Donyongijape
JF-Expert Member
- May 28, 2010
- 1,497
- 814
Mimi huwa nasema, [JK ALIKUWA NA NDOTO YA KUWA RAISI WA TANZANIA, LAKINI KWAMBA AKISHA KUWA RAISI AIFANYIE NINI NCHI YAKE..HILI WAZO HAKUWAHI KUWA NALO KABISA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania inaresource nyingi sana ukilinganisha na nchi zingine zilizo endelea, Mfano Mbuga za Wanyama, Madini, Bahari ya Hindi, Maziwa (Tanganyika, Nyasa na Victoria) Watu wastaharabu na wenye ushirikiano, Siasa zetu ni za kistaharabu,
Halafu tunamisitu ya kutosha na mvua pia zinanyesha za kutosha sana, kwaajiri ya kilimo,, tuna mito mikubwa na Mabwawa ya asili kiasi kwamba Hata umeme tunauwezo wa kufua kwatumumia Resources hizo bila kutumia Gharama Kubwa na Kupata Faida Kubwa kwa Maendeleo ya nci,,
Lakini kitu kinacho nichanganya mimi Hivi vitu vyote vinaisha vinakwenda Wapi? Hivi Gesi ya Songas inafanya nini mpaka tunakuwa Na Mgao wa umeme?. Madini yanakwenda wapi sisi tunabaki waomba misaada?

Atafahamia wapi? haya mambo yanahitaji weledi fulani hata mwanangu wa miaka minne ukimuuliza swali kama hilo lazima limshinde
Wana jamii naomba tujadili kauli hii ya Rais wetu aliyopata kutoa akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya BBC ilikuwa hivi; "Mheshimiwa Rais kwanini Tanzania ni masikini pamoja na kupokea misaada mbalimbali kutoka kwa mataifa yaliyoendelea na pia ina rasilimali nyingi?JIBU:NDUGU MTANGAZAJI HATA MIMI SIJUI KWANINI TANZANIA NI MASKINIKama mtu aliyepewa nafasi kutusaidia tutoke kwenye ufukara hajui kweli tulikuwa makini kumchagua?Pia swali hili aliwahi kuulizwa Mkapa kwenye mkutano uliofanyika LONDON ulioitwa "MAKING POVERT HISTORY" ulihudhuriwa na katibu mkuu wa UN wakati huo Koffi Anan,GODWEN BROWN waziri wa fedha wa uingereza na baadae akawa waziri mkuu.Nakumbuka Mkapa alibadilika usoni na kujibu hivi; "Unapozungumzia umaskini wetu lazima ujue madhara ya historia ya utumwa,ukoloni na sasa utandawazi ambapo sisi babo wachanga kushindana kwa nguvu" Ndugu wana jamii Mh Membe naye aliulizwa swali hilihili sijui wazungu huwa wanapima nini au hawajui kweli chanzo cha ufukara wetu au wanapima uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu lakini Membe alijibu hivi; "Sisi ni masikini kwa sababu tumepigana vita nyingi kusaidia nchi nyingi Africa kupata uhuru na vita ya Kagera"Wana jamii naomba kuwasilisha hoja mezani..................na nani yupo sahihi au yupo karibu na ukweli wa jibu sahihi,pia na sisi tujibu swali hili
naombwa aulizwe Bwan FM maana ya neno INFLATION naamini kabisa hajui maana yakeWana jamii naomba tujadili kauli hii ya Rais wetu aliyopata kutoa akihojiwa na idhaa ya kiswahili ya BBC ilikuwa hivi; "Mheshimiwa Rais kwanini Tanzania ni masikini pamoja na kupokea misaada mbalimbali kutoka kwa mataifa yaliyoendelea na pia ina rasilimali nyingi?JIBU:NDUGU MTANGAZAJI HATA MIMI SIJUI KWANINI TANZANIA NI MASKINIKama mtu aliyepewa nafasi kutusaidia tutoke kwenye ufukara hajui kweli tulikuwa makini kumchagua?Pia swali hili aliwahi kuulizwa Mkapa kwenye mkutano uliofanyika LONDON ulioitwa "MAKING POVERT HISTORY" ulihudhuriwa na katibu mkuu wa UN wakati huo Koffi Anan,GODWEN BROWN waziri wa fedha wa uingereza na baadae akawa waziri mkuu.Nakumbuka Mkapa alibadilika usoni na kujibu hivi; "Unapozungumzia umaskini wetu lazima ujue madhara ya historia ya utumwa,ukoloni na sasa utandawazi ambapo sisi babo wachanga kushindana kwa nguvu" Ndugu wana jamii Mh Membe naye aliulizwa swali hilihili sijui wazungu huwa wanapima nini au hawajui kweli chanzo cha ufukara wetu au wanapima uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu lakini Membe alijibu hivi; "Sisi ni masikini kwa sababu tumepigana vita nyingi kusaidia nchi nyingi Africa kupata uhuru na vita ya Kagera"Wana jamii naomba kuwasilisha hoja mezani..................na nani yupo sahihi au yupo karibu na ukweli wa jibu sahihi,pia na sisi tujibu swali hili