ULIFIKIRI AU!!!!!!!!!!!!!
China, Urusi na hata Venezuela ni nchi za Kibepari?
Kwa ufinyu wako wa mawazo na uelewa unataka kutufundisha kuwa UNEMPLOYMENT inaondolewa kwa kuwa rafiki na USA, UK na Israeli? Hao ndio HR sio!
Kama kila mtu atakuwa na mawazo ya kikoloni kama yako utashangaa nini tukiwa maskini.
Labda nikuulize Tanzania ni muungano wa nchi gani .............. maana naona hamna tofauti ktk akili zenu!
 
Wewe kweli ni kupe, kuna umuhimu mkubwa wa kujiuliza swali hilo kwani ni jukumu la serikali kutua huduma muhimu kwa jamii kwa sababu tunalipa kodi. Hivi kwa mfano madawa au huduma muhimu zinapokosekana hosp hadi watu wanapelekwa india sio umaskini wa nchi huo, hebu changamsha akili yako japo kidogo kwenye kuchangia hoja za msingi na zenye maslahi kwa taifa.
Kuna watu wa ajabu sana hii nchi . Wewe baada ya kufanyakazi ujikwamue na umasikini na usaidie ndugu zako waondokane na umasikini lakini umekaa kwenye key board unajiuliza eti kwanini tz masikini. Je wewe tajiri?
 
Halafu Simbachawene anasema Mtwara watapata 0.3% ya mapato ya gesi. This is a JOKE!!! yaani 99.7% iende kwa mwekezaji?????
 
Asante Mungu,japo nami ni maskin ninayofulsa y kutoa maon yng yakasomwa na sehem ya wa TZ wenzng kupitia Jf,kila mweny kufkir lazma awe na maswal meng juu y "ufukara"huu wa TZ,majib ni meng ila 1la muhm ni uongoz mbovu wa wapendwa wetu(ccm)tuliowaamin na kuwapa dhamana ya kutuongoza,nasema bila kupepesa macho hawa ndio adui wa maendeleo ya nchi hii,km huamin fatilia dili ya Rada ilivyowaingizia pesa,richmond,epa na mikataba ya hovyo ya madin inavyowanufaisha viongozi hawa.
 
Kuna watu wa ajabu sana hii nchi . Wewe baada ya kufanyakazi ujikwamue na umasikini na usaidie ndugu zako waondokane na umasikini lakini umekaa kwenye key board unajiuliza eti kwanini tz masikini. Je wewe tajiri?

jamaa namfahamu , anapesa zaidi ya lowassa. kinacho mkatiza nikwamba juzi juzi kikwete alikuwa hana pesa ila anashangaa kikwete kukaribia kumfikia japokuwa nchi ni maskini!
 

kuna huyu kiongozi, THE KIKWETE yaani ndo anatuletea umaskini bila hata kificho.
 
Kanga,kofia,pilau na nyama,skafu,mashati na t-shirt,posho,kuhongwa,kuuza haki yako ya kupiga kura,uchakachuzi wa kura zetu nk ma-ccm ni zaidi ya mashetani.
 
Halafu Simbachawene anasema Mtwara watapata 0.3% ya mapato ya gesi. This is a JOKE!!! yaani 99.7% iende kwa mwekezaji?????

kweli sijivunii kuishi litanzania ila najivunia kuliona litanzania.Kitendo cha nchi yetu kukubali mikataba dhaifu haina tofauti na wakati wa ukoloni ambako walidanganywa kwa vioo na kukubali kuuza nguvu za watu! VIONGOZI WETU WOTE WAPUUZI KWA KUTOCHUKUA HATUA YEYOTE KUHUSU MIKATABA DHAIFU!!!
 
