Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,617
- 3,405
Wengi wanaweka grill lakini awaachi escaping zone ikitokea dharura ya moto thus ukitokea unaua familia nzima.Mimi nimeweka escaping zone na members wote wa familia nimewapa shule unabetua tu dirisha linakuwa ngazi wanajump nje
Wangapi wanauwezo wa kuilipia hiyo system ya ulinzi?Naijua vzr sema kuan sehemu wizi sio mwingi na pia ukiweka system ya ulinzi vzr bila magrill mbona unatoboa tu
Shule Sio kukaa darasaniHili alinipa mother angu ambaye hata hajapiga shule, nikajiona daah nakosa maarifa na shule ya mtaa!![emoji23]
Shule Sio kukaa darasani
Marekani mbali Mkuu, hata Jiji la Dodoma wana Kanuni za Ujenzi wa Ukuta.Kanuni za ujenzi zinaweza kutungwa kuzuia ujenzi kama huo, mfano sehemu nyingi US huwezi kujenga ukuta kama fence, na unaruhusiwa kwa urefu fulani tuu uliokubalika kisheria, tatizo maukuta marefu ya cement yanazuia mtiririko wa hewa na kufanya makazi yaonekane ya ovyo sana
Kama hujawahi kuibiwa.huwezi kuweka grill si salamaJe, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?
Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
Mkuu ww upo na idea kama yangu kabisa..nime imagine jinsi ukifungua mapazia muonekano wa madirisha yako na ile view ya nje...Mimi mwenyewe huwa siyapendi. Hapa nchini kwetu inategemea na eneo ulipojenga nyumba yako. Isingekuwa sbb za kiusalama ningeweka nyumba yangu hapa uone ina vyumba viwili vya kulala ila nimeweka full windows floor to ceiling zenye ukubwa wa 2.4 m urefu kwa 2 m upana na sijaweka grill. Huwa watu wengi sana wakija kwangu hupata mshangao wa jinsi madirisha yalivyo makubwa na hayana grill.
Kwani Marekani kuna Panya Road?Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha?
Je, unaweza kuishi kwenye nyumba isiyo na magrill?
Picha iko wapi kuthibitisha haya uliyoaandika hapaMimi mwenyewe huwa siyapendi. Hapa nchini kwetu inategemea na eneo ulipojenga nyumba yako. Isingekuwa sbb za kiusalama ningeweka nyumba yangu hapa uone ina vyumba viwili vya kulala ila nimeweka full windows floor to ceiling zenye ukubwa wa 2.4 m urefu kwa 2 m upana na sijaweka grill. Huwa watu wengi sana wakija kwangu hupata mshangao wa jinsi madirisha yalivyo makubwa na hayana grill.
Kanuni za ujenzi hata hapa Tz zipo, urefu wa ukuta na kadhalika. Shida ni kuwa hawa building inspectors hawapiti kucheki hivi vitu.Kanuni za ujenzi zinaweza kutungwa kuzuia ujenzi kama huo, mfano sehemu nyingi US huwezi kujenga ukuta kama fence, na unaruhusiwa kwa urefu fulani tuu uliokubalika kisheria,
Huu upotoshaji haukubaliki.Mimi naamini 100% wewe huelewi hata Waarabu maana yake nini.
Wewe nchi hii siyo mwenyeji zaidi ya Waarabu, kama unabisha tuambie wewe ni mbantu wawapi tukueleze umetokea wapi na lini, halafuu ujilinganishe na uwepo wa Waarabu hapa pwani ya Afrika mashariki.
Naona una macho lakini hayaoni, una masikio lakini hayasikii. Unafikiri Mama Samia ile rangi ya makopo?
Wewe mwenyewe una Uarabu kwenye maisha yako ya kila siku, hujielewi tu. Au wewe siyo mstaarabu?
Hayo sio madirisha ila ni blinds zinaitwa venetian.View attachment 2668307
Wakuu haya madirisha ya aina hiyo hapo jina lake yanaitwaje
Hilo grill na kioo lenyewe jamaa nimewakuta usiku sa tisa wameng'oa wameweka pembeni wanahamisha vitu km kwao.Yapo uliza mafundi tuu nimeshaona somewhere
Lol,hayo madirisha ni ya aluminium au?Mimi mwenyewe huwa siyapendi. Hapa nchini kwetu inategemea na eneo ulipojenga nyumba yako. Isingekuwa sbb za kiusalama ningeweka nyumba yangu hapa uone ina vyumba viwili vya kulala ila nimeweka full windows floor to ceiling zenye ukubwa wa 2.4 m urefu kwa 2 m upana na sijaweka grill. Huwa watu wengi sana wakija kwangu hupata mshangao wa jinsi madirisha yalivyo makubwa na hayana grill.
Unachokitafuta utakipata siku mojaMimi mwenyewe huwa siyapendi. Hapa nchini kwetu inategemea na eneo ulipojenga nyumba yako. Isingekuwa sbb za kiusalama ningeweka nyumba yangu hapa uone ina vyumba viwili vya kulala ila nimeweka full windows floor to ceiling zenye ukubwa wa 2.4 m urefu kwa 2 m upana na sijaweka grill. Huwa watu wengi sana wakija kwangu hupata mshangao wa jinsi madirisha yalivyo makubwa na hayana grill.
Waliofanya hivyo walikuwa jamaa zake wa karibu,walimjua fika ndani kwake na ratiba yake ya ulabu.Hilo grill na kioo lenyewe jamaa nimewakuta usiku sa tisa wameng'oa wameweka pembeni wanahamisha vitu km kwao.
Mi ndio nikawakurupua.
Walishabeba kila kitu.
Tena kwa mkokoteni,maana kirikuu hamna kipindi hiko
wala canter noma itapiga kelele.
Nimewakurupua wakachana njia spidi ya marathon
Na mkokoteni wao
tena kulikua na kimlima pale.
Kuingia ndani wameiba kila kitu
Kasoro kitanda tu.
Yule mwanamke kwake alikuwa analewa tu pub.
Namfata kumwambia umeibiwa anasema we mwongo.
Unataka turudi wote.
Ikawa mi nakuacha utachokikuta huko shauri yako.
Ndio kashtuka tuende.
Aisee alichoona Alilia wiki nzima mpk mwenyewe machozi yakanitoka.
Kulikua na hela mle ndani za kutosha.
Cm2,tv,acha nguo,godoro,deck,
jamaa walisafisha
Kupitia dirisha hilo lilikua na grill wakalitoa lote zima zima likabaki tundu tu.
Ndio, aliwaambia mwenyewe na mwizi mmoja niliyemuona anakimbiza mkokoteni ni wa hapo kitaa.Waliofanya hivyo walikuwa jamaa zake wa karibu,walimjua fika ndani kwake na ratiba yake ya ulabu.
Yes.Lol,hayo madirisha ni ya aluminium au?
Hahahaa binafsi sionagi kitu cha thamani majumbani. Usalama wa watu waliomo ndani ndio hofu yangu. Grills zikiwa dirishani huwa zinanifanya nijione kama nimefungiwa ktk nyumba.Unachokitafuta utakipata siku moja
Hiii inakuwa nzuri ATA wakati wa majanga kujiokoa kama motoKimuonekano pana fanana sana na nyumba hii. Tofauti yake mimi nimeweka full windows floor to ceiling nyumba nzima except for bathroom, laundry room and kitchen.