Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Mimi huwa nasema, [JK ALIKUWA NA NDOTO YA KUWA RAISI WA TANZANIA, LAKINI KWAMBA AKISHA KUWA RAISI AIFANYIE NINI NCHI YAKE..HILI WAZO HAKUWAHI KUWA NALO KABISA.
 
Mi naona sasa kunasababu ya kuwa Kama Misri kuandamana kudai Maendeleo basi
 
umaskini wetu unatokana na matatizo ya kutokutumia vizuri maligafi tulizom nazo na kuwa na mipago mizuri ya ubinafsishaji na hii inatokana na kuweka vilazi kwenye uongozi wa nchi yetu. tutaendelea tu punde tutakapo pata viongozi wenye nia ya kutumia rasilimali zetu vizu na kwa manufaa ya taifa wala si la mtu binafisi.
 
Chanzo ni kuwa na kiobgozi dhaifu km kikwete na kukumbatia mafisadi km rostamu,lowasa......
 
Tanzania si nchi maskini, na kwa miaka mingi ijayo haitakuwa maskini, ila ina wananchi wengi sana maskini. Hakuna mwekezaji aliye tayari kuwekeza ktk nchi maskini, wanakuja nchini wakijua wanakuja kutajirika. Tatizo si nchi, tatizo ni wananchi. Unakumbuka wananchi na wanahabari walivyo furahia taharifa ya UMASKINI wa waziri mkuu kwamba ni kiongozi muadirifu asiyejirundikia mali nyingi, Najiuliza kiongozi mwenye mawazo ya umaskini atawatoaje wananchi anaowaongoza katika umaskini? huwa najisemeaga moyoni "Uhadilifu bila Ubunifu ni Uharibifu". Tunahitaji kiongozi Muadilifu, Mbunifu wa "kuwatoa wananchi ktk umaskini" na si kujisifia Umaskini wake na wa wananchi wake.
 
Tanzania inaresource nyingi sana ukilinganisha na nchi zingine zilizo endelea, Mfano Mbuga za Wanyama, Madini, Bahari ya Hindi, Maziwa (Tanganyika, Nyasa na Victoria) Watu wastaharabu na wenye ushirikiano, Siasa zetu ni za kistaharabu,
Halafu tunamisitu ya kutosha na mvua pia zinanyesha za kutosha sana, kwaajiri ya kilimo,, tuna mito mikubwa na Mabwawa ya asili kiasi kwamba Hata umeme tunauwezo wa kufua kwatumumia Resources hizo bila kutumia Gharama Kubwa na Kupata Faida Kubwa kwa Maendeleo ya nci,,
Lakini kitu kinacho nichanganya mimi Hivi vitu vyote vinaisha vinakwenda Wapi? Hivi Gesi ya Songas inafanya nini mpaka tunakuwa Na Mgao wa umeme?. Madini yanakwenda wapi sisi tunabaki waomba misaada?

Taifa bila maono, watui wake huangamia. Ndio hasa kinachosibu. Kazi tunayofanya ni kununua na kuchakachua kura na mikataba. Makampuni bomu yanapewa tenda kubwa kutuibia. hatuna uchungu na nchi.
 
Tanzania inaresource nyingi sana ukilinganisha na nchi zingine zilizo endelea, Mfano Mbuga za Wanyama, Madini, Bahari ya Hindi, Maziwa (Tanganyika, Nyasa na Victoria) Watu wastaharabu na wenye ushirikiano, Siasa zetu ni za kistaharabu,
Halafu tunamisitu ya kutosha na mvua pia zinanyesha za kutosha sana, kwaajiri ya kilimo,, tuna mito mikubwa na Mabwawa ya asili kiasi kwamba Hata umeme tunauwezo wa kufua kwatumumia Resources hizo bila kutumia Gharama Kubwa na Kupata Faida Kubwa kwa Maendeleo ya nci,,
Lakini kitu kinacho nichanganya mimi Hivi vitu vyote vinaisha vinakwenda Wapi? Hivi Gesi ya Songas inafanya nini mpaka tunakuwa Na Mgao wa umeme?. Madini yanakwenda wapi sisi tunabaki waomba misaada?

usiumize kichwa mkuu, hata Rais wa CCM hajui kiini cha umaskini wa nchi anayoingoza sasa unategemea nini? Madini tuliyonayo yanachimbwa na Rostam Aziz kwani ndiye anatetafuta wawekezaji wa niamba ya Serikali. Kawaleta Caspian, Richmoond, Dowans na wengineo, pia juzi juzi alikuwa OMAN kutafuta wawekezaji kwenye ardhi maana nchi yenye ardhi kama hii haina chakula hicho kinamuuma sana mbunge huyu wa Igunga.