Tanzania si masikini.
Ni fikra potofu tulizojengewa na viongozi wetu kutupumbaza,kutufanya wajinga na watumwa pasipokujijua na hata tukijitambua tusithubutu kujikwamua kutoka kwenye mbawa zao.
Hakuna uwiano wa kipato au kimaslahi kati ya mtawala na mtawaliwa.Hakuna sera ya nchi yenye kutekelezeka kwa kumthamini raia na kulinda rasilimali kwa ujumla.
Kuibadili Tanzania na mfumo wa kinyonyaji na kiwiziwizi,twahitaji badiliko moja kubwa la kisiasa,uchumi na kijamii-tuweze kuwajibisha wakosaji na wafujaji n.k
 
jf kuna watu wana hoja nzuri sana, na wenye mawazo chanya ila huwa najiuliza, je maoni haya huwa yanawafikia walengwa? maana inawezekana huku hawapo, na je yakiwafikia wanafanya nini?
ngoja na mm bwana niseme kitu,thread hii imenikumbusha swali ambalo nilifanya la UE kwenye somo fulani, ambalo liliulizwa kwanii Tanzania ni Masikini na wakati rasilimali zote tunazo? nakumbuka nilikua 2nd yr nilijaza booklet na niliitwa ofisini nikaonywa eti nichunge hoja zangu, hii ndo sisiem, ila mimi sitaacha kusema kuwa nchi yetu siyo masikini, bali kinachoifanya iwe masikini ni siasa chafu kutoka kwa viongozi wabovu,na ulimbukeni wa maendeleo yaani kukitokea kitu chochote kwa jinsi kitakavyopokelewa hapa tz ni kama ule msemo wasemao mwanafunzi anamzidi mwalimu, hatima yake tunaishia kulazimishiwa ushoga,.
laiti kama tungeweza kuwapata viongozi safi, makini na waliocommited kutetea masilah ya nchi na kusimamia ipasavyo rasilimali zilizopo basi hili neno umasikini lingetamkwa kwa sauti ya kufifia au maandishi yake yangesomeka kwa shida..tatizo ni kwamba, mtu anapoujua ukweli halafu akakosa altenative, hasa kwa viongozi wetu hawa, huishia tu kuwajibisha watu wasio na hatia.Wasomi wapo kibao na wenye fani zao mbalimbali lakini wanaishi kama watu wa south sudan bwana...aaaaah:A S angry:
 
Mkuu Rutashubanyuma Uchumi mnao

Mali zipo Ardhi ipo nzuri Mafuta ya Petroli yapo Tanzania Gesi ipo ya Songosongo na huko Mtwara,Dhahabu ipo ya kumwaga

Shinyanga, Alamasi ipo Madini makubwa ya Utajiri wa duniani yaani Uranium yapo Tanzania, Tanzania kuna kila kitu

lakini Hakuna Viongozi wazuri wenye kupenda Raia wao ndio maana Tanzania tupo Masikini mimi mpaka leo

ninajiuliza Kwanini Tanzania nchi yetu iwe Masikini? Na Kila kitu kipo hapo Tanzania?Sijapata jibu mpaka sas hivi?

Economy:

Main articles: Economy of Tanzania, Transport in Tanzania, and Microfinance in Tanzania

A market near Arusha

The Bank of Tanzania is the Central bank of Tanzania and is responsible for printing and maintaining the Tanzanian shilling.[SUP][20][/SUP]

The economy is mostly based on
agriculture, which accounts for more than half of the GDP, provides 75% (approximately) of exports, and employs approximately 75% of the workforce. Topography and climate, though, limit cultivated crops to only 4% of the land area. The nation has many natural resources including minerals, natural gas, and tourism.

Extraction of natural gas began in the
2000s. Gas is drawn into the commercial capital, Dar Es Salaam and exported to various markets overseas. Tanzania has vast amounts of minerals including gold, diamonds, coal, iron, uranium, nickel, chrome, tin, platinum, coltan,niobium, and others. It was announced in February 2012 that the collapsed volcano approximately 200 km north of Mbeya, MountNgualla, contained one of the largest rare earths oxide deposits in the world.[SUP][21][/SUP]

Tanzania is the third-largest producer of gold in Africa after South Africa and Ghana. The country is also known for Tanzanite, a type of precious gemstone that is found only in Tanzania. The mineral sector started to pick-up

slowly in the late 90s; major discoveries are announced regularly. However, the mineral sector has yet to start contributing significantly to the overall Tanzanian economy, and industry is still mainly limited to processing agricultural products and light consumer goods.


