Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Mtu kuwa msomi ni pamoja na kutambua na kusitiri imani ya mtu mwingine. Kama kiongozi wa dini anasema ana PHD hutakiwi kuumia roho yako, jikaze rudi shule ukaondoe ujinga kama hii mada uliyoleta.

Bado hujachelewa rudi shule haraka
 
Kwani mkuu kusoma ndio kuwa tajiri? Kwamba mimi nimesoma afya sawa sina hela ila kazini kwangu nafanya upasuaji unafanikiwa na watu wanarudi kuendelea na maisha yao kama kawaida

Napo utasema tu kuwa siitumii vzr elimu yangu kwakuwa sina pesa? Samahani lkn sijasoma ulichoandika nimepita tu na kichwa cha mada
Bora ukusoma mada yake kubwa ipo kudeal na wakristu wasomi 😄 kwan muslims hawana haki ya kusoma, nipo na mdada niliwahi soma naye kipindi flan anakwambia nikimaliza baba hataki nikafanye kazi sehemu yoyote hadi akiolewa atapokua kwa mumewe ruksa na kasoma,,, sasa si angekaa nyumbani tu.
 
Kwa Tanzania hapa wakristo wanajinasibu ni wasomi wa darasani kuliko dini zingine yaani wao kutwa kuwabully waislamu kwamba hawajali kuhusu elimu ya dunia lakini hao...
Kama thread yenyewe ndo hii, Basi Wakristo wataendelea kuwa wasomi.. 😊😊😊.

1. Hakuna kipindi nilicho wazarau masheikh kama wakati wa DP WORLD.
 
Kwa Tanzania hapa wakristo wanajinasibu ni wasomi wa darasani kuliko dini zingine yaani wao kutwa kuwabully waislamu kwamba hawajali kuhusu elimu ya dunia lakini hao hao wakristo wanajinasibu kwamba Wana elimu kubwa kwenye nchi hii hawana mchango wowote kwa maendeleo yoyote yale ndio kwanza nchi inaenda kwenye lindi la umasikini hatuoni mchango wa elimu Yao

Kiongozi wa dini anajinasibu ana masters eti PhD lakini PhD ipo kwenye makaratasi ila kwa ground hamna kitu ila sasa usomi wao upo kwenye sheria na kada zingine ambazo hazina fiada yoyote ile ili ipige kwenye maendeleo wasomi wa teknologia,sayansi,kilimo na uhandisi sasa wewe msomi wa sheria ya katiba unajiita msomi 🥃🥃🥃?

Tunataka usomi wa vitendo sio usomi wa kwenye makaratasi kutwa kupiga kelele tu halafu hamna maendeleo yoyote yale mpaka miaka 63 nchi ipo kwenye lindi la umasikini halafu kuna watu wanajiita wasomi wapo Tu.
Da hii post ina vitu muhimu ndani yake ila ndio hivyo mtoa maada kaja kidini dini zaidi..

Ila Africa inabidi tuangalie mifumo yetu ya elimu..

Yani bongo unakuta vyuo vya vitendo kama VETA vinadharauliwa na waliofaulu o-level au a-level..
Au unakuta mtu kafaulu vizuri masomo ya sayansi ila chuo anaenda kusomea uhasibu au maungwini mengine..
Yani huku msomi ni yule anayejua kupiga soga na kufanya uchambuzi kwa maneno ila hata kutengeneza kistuli hawezi
 
Mtoa mada yuko sahihi kila siku humu kejeri dhidi ya waisilam kuwa hawajasoma ni nyingi sana.
Lakini hiyo elimu wanao shinda wanajitapa humu msaada wake hauonekani ndani ya taifa hili.
 
Ko hadithi yako ww kama muslim inatufundisha nn na umepiga harakati gani kwa msaada wa dini yako kuifikisha Tz huko unadhani ilitakiwa kua,,, are their working for their churches?

Au wanawork katika dini zao?? Kwan huoni dini zao wakiziendeleza akina mwamposa, akina Musa sijui Musa temboni huko dar huoni walianza wap na wapo wap angalia makanisa katoriki wanashida?

Hao ndo wapo kwa ajili ya makanisa yao ww nawe eleweka upo kwaajili ya uislam au upo kwaajiri ya taifa deal huko ukija kitaifa tatua matatizo kitaifa ukitaka dini kaanzishe misikiti na makanisa huko jenga huko.... sidi ni ndugu
We Mzee,nini hiki umeandika?
 
Kwa Tanzania hapa wakristo wanajinasibu ni wasomi wa darasani kuliko dini zingine yaani wao kutwa kuwabully waislamu kwamba hawajali kuhusu elimu ya dunia lakini hao hao wakristo wanajinasibu kwamba Wana elimu kubwa kwenye nchi hii hawana mchango wowote kwa maendeleo yoyote yale ndio kwanza nchi inaenda kwenye lindi la umasikini hatuoni mchango wa elimu Yao

Kiongozi wa dini anajinasibu ana masters eti PhD lakini PhD ipo kwenye makaratasi ila kwa ground hamna kitu ila sasa usomi wao upo kwenye sheria na kada zingine ambazo hazina fiada yoyote ile ili ipige kwenye maendeleo wasomi wa teknologia,sayansi,kilimo na uhandisi sasa wewe msomi wa sheria ya katiba unajiita msomi 🥃🥃🥃?

