Wakuu heshima zenu
Nimekuwa nikifikiria kuhusu nchi yangu kimaendeleo na kupata jibu hili.Kwanini nchi yetu bado tupo nyuma sana ilhali tuna vitu vingi vya kutufanya tusonge mbele.Kwa uelewa wangu mdogo nadhani kuna kitu kimoja hatunacho.Hiki kitu si kingine bali ni nishati bora na yenye uhakika.Hapa ndimbo mchawi wetu alipo.
Nawasilisha
 

mdau kwanza jaribu kuainisha hapa ni vitu gani vingi uonavyo vinafaa kutufanya tuendelee????
 

Akili!
 
Nikichukulia mfano wa migodi.Tumeshindwa kufanya smelting(kutenganisha, sio fasaha), udongo wa dhahabu buzwagi na bulyanhulu kwasababu umeme unaotumika ni mkubwa sana, kabanga nickel imeshindwa kuanzishwa umeme unaohitajika kule ni mkubwa sana, ni project nzito.Wawekezaji wa viwanda hakuna kisa umeme hauleweki.Lazima tuzidi kudidimia.
 
Kwa hiyo hilo tatizo la nishati limeletwa na Mungu au ni haya MACCM?
 
Mkuu napingana na wewe kwa kiwango kikubwa sana cha kubisha cjui tukipe jina gan kipimo hicho ukwel mchawi wetu mkubwa kufikia huko mbele ni chama cha mapinduzi! Mazingira ya kuzalisha hata megawat milioni moja hapa nchin upo tena mkubwa sana!tazama mabwawa na mito inayoweza kuzalisha umeme! Kuna gesi!makaa. Upepo daaah!
 
Akili tunazo za kutosha ila ndo hivyo tena mtu ni mtaalamu wa kurutubisha nyukilia lkn ana kuwa mtu wa kufungua makongamano na kukata tepe kuzindua majengo hata ya bar? Daktar bingwa wa binadamu anakuwa muimba mipasho bungeni unategemea nin! Bila ccm kuondoka hakuna kitu
 
bullion, tatizo la Tanzania na nchi nyingine kusini mwa bara la Afrika ni moja "Utawala Bora" , ndani ya hiyo utakutana na mengi ambayo unayoona kila siku kwa mfano rushwa, uwajibikaji, kujuana nakadhalika.
 
Last edited by a moderator:
wanajanvi naomba mwenye ile interview aliyoulizwa swali mkulu kuhusu umasikini wa tanzania pamoja na kuwa nchi iliyojaliwa neema ya rasilimali nyingi naomba aiweke hapa, kwani mkulu alijibu kuwa hata mimi sijui tanzania kwanini ni masikini. nawasilisha
 
Mkuu mbona unapenda strees ukiyona unaweza toa machozi! huyu huyu ndiyo aliyesema foleni dar ni ishara ya maisha bora
 
Lile swali lilijibika kilaana laana kweli watz tumelaaniwa
Tunaongozwa na mtu asiyejuwa umasikini wa wananchi wake unatokana na nini ni shida kubwa hii
 
Halafu ajabu ya dunia akatudanganya maisha bora kwa kila mtanzania inawezekana, wakati hajui chanzo cha uduni wa maisha ya mtanzania, hata ALLY KESSY amemshinda ujanja rais huyu, Kesy alisema mwiba unatokea ulipo ingilia. Huyu mr traveller bwana ni nom anatupeleka asipo pajua maana yamekuwa bora maisha.
 
Aliwahi sema ukubwa wa Tz ni liability.... wakati kila kona ya nchi ni asali na maziwa... kanda ya ziwa dhahabu, kaskazini utalii..kilimanjaro mt etc, mashariki gas, kusini utalii na national basket.... mi nahisi saa nyingine huwa ni slip of the tongue maana siamini kama yuko low that much. ...
 
Ndugu wana Jamiiforums.

Mimi nashangaa sana kutokana na mali Tanzania ilonazo kama ardhi, maji, misitu, wanyama, madini n.k. kulikoni kuishi kimaskini na kuomba omba huku mikataba ya miaka mia mia ikifungwa.

Kwanini tusitumie mali hizo kuhahakisha kwamba kila mwananchi anafaidi?
 
Nikwli na niwazi kuwa ni jambo linawezekana kabisa ila viongozi wetu ama wasimamizi tulio waamini na kuwachagua wayasimamie hayo ndo hao wamekthiri kwenye rushwa na ufisadi uno lididimiza taifa na kufanya tuzidi kuw omba omba tunaweza kufanya hivyo kam tu tutakuwa na viongozi wanao lijali hili dhamana ni yetu wananchi Ila kala jambo lina kiongozi
 

Nikupe mfano tu;- jiji la DUBAI hawana vivutiyo vya aina uliyotaja, Lakini wana mchanga tu (jangwa tupu) Lakini kipato chao huletwa na UTALII pekee. Hapa ufisadi umekubuhu....! jibu dogo tu.
 
Wakuu, Hivi shidakubwa katika hii nchiyetu ninini haditunafika katika halimbaya ya umaskini kiasihiki. Deni lataifa limeshakuwa gendayeka , wizi wa mabilioni ya fedha za uma,na mambo mengine mengitu yanayotia hasira na kichefu chefu. Natamani niweke swalilangu katika vichwa vya watanzania woote kwamba hivi tatizo ni VIONGOZI au NISISI WANANCHI tunaowaweka hawa viongozi madarakani!! Than kwa swali hili ndio litatupa ujuzi wa kujuachakufanya 2015.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…