Growth from 1991 to 1999 featured industrial production and a substantial increase in output of minerals, led by
gold. Commercial production of natural gas from the Songo Songo island in the Indian Ocean off the Rufiji Delta

commenced in 2004,[SUP][22][/SUP] with natural gas being pumped in a pipeline to Dar es Salaam, the bulk of it converted to electricity by both public utility and private operators. A new gas field is being brought on stream in Mnazi Bay.


Panorama of Dar es Salaam

Recent public sector and banking reforms, as well as revamped and new legislative frameworks, have all helped increase private-sector growth and investment. Short-term economic progress also depends on curbing corruption.[SUP][23][/SUP]

Prolonged drought during the early years of the 21st century has severely reduced electricity generation capacity
(some 60% of Tanzania's electricity supplies are generated by hydro-electric methods).[SUP][24][/SUP] During

2006, Tanzania suffered a crippling series of "load-shedding" or power-rationing episodes caused by a shortfall of generated power, largely because of insufficient hydro-electric generation. Plans to increase gas- and coal-fueled generation capacity are likely to take some years to implement, and growth is forecast to be increased to 7% or more per year.[SUP][25][/SUP]


There are two major airlines in Tanzania: the Air Tanzania Corporation and Precision Air; both provide local flights to Arusha,Kigoma, Mtwara, Mwanza, Musoma, Shinyanga, Zanzibar and regional flights to Kigali, Nairobi

and Mombasa. There are also several charter firms and smaller airlines, such as Bold Aviation Ltd., Tropical Air and Coastal Aviation Ltd. There are two railway companies: TAZARA provides service between Dar-es-Salaam

and Kapiri Mposhi, a district of the Central Province in Zambia. The other one is the Tanzania Railways Corporation, which provides services between Dar-es-Salaam and Kigoma, a town on the shores of Lake

Tanganyika
and between Dar-es-Salaam and Mwanza, a city on the shores of Lake Victoria. Several modern hydrofoil boats also provide transportation across the Indian Ocean between Dar-es-Salaam and Zanzibar.

Tanzania is part of the East African Community and a potential member of the planned East African Federation.


Tunayo haya Madini (gold, diamonds, coal, iron, uranium, nickel, chrome, tin, platinum, coltan,niobium, and others.) Bado Eti Tanzania ni nchi i Masikini? Ajabu kubwa sana?
 
Last edited by a moderator:


WATALII na watafiti 16,500 wa masuala ya wanyamapori kutoka mataifa mbalimbali duniani wamefurika katika Hifadhi ya Taifa Serengeti, kushuhudia tukio la aina yake la nyumbu zaidi ya 8,000 kuzaliwa kwa siku, katika kipindi cha wiki sita. Nyumbu hawa, wameanza kuzaliwa mapema mwezi huu na baada ya wiki sita wanatarajiwa kuzaliwa 500,000 lakini kati ya hao, karibu nusu yao, huliwa na wanyama wengine, wakiwapo simba, fisi na mamba kabla ya kukua huku wengine wakifa kutokana na kupotezana na
wazazi wao.

Hifadhi hiyo yenye zaidi ya nyumbu 1.5 milioni, ina jumla ya simba 3,000 na fisi 7,500 ambao ndio walaji wakubwa wa nyama katika hifadhi hiyo. Wakizungumza na waandishi wa habari, baadhi ya watalii hao, toka nchini Ubelgiji, Uingereza, Marekani na Ufaransa, walieleza kuvutiwa na tukio hilo, waliloliita kama "The Great Migration" .

Robert Joseph Raia wa Ubelgiji alisema, wamevutiwa sana na tukio la idadi kubwa ya nyumbu kuzaa kwa wakati mmoja. "Ni tukio la ajabu duniani kila siku hapa nyumbu zaidi ya 8,000 wanazaliwa na watoto baada tu ya kuzaliwa dakika tano hadi nne, wanatembea"anasema.

Nicky Johnson raia wa Ufaransa, anaeleza kuwa, huu ni mwaka wake wa kwanza kufika Tanzania na Serengeti na alikuwa akiona kwenye mikanda ya video tukio la nyumbu zaidi ya 1.5 milioni kuhama na baadaye wakiwa Serengeti wanavyozaa na kuendelea na safari yao.