Tutafika tu watanzania wangu - ila mkisikia uchungu mionyoni kwenu basi msisite kuingia mabarabarani kudai haki yenu. Haki huwa haipotei milele hata vitabu vitakativu vimeandika hivyo.
 
UKISOMA POST HII YA NDUGU
Posted by: "amani athanasio" ngitso2005@yahoo.co.uk ngitso2005
Wed Apr 13, 2011 2:28 am (PDT)
UNAWEZA KUBAINI KWA NINI TU MASIKINI INGAWA RASILIMALI TUNAZO ZA KUTOSHA. UMEFIKA WAKATI KUZIDI KUWAELIMISHA WANANCHI KWA NGUVU KUBWA ILI KULETA MAGEUZI YA KISIASA, KIUCHUMI, KIJAMII, KIFIKRA NA KIUTAMADUNI ILI KUIOKOA TANZANIA YETU. (MAKALA NI NDEFU USICHOKE KUSOMA).

THERE is a serious misconception among earth sciences’ experts
(geologists, geophysicists, mining engineers etc) as well as
policy-makers especially in our countries, i.e. Third World countries
primarily in Africa — Tanzania being a case in point — that green-field
exploration for hard-rock minerals is costly and risky.

It is indeed true that hydrocarbon (oil & gas) exploration can yield
tremendous results, with huge profits earned upon exploitation of the
discovered reserves. But, the same is today equally true of hard-rock
minerals exploration.

Most minerals existing in Tanzania and their locations, including Uranium, are well known to specialists including our own experts in Tanzania {not only the Mkuju River
deposits. In fact, I recommend the govt. to send our experts to areas
with similar geology to the one at Mkuju, in Southern Tanzania (Songea
and Namtumbo areas), in Central Tanzania (Dodoma, Manyoni & Mbuga
areas) as well as to the Minjingu Phosphates in southwest Arusha to look
for more of this mineral since Uranium may also be found in
phosphates}.

What we are supposed to do in this case is to
contract foreign exploration and mining companies to explore and mine
the minerals while we retain full (100 per cent) equity ownership of the
deposits. The foreign companies should work under strict terms of
reference spelled out by Tanzanian experts through their government.

This is exactly what the Middle East and other oil-and-gas producing
countries are doing while retaining 100 per cent ownership of their
mineral assets.Norway — a European Union country and one of the most
affluent free-market economies in the world — also restricts majority
ownership of its huge oil-and-gas assets to its local companies STATOIL
and NORKS HYDRO.

The same is being done by the oil-rich Middle
Eastern countries of Saudi Arabia, Kuwait, UAE, Bahrain, Qatar, Oman,
Iran and Iraq. We see the same trend in Latin America (Venezuela,
Bolivia, Ecuador, Brazil et al).Russia has passed legislation
effectively banning majority ownership by foreigners of what it deems
strategic assets, be it in the mineral sector, in oil-and-gas, in
telecommunications, in the nuclear sphere, in Space, High-Tech
industries, et al…

Russia fundamentally changed its law on natural resources, restricted — and in some cases, even banned Production Sharing Agreements which used to be the model contracts for its oil-and-gas exploration and production agreements in the 1990s. It
also made similar approaches to exploration and exploitation of its
hard-rock minerals (ferrous, non-ferrous and precious metals as well as
precious stones, non-metal hard minerals like coal, etc), making it
impossible for foreign companies to ever again own majority equity in
its natural resources and strategic assets.

Brazen political decisions were taken despite criticism from foreign companies and their
host countries that Russia is playing a rough game by limiting foreign
majority equity ownership in its natural resources, including minerals.

But, in the end, Russia proved to be right since it was able to recoup and
recover its mineral assets scooped earlier by foreign companies, some
craftily, some by mere shrewdness in collusion with crafty Russian state
officials and wheeler-dealers who later on went to become the highly
despised Russian Oligarchs now numbering 114!

Russia decided to retain majority equity stakes for the State through its firms (GAZPROM, ROSNEFT, ALROSA, GAZPROMNEFT, etc) as well as Russian-registered and Russian-owned private companies (RUSAL, INTERROS, POLYUS GOLD, NORILSK NICKEL, METALLOINVEST, NOVOLIPETSK STEEL, MAGNITOGORSK IRON & STEEL WORKS LUKOIL, NOVATEK, BASIC ELEMENT, URALKALI, SEVERSTAL, EVRAZ etc) which pay their huge taxes in Russia thus allowing the nation to earn huge income in foreign exchange.

This, in turn, enabled the government to re-distribute and spread wealth among its citizens through self-financing of its national budget, increasing pensions and other
social benefits (cheap education, transport and medical services) as
well as creating a sovereign wealth fund (which, in February 2008, was
divided into the Reserve Fund and the National Welfare Fund).

This pretty well helped Russia successfully navigate this turbulent period
of the global economic and financial crisis without going begging for
alms from foreign nations and the international financial system
contrary to what we saw, and are still seeing, in Greece, Iceland,
Spain, Portugal, Italy and other countries of the European Union.

While retaining majority equity ownership (not less than 51 per cent) of our
mineral resources in Tanzania, we can then offer a minority share to a
strategic investor/s who will be subject to finance the exploration and
exploitation/ mining of the deposits, offer the necessary technical,
technological, financial and managerial expertise and skills needed to
effectively exploit/mine the deposits — including training local
experts.

The expenditure for such exploration is peanuts (some
few millions to several tens of millions of US dollars). But, the
outcome of this expenditure, call it risk, is minuscule compared to the
benefits earned as the Mkuju River uranium project has shown.

Mantra Resources might have spent a maximum of US$10 million or less (or to
quote unsubstantiated remarks: up to $30 million). But, it is selling
the asset for over US$1 billion, thus reaping a profit of over 10,000
per cent! This a return of investments for a period of a mere 1-3 years
of working to appraise the Uranium deposits at Mkuju!

What other proof of affordable risk does our Govt. need to convince all of you that
it is worth investing ourselves in exploration of our vital and
strategic mineral deposits like Uranium, Oil, Gas, Gold, Nickel,
Diamonds, Tanzanite and own them 100 per cent and only offer minority
states to swap for financial investments and management of these
resources?

Tanzania is now ready to throw away Tsh94 billion (US$ 64 million) on a bogus contract in the Richmond/Dowans- Tanesco saga which has nevertheless left the country with no electricity, but not ready to spend a tenth or fifteenth part of that sum (about US$6-10 million) on exploration and appraisal of such assets like the Mkuju
River Uranium — and, in return, own an asset worth over US$1 billion, with the potential to tap into even much huger reserves as we continually appraise the asset itself or similar ones existing in Tanzania!

This is the paradox of how a Tanzanian, an African,
thinks! That is why, in Russia (and elsewhere, too), there is a very
unpleasant perception of an African. And, this crops up whenever
Russians comment about Africans especially when they see our leaders on
TV and the press who come here on begging visits.

They call them: “these people/leaders from ‘exotic’ countries… Exotic not only
because they come from countries with simba, fisi, tembo, tumbili and
vifaru, but exotic in their way of thinking.

They (the Russians) argue that these people (African leaders) always come here to beg for assistance, sometimes even petty assistance, in return giving their
mineral and other assets almost for free… Russians would never allow
such a thing to happen with their Uranium or whatever mineral assets the
way we are now ceding: cheaply, even almost freely, in fact, throwing
away our rights over the Mkuju River uranium deposits…

The same thing our old chiefs did, exchanging/throwing away our territories
including minerals and slaves for bangili, vioo, hereni, mikufu, etc.
This led to the colonization and enslavement of Africa!

Just imagine, our Mkuju River Uranium deposits were taken from us. I don’t
know how much Mantra Resources paid the Tanzanian Govt. to acquire the
prospecting, and probably, mining licenses there, but I think it could
hardly have been more than US$200,000. Quite possibly, Mantra Resources
never even paid any Signature Bonus since it was not demanded from them
by our Govt.! Then the company spent a few hundred thousand or a million US dollars – finally selling the asset for over US$1 billion US$!

