bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Wewe ni sherrif au Corona wa jimbo gani hapo USA?Tunavyoijua USA utadhani tuliwachorea ramani ya nchi yao.Do not panic!🙏😂Marekani kuna majambazi hakuna vibaka sehem zenye uhalifu ni kwenye watu mchanganyiko
Kule utaiba Nini labda pesa utauzia wapi vitu vina codeWewe ni sherrif au Corona wa jimbo gani hapo USA?Tunavyoijua USA utadhani tuliwachorea ramani ya nchi yao.Do not panic!🙏😂
Huyo kibaka/mwizi anakuwa hajashikwa na "hamu" ya kukuibia tu.Hata bongo mitaa iloyoonyooka na kupangika chance ya uhalifu ni ndogo sababu wezi awapendi mitaa mirefu wao wanataka escaping zone yaani nyumba Giza uchochoro
Grill hazizui jambazi bali umchelewesha jambazi hazuiwi nia na grill akiamuaMkuu huogopi majambazi? Grill zinawapa ugumu majambazi kidogo kuingia ndani.
Mitaa iliyonyoka mbio ndefu hawaweziHuyo kibaka/mwizi anakuwa hajashikwa na "hamu" ya kukuibia tu.
Wadi ya vichaa hiyo.Mavyuma yamewekwa wasilale mbele.Na juu ukutani hukusoma tu.Pameandikwa "NO ESCAPE FROM SORBIBO"!Nimeshangaa kupita sehemu na kukuta majengo ya hospitali yana nagrill!!!
Labda kwa mateja.Ukikutana na "kampuni ya uchukuzi bila leseni" iliyokamilika haiogopi mavyuma milangoni wala madirishani.Mitaa iliyonyoka mbio ndefu hawawezi
Unaiba hata msosi kwenye jokofu.Kule utaiba Nini labda pesa utauzia wapi vitu vina code
mbona kijijini tunaegesha mlango tu huko marekani ni mbaliJe, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?
Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
Misosi kule wanagawa bure kwa mahomeless ulaya ufi njaa labda baridiUnaiba hata msosi kwenye jokofu.
Huwajui wezi wewe!Anaiba hata shajara ili uchukie tu.Misosi kule wanagawa bure kwa mahomeless ulaya ufi njaa labda baridi
😅Dubai tumewapa bandari watuendeshee, Saudi Arabia tuwape mahakama waziendeshe.
Wengine hawapendi unoko wa Wana mtaa kujua Mambo yao wanaamua kufunga ukutaMimi kinachoniudhi ni yale maukuta (fence) yanazunguka nyumba marefu kuliko nyumba yenyewe, sijui hata hewa wanapataje huko ndani na yanaharibu sura ya mtaa kabisa