Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka sema hatujawai kuwa sawa na china?Huu uongo kwamba mlikuwa sawa na China sijui mmelishwa na nani?
Anyway tatizo ni ngozi nyeusi, popote alipo mtu mweusi ni matatizo!
Unaweza linganisha South Africa na Tanzania kiuchumi?Matatizo ya nchi zote za kiafrika yanafanana
Pia kimbelembele na kiherehere cha kutetea wengine palestina msumbiji Namibia etcKwa sababu ya CCM.
Hilo halina mjadala.
Ni kama Cuba bado wanaishi maisha ya miaka ya 1950's.
Inasikitisha sana.
CcmNimeangalia nchi Saudi Arabia, China, South Africa na nyingine kama hizo ambazo kipindi flani tulikua nao sawa ila kwa sasa wametuacha mbali sana.
Hivi ni kweli hatuwezi jenga hata matundu choo mpaka tusaidiwe na Marekani?
Tuna kila kitu kuanzia rasilimali kama gesi, dhahabu nk nk lakini why sisi ni maskini?
Unazima nPia kimbelembele cha kutetea wengine palestina msumbiji Namibia etc
Ukisoma huu uzi wote utapata majibuNimeangalia nchi Saudi Arabia, China, South Africa na nyingine kama hizo ambazo kipindi flani tulikua nao sawa ila kwa sasa wametuacha mbali sana.
Hivi ni kweli hatuwezi jenga hata matundu choo mpaka tusaidiwe na Marekani?
Tuna kila kitu kuanzia rasilimali kama gesi, dhahabu nk nk lakini why sisi ni maskini?
Bora kukopy majina ya kiyahudi unapata baraka.Ni nani aliyekuambia mtu mweusi ni mtu kamili kwa 100%.
Majina tu tunavopy kwa Waarabu, Wa Israel na wazungu.
Imagine kama majina tu tunacopy vipi vitu vingine vikubwa?