And the Tanzania Govt. and its people don’t own anything in the mine… Nor
do they have rights to determine what those assets could do to benefit
them in, say, nuclear power generation or going high-tech!

What other explanation do you need here to refute that we are indeed
‘exotic?’ How can we forfeit such opportunities to make ourselves rich,
create huge wealth and tap abundant capital ourselves, instead of going
around begging for alms like budget support peanuts?

Just compare what we are now begging for with what we have forfeited in the
Mkuju River Uranium deposits — as well as earlier on in the gold assets
stupidly handed over cheaply, even almost freely, to Barrick Gold,
shares of which were then floated in London, earning the company and its
shareholders (including the crafty silent Tanzanian millionaires)
billions of US dollars with nothing going to the majority of the poor
Tanzanians, including me and you, who are the true and real owners of
the assets..!

Posted by: "amani athanasio" ngitso2005@yahoo.co.uk ngitso2005
Wed Apr 13, 2011 2:28 am (PDT)
 
Wana jamii naomba tujadili kauli hii ya Rais wetu aliyopata kutoa akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya BBC ilikuwa hivi; "Mheshimiwa Rais kwanini Tanzania ni masikini pamoja na kupokea misaada mbalimbali kutoka kwa mataifa yaliyoendelea na pia ina rasilimali nyingi?JIBU:NDUGU MTANGAZAJI HATA MIMI SIJUI KWANINI TANZANIA NI MASKINIKama mtu aliyepewa nafasi kutusaidia tutoke kwenye ufukara hajui kweli tulikuwa makini kumchagua?Pia swali hili aliwahi kuulizwa Mkapa kwenye mkutano uliofanyika LONDON ulioitwa "MAKING POVERT HISTORY" ulihudhuriwa na katibu mkuu wa UN wakati huo Koffi Anan,GODWEN BROWN waziri wa fedha wa uingereza na baadae akawa waziri mkuu.Nakumbuka Mkapa alibadilika usoni na kujibu hivi; "Unapozungumzia umaskini wetu lazima ujue madhara ya historia ya utumwa,ukoloni na sasa utandawazi ambapo sisi babo wachanga kushindana kwa nguvu" Ndugu wana jamii Mh Membe naye aliulizwa swali hilihili sijui wazungu huwa wanapima nini au hawajui kweli chanzo cha ufukara wetu au wanapima uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu lakini Membe alijibu hivi; "Sisi ni masikini kwa sababu tumepigana vita nyingi kusaidia nchi nyingi Africa kupata uhuru na vita ya Kagera"Wana jamii naomba kuwasilisha hoja mezani..................na nani yupo sahihi au yupo karibu na ukweli wa jibu sahihi,pia na sisi tujibu swali hili
 
Atafahamia wapi? haya mambo yanahitaji weledi fulani hata mwanangu wa miaka minne ukimuuliza swali kama hilo lazima limshinde

Mi nadhani umasikini wa Watanzania unasababishwa na sisi wenyewe kwa namna nyingi tuu hizi hapa ni chache tuu.
1.Kuwaweka madarakani watu wasio jua kwanini sisi ni masikini
2.Kutofanya kazi kwa uaminifu
3.Kukwepa kodi
4.Kiasi kidogo cha kodi tuanazozikusanya twazitumia vibaya
5.Kuendekeza kununua bidhaa kutoka nje kwa hata bidhaa tulizonazo hapa nchini hivyo kuuwa viwanda vya ndani na kuua ajira za ndani

6.Usimamizi mbovu wa viwanda vyetu, rejea viwanda vya nguo kama sungura tex, mbeyatex, general tyre nakadhalika
 
Kosa letu hasa waafrika weusi, tuna laana, angalia wageni kama wahindi au wazungu wanakuja maskini na kutoka chapchap, ukisema utumwa sio, kumbuka miaka ya 1970 nyerere alikuwa anapeleka chakula cha misaada korea Kusini, pia mwinyi alipeleka misaada Yemen japo hii bado hoi.
Kosa letu kuanzia wananchi wa kawaida mpaka viongozi.
 