"Hili ni tukio zuri, sikuwahi kuliona sehemu yoyote duniani,hili ni jambo la ajabu, Tanzania mnapaswa kujivunia kwa tukio hili"alisema Jonson. Mkuu wa Idara ya Utalii wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Godson Kimaro alisema tofauti na miaka ya nyuma mwaka huu
kuanzia Februari Mosi hadi Februari 24, jumla ya watalii 10,621 toka nje ya nchi wamefika Serengeti kushuhudia nyumbu wakizaliwa.

Kimaro alisema katika kipindi hiki pia kuna Watanzania 5,815 wametembelea hifadhi, ikiwa pia ni ongezeko la zaidi ya asilimia 50 katika kipindi kingine. Naye Meneja Uhusiano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) Pascal Shelutete alisema Tanapa kuanzia mwaka
jana, imeanza kulitangaza kimataifa tukio la nyumbu kuingia nchini, kuzaliana na kuondoka ili kuwavutia watalii. Shelutete alitoa mwito kufika kuona maajabu hayo.


Source: Mwananchi.

Muono wangu;

Mungu atupe nini Tanzania!! Kama ni vyanzo vya mapato kila siku vinaongezeka. Ila Viongozi Wetu ndiyo nao Wanashangaa kwa Nini Tanzania ni maskini. Kwa kuzalisha zero sijui tutaweza kusimamia Rasilimali zetu baadae Mungu turehemu maana waliopo Madarakani Ni Wasomi na wameshindwa. Watanzania tung'oe hiki kikwazo cha maendeleo.
 
Nchi ni tajiri, shida uongozi mbovu. Wnye meno wanaila
 
Mleta uzi asante kwa kuwa na upeo wa kutuwekea katika janvi leetu tujadili. Kama unavyojiuliza "Sijui kwa nini Tanzania ni Maskini". Nina imani kila Mtanzania mzalendo anajiuliza swali hili la muhimu.Mimi ni mdau wa utalii na niko humo kwenye utalii katika sekta binafsi.Tuna kila sababu ya kujivunia kutokana na mbuga zetu na jinsi TANAPA wanavyojitahidi kuzitunza ukilinganisha na majirani zetu.Watalii wanaoingia Serengeti wanaongezeka mwaka hadi mwaka.Ukitoa utalii wa picha (photographic safaris), kuna uwindaji katika maeneo tengefu kama Selous na kwingineko.Gharama za kuingia katika hifadhi kwa wageni ni kati ya $ 35 na $ 50 kwa kichwa kwa siku kutegemeana na hifadhi, kuna wanaokwenda safari za kupiga kambi (camping safaris) hizi zina gharama za nyongeza.Dereva wa utalii pamoja na gari pia huchajiwa sh.11`500 kwa siku.Kwa uchache tu unaweza kuona kwamba kwa utalii peke yake na uwindaji kwa ujumla Tanzania inakusanya pesa nyingi ambazo zinawez kusaidia kukuza uchumi wa nchi.

Kama sekta ya utalii na madini zikisimamiwa vizuri na Watanzania wazalendo, wenye uchungu na nchi hii, kwa hakika sisi masikini na hatutahitaji msaada katika bajeti zetu.Lakini kwa uroho na uchu wa viongozi wetu kujilimbikizia mali na kusahau utumishi wao,ndugu zangu tusitegemee maendeleo ila tutabaki ombaomba kwa nchi Tajiri.Tuamke na tubadilike.Tuipende Tanzania kwani wajenzi wa nchi ni sis wenyewe na si vinginevyo.Anayetupa msaada anategemea kurudishiwa kitu na siku zote kulipa fadhila ni gharama kubwa kupita msaada uliyopokea.Tujitambue,Tanzania bila umasikini inawezekana.
Nawasilisha
 
Naongezea,sasa hivi pia tuna neema ya gesi na uranium,jamani Mungu atupe nini tena?Watanzania tuungane tumuondoe huyu mkoloni mweusi masisiem la si hivyo tutazidi kuwa omba omba sisi na vizazi vyetu....
 
Kila ninapotembelea hifadhi ya SERENGETI kupitia vijiji vya ISSENYE, MOTUKERI, NATTA, MAKUNDUSI, IKOMA, BURUNGA vikiwa katika lindi la umasikini na ufukara, machozi huwa yananilengalenga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…