Tunataka usomi wa vitendo sio usomi wa kwenye makaratasi kutwa kupiga kelele tu halafu hamna maendeleo yoyote yale mpaka miaka 63 nchi ipo kwenye lindi la umasikini halafu kuna watu wanajiita wasomi wapo Tu.
Wanao tutesa ni nyie vilaza msio jua kusoma maana tumetumia muda mwingi kuwavuta watu wajinga na wa ivyo kama ww ,ndo maana mnatuvuta nyuma Kwa wastan ila tungejua mbali kama sio
Kama thread yenyewe ndo hii, Basi Wakristo wataendelea kuwa wasomi.. 😊😊😊.

1. Hakuna kipindi nilicho wazarau masheikh kama wakati wa DP WORLD.
Yaan ilkua ni aibu tupu ,mtu mzima unauliza akiomba ushaur au kaamka asubh na janaba kaanza kuongea?
 
Kwa Tanzania hapa wakristo wanajinasibu ni wasomi wa darasani kuliko dini zingine yaani wao kutwa kuwabully waislamu kwamba hawajali kuhusu elimu ya dunia lakini hao hao wakristo wanajinasibu kwamba Wana elimu kubwa kwenye nchi hii hawana mchango wowote kwa maendeleo yoyote yale ndio kwanza nchi inaenda kwenye lindi la umasikini hatuoni mchango wa elimu Yao

Kiongozi wa dini anajinasibu ana masters eti PhD lakini PhD ipo kwenye makaratasi ila kwa ground hamna kitu ila sasa usomi wao upo kwenye sheria na kada zingine ambazo hazina fiada yoyote ile ili ipige kwenye maendeleo wasomi wa teknologia,sayansi,kilimo na uhandisi sasa wewe msomi wa sheria ya katiba unajiita msomi [emoji1634][emoji1634][emoji1634]?

Tunataka usomi wa vitendo sio usomi wa kwenye makaratasi kutwa kupiga kelele tu halafu hamna maendeleo yoyote yale mpaka miaka 63 nchi ipo kwenye lindi la umasikini halafu kuna watu wanajiita wasomi wapo Tu.
Mtu ambae amesoma PHD ya theology ni sawa sawa na alio maliza form six comb ya PCB,......hizo phd zao hazina impact yoyote wapo wapo kama raia wengine.
 
Ndugu Zangu Katika Imani
Njooni
Tumefika. Ndugu mdau, Tanzania ni nchi yenye watu wa dini mbalimbali na hata wasio na dini. Kwanini anatutwisha dhambi ya umasikini wa watanzania? Angetaka usawa bin haki angeangaza kwa hilo kundi la wakristo na kuangalia kiwango cha umasikini wao ndio atoe kauli jumuishi kama aliyosema
 
Yaan ilkua ni aibu tupu ,mtu mzima unauliza akiomba ushaur au kaamka asubh na janaba kaanza kuongea?
. TEC walikuwa wanatetea mali ya nchi ( urithi wa mtanganyika) ili ulete matunda kwa mzawa.

. Masheikh walivyo haidiwa tu makontena ya tende na kujengewa misikiti, wakaja juu kuwa kwa vile sa100 ni nuislam ndo maana wakatolic hatumpendi 🚮🚮🚮

. Sa100 naye akavimba kichwa, route za Ndege kila siku uarabuni 😁😁😁, kazi kweli kweli

Mtu anayekunyima elimu ni muuaji
 
Elimu ipi? Wakati mimi napasua mabusha ya ndugu yako huko tamisemi
 
Kwa Tanzania hapa wakristo wanajinasibu ni wasomi wa darasani kuliko dini zingine yaani wao kutwa kuwabully waislamu kwamba hawajali kuhusu elimu ya dunia lakini hao hao wakristo wanajinasibu kwamba Wana elimu kubwa kwenye nchi hii hawana mchango wowote kwa maendeleo yoyote yale ndio kwanza nchi inaenda kwenye lindi la umasikini hatuoni mchango wa elimu Yao

Kiongozi wa dini anajinasibu ana masters eti PhD lakini PhD ipo kwenye makaratasi ila kwa ground hamna kitu ila sasa usomi wao upo kwenye sheria na kada zingine ambazo hazina fiada yoyote ile ili ipige kwenye maendeleo wasomi wa teknologia,sayansi,kilimo na uhandisi sasa wewe msomi wa sheria ya katiba unajiita msomi 🥃🥃🥃?

Tunataka usomi wa vitendo sio usomi wa kwenye makaratasi kutwa kupiga kelele tu halafu hamna maendeleo yoyote yale mpaka miaka 63 nchi ipo kwenye lindi la umasikini halafu kuna watu wanajiita wasomi wapo Tu.
Tanzania kwa 95% imejaa educated fools.
 
Back
Top Bottom