Atafahamia wapi? haya mambo yanahitaji weledi fulani hata mwanangu wa miaka minne ukimuuliza swali kama hilo lazima limshinde

Kwa kweli hawakumtendea haki prezdaa kumuuliza swali gumu kiasi hicho.Yeye atatjuaje mambo ya umaskini?Hata wamiliki wa DOWANS juzi2 kasema hawajui.
 
hakuna aliyesahihi wala kuwa karibu na ukweli. Ukweli ni kuwa pamoja na historia ya dunia na kutokuwa na usawa wa ki biashara/siasa za kiuchumi duniani; hiyo siyo kisingizio cha umasikini wetu. Kubwa ni kuwa na (1) viongozi wabinafsi wanaozingatia masilahi yao punde watakapo toka nje ya utawala 2. Kuwa na viongozi wasiokuwa na dira na vipaumbele katika kusukuma maendeleo ya nchi na watanzania kwa haraka. (3) Kuwa na viongozi wasioweza kutumia vema rasilimali za nchi kwa masilahi ya watanzania 4. Kuwa na viongozi walio na mawazo tegemezi ya omba omba kwa kuamini kuwa tanzania itaendelea kuwa tegemezi milele na kwamba ni ndoto kutegemea tanzania siku moja inaendelea kama korea au UK. Viongozi tulio nao wanaongoza nchi kama NGO kwa kutegemea misaada iletwe na wao wabugie (wafuje/wajinufaishe) wenyewe na hawana uwezo wa kuona ukweli kuwa wanarasilimali za nchi za kutosha kuwapa maendeleo watanzania bila hata kutegemea msaada toka nje. Kwa fikara hizo mfu za utegemezi; ndo maana haishangazi kuona viongozi wanaingia mikataba na makampuni ya kigeni yenye kuleta hasara kubwa/kunyinya rasilimali za nchi-bila wao kujali kwa kuwa cha msingi masilahi yao huwa wanapewa kupitia kinachoitwa "dhana ya 10% ulaji". Unawezaje kuingia mkataba kulipia IPTL, kwa mfano 152 milioni kila siku; fedha ambazo i sawa na kumlipa kila mtanzania milioni 3.6 kila siku??? Lakini ukweli ni kuwa ndani ya mkata wa IPTL, kuna mikataba SIRI ya watu kunyonya pato la nchi kupitia mkataba huo. Viongozi wa ki imra wa tanzania wametumia ujinga wa watanzania kujinufaisha. Kwa msingi huo; mchawi wa umasikini wa watanzania si mwingine bali ni viongozi wa nchi ya tanzania.
 
Wana jamii naomba tujadili kauli hii ya Rais wetu aliyopata kutoa akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya BBC ilikuwa hivi; "Mheshimiwa Rais kwanini Tanzania ni masikini pamoja na kupokea misaada mbalimbali kutoka kwa mataifa yaliyoendelea na pia ina rasilimali nyingi?JIBU:NDUGU MTANGAZAJI HATA MIMI SIJUI KWANINI TANZANIA NI MASKINIKama mtu aliyepewa nafasi kutusaidia tutoke kwenye ufukara hajui kweli tulikuwa makini kumchagua?Pia swali hili aliwahi kuulizwa Mkapa kwenye mkutano uliofanyika LONDON ulioitwa "MAKING POVERT HISTORY" ulihudhuriwa na katibu mkuu wa UN wakati huo Koffi Anan,GODWEN BROWN waziri wa fedha wa uingereza na baadae akawa waziri mkuu.Nakumbuka Mkapa alibadilika usoni na kujibu hivi; "Unapozungumzia umaskini wetu lazima ujue madhara ya historia ya utumwa,ukoloni na sasa utandawazi ambapo sisi babo wachanga kushindana kwa nguvu" Ndugu wana jamii Mh Membe naye aliulizwa swali hilihili sijui wazungu huwa wanapima nini au hawajui kweli chanzo cha ufukara wetu au wanapima uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu lakini Membe alijibu hivi; "Sisi ni masikini kwa sababu tumepigana vita nyingi kusaidia nchi nyingi Africa kupata uhuru na vita ya Kagera"Wana jamii naomba kuwasilisha hoja mezani..................na nani yupo sahihi au yupo karibu na ukweli wa jibu sahihi,pia na sisi tujibu swali hili

