akiwa mahala popote.
nikuulize we tokea umeishi huko US unaweza kufikia maisha anayoishi Diamond hapa bongo??? na uyu nimetolea mfano sababu bado ni kijana anaweza kupata visa ya kuishi nje akitaka na amejitafuta hapa hapa nchini kwake.
Wapo watu wengi tuu hapa bongo wanaingiza five 5m as profit perday kwenye duka tu la hardware bila kuangaika kabisa ukienda kariakoo wakinga wanaingiza zaidi ya izo ela kwenye kazi zao ila nyie mkifanya Uber uko mkapata 1M perday au kulea wazee mkalipwa 60k per hour ndo mnaanza kutukana watanzania wenzenu!!!! Ni ujinga na ushamba the bright one ataona matatizo hapa tz kama fulsa akiwa nje ila mshamba ndo anaweza kuona ni laana.
Tanzania yenye miaka 62 ya kujiongoza yenyewe Ingekuwa imepambaniwa na hao unao wasema, Leo hii mwaka 2023 kungekuwa hakuna haja ya watu kutamani kwenda Marekani na Ulaya.Kutembembea ni kujifunza ndo mnaita(exposure) ni kweli.
Ila kuna tofauti ya kujifunza alafu ukabaki mtupu na kujifunza ukaona fulsa zilipo.
Marekani ni dream land kwa masikini wakiafrica wanaishi kupigania green card ila kwa level za juu za kuelewa na kuchambua mambo bas nchi zilizoendelea zote hua ni shure alafu africa ni field ya shure yako.
NYERERE alienda nje kaelewa mchezo karudi africa kafanya jambo lake nalikatimia hakurudi katoboa pua wala kuvaa milegezo na kazikwa huko kwao kwa wazanaki.
MENGI kaenda nje kajifunza karudi home kafanya revolution kwenye media na kazikwa machame uko.
RUGE kazaliwa nje[emoji1] ingekua kina ww sijui kama wangekubal kubadiri utaifa wake[emoji1]#jokes, but alisoma akaona fulsa akarudi kaengeneza fulsa kwa mamia ya watu mpaka leo kwa exposure yake na kazikwa huko kwa wahaya kwa wazaz walikozaliwa.