Mtu kuwa msomi ni pamoja na kutambua na kusitiri imani ya mtu mwingine. Kama kiongozi wa dini anasema ana PHD hutakiwi kuumia roho yako, jikaze rudi shule ukaondoe ujinga kama hii mada uliyoleta.

Bado hujachelewa rudi shule haraka
 
Bora ukusoma mada yake kubwa ipo kudeal na wakristu wasomi ๐Ÿ˜„ kwan muslims hawana haki ya kusoma, nipo na mdada niliwahi soma naye kipindi flan anakwambia nikimaliza baba hataki nikafanye kazi sehemu yoyote hadi akiolewa atapokua kwa mumewe ruksa na kasoma,,, sasa si angekaa nyumbani tu.
 
Kwa Tanzania hapa wakristo wanajinasibu ni wasomi wa darasani kuliko dini zingine yaani wao kutwa kuwabully waislamu kwamba hawajali kuhusu elimu ya dunia lakini hao...
Kama thread yenyewe ndo hii, Basi Wakristo wataendelea kuwa wasomi.. ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.

1. Hakuna kipindi nilicho wazarau masheikh kama wakati wa DP WORLD.
 
Da hii post ina vitu muhimu ndani yake ila ndio hivyo mtoa maada kaja kidini dini zaidi..

Ila Africa inabidi tuangalie mifumo yetu ya elimu..

Yani bongo unakuta vyuo vya vitendo kama VETA vinadharauliwa na waliofaulu o-level au a-level..
Au unakuta mtu kafaulu vizuri masomo ya sayansi ila chuo anaenda kusomea uhasibu au maungwini mengine..
Yani huku msomi ni yule anayejua kupiga soga na kufanya uchambuzi kwa maneno ila hata kutengeneza kistuli hawezi
 
Mtoa mada yuko sahihi kila siku humu kejeri dhidi ya waisilam kuwa hawajasoma ni nyingi sana.
Lakini hiyo elimu wanao shinda wanajitapa humu msaada wake hauonekani ndani ya taifa hili.
 
We Mzee,nini hiki umeandika?
 
Wanao tutesa ni nyie vilaza msio jua kusoma maana tumetumia muda mwingi kuwavuta watu wajinga na wa ivyo kama ww ,ndo maana mnatuvuta nyuma Kwa wastan ila tungejua mbali kama sio
Kama thread yenyewe ndo hii, Basi Wakristo wataendelea kuwa wasomi.. ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š.

1. Hakuna kipindi nilicho wazarau masheikh kama wakati wa DP WORLD.
Yaan ilkua ni aibu tupu ,mtu mzima unauliza akiomba ushaur au kaamka asubh na janaba kaanza kuongea?
 
Mtu ambae amesoma PHD ya theology ni sawa sawa na alio maliza form six comb ya PCB,......hizo phd zao hazina impact yoyote wapo wapo kama raia wengine.
 
Ndugu Zangu Katika Imani
Njooni
Tumefika. Ndugu mdau, Tanzania ni nchi yenye watu wa dini mbalimbali na hata wasio na dini. Kwanini anatutwisha dhambi ya umasikini wa watanzania? Angetaka usawa bin haki angeangaza kwa hilo kundi la wakristo na kuangalia kiwango cha umasikini wao ndio atoe kauli jumuishi kama aliyosema
 
Yaan ilkua ni aibu tupu ,mtu mzima unauliza akiomba ushaur au kaamka asubh na janaba kaanza kuongea?
. TEC walikuwa wanatetea mali ya nchi ( urithi wa mtanganyika) ili ulete matunda kwa mzawa.

. Masheikh walivyo haidiwa tu makontena ya tende na kujengewa misikiti, wakaja juu kuwa kwa vile sa100 ni nuislam ndo maana wakatolic hatumpendi ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

. Sa100 naye akavimba kichwa, route za Ndege kila siku uarabuni ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜, kazi kweli kweli


Mtu anayekunyima elimu ni muuaji
 
Elimu ipi? Wakati mimi napasua mabusha ya ndugu yako huko tamisemi
 
Tanzania kwa 95% imejaa educated fools.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