Haikuwa BBC ilikuwa The Financial Times-UK
 
Mtanzania au mwafrika anapenda prestige, ni mbinafsi, siyo mbunifu, anapenda kuletewa tu, hajui kutafuta na akiletewa hajui utunzaji wake mfano tuliachiwa reli sasa inakimbilia kuwa gofu.kwa upande wa raslimali kwa sababu ya ubinafsi na uchoyo basi haitolewi elimu ya what we have and how to deserve it. matokeo yake inakuwa mali ya watu wachache tu kwa kutumia kinga ya uwekezaji, Ndugu zangu Watanzania, Gold, Tanzanite, copper, tin, tungstetun, Titanium, Iron iliyopo hapo Tz haiitaji mwekezaji, kinachotakiwa tuondokane na uvivu, tuchimbe sisi wenyewe kwa kuwapatia wananchi elimu ya uchimbaji madini. Fanya hivyo baada ya miaaka miwili wazungu watakuuliza how did you do it , oh amaizing
 
Tanzania ni masikini kwa sababu zifuatazo:

JK Nyerere:
Alijenga jamii ya watu waoga na wasio wadadisi na uthubutu wanaosubiri kiongozi awaze au afikirie kwa niaba yao. Watu hao hata leo wapo. Wengi tu. Kazi yao ni kusubiri kiongozi azungumze, wao wapige makofi hata kama kiongozi husika anazungumza pumba.

Mwinyi:
Alijenga misikiti mingi sana kandokando ya barabara kuu za kwenda mikoani. Lakini mimi niligoma ku-slimu.

Mkapa:
Mmachinga aliyehadaiwa na wazungu kwa kisingizio cha utandawazi na kuuza mengi ya mashirika yetu ya umma akidhani anawanufaisha Watanzania, kumbe alikuwa anajinufaisha yeye na Wakoloni-mamboleo.

Kikwete:
Kama Bush wa Marekani. Yeye aliingia na gia ya kutafuna kila pesa iliyokuwa imekaa-kaa kama haina mwenyewe. Ana hela balaa. Tofauti yake na Bush ni kuwa Kikwete anatumbua hazina ya taifa kwa manufaa yake na jamaa zake; wakati Bush alitumbua mihela iliyoachwa na Clinton kwa kupambana na maadui wa Marekani na kulinda maslahi ya nchi yake.
 
Wana jamii naomba tujadili kauli hii ya Rais wetu aliyopata kutoa akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya BBC ilikuwa hivi; "Mheshimiwa Rais kwanini Tanzania ni masikini pamoja na kupokea misaada mbalimbali kutoka kwa mataifa yaliyoendelea na pia ina rasilimali nyingi?JIBU:NDUGU MTANGAZAJI HATA MIMI SIJUI KWANINI TANZANIA NI MASKINIKama mtu aliyepewa nafasi kutusaidia tutoke kwenye ufukara hajui kweli tulikuwa makini kumchagua?Pia swali hili aliwahi kuulizwa Mkapa kwenye mkutano uliofanyika LONDON ulioitwa "MAKING POVERT HISTORY" ulihudhuriwa na katibu mkuu wa UN wakati huo Koffi Anan,GODWEN BROWN waziri wa fedha wa uingereza na baadae akawa waziri mkuu.Nakumbuka Mkapa alibadilika usoni na kujibu hivi; "Unapozungumzia umaskini wetu lazima ujue madhara ya historia ya utumwa,ukoloni na sasa utandawazi ambapo sisi babo wachanga kushindana kwa nguvu" Ndugu wana jamii Mh Membe naye aliulizwa swali hilihili sijui wazungu huwa wanapima nini au hawajui kweli chanzo cha ufukara wetu au wanapima uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu lakini Membe alijibu hivi; "Sisi ni masikini kwa sababu tumepigana vita nyingi kusaidia nchi nyingi Africa kupata uhuru na vita ya Kagera"Wana jamii naomba kuwasilisha hoja mezani..................na nani yupo sahihi au yupo karibu na ukweli wa jibu sahihi,pia na sisi tujibu swali hili
naombwa aulizwe Bwan FM maana ya neno INFLATION naamini kabisa hajui maana yake
 
Kikwete ni zuzumagic bin Vasco da Gamma msimhukumu, hajui analolifanya zaidi ya kuzunguka dunia
 
Back
Top Bottom