Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Nimeangalia nchi Saudi Arabia, China, South Africa na nyingine kama hizo ambazo kipindi flani tulikua nao sawa ila kwa sasa wametuacha mbali sana.

Hivi ni kweli hatuwezi jenga hata matundu choo mpaka tusaidiwe na Marekani?

Tuna kila kitu kuanzia rasilimali kama gesi, dhahabu nk nk lakini why sisi ni maskini?

Kwa sababu ya CCM.
Hilo halina mjadala.
Ni kama Cuba bado wanaishi maisha ya miaka ya 1950's.
Inasikitisha sana.

Poor leadership, corruption, lazy,
Poor education

Huu uongo kwamba mlikuwa sawa na China sijui mmelishwa na nani?

Anyway tatizo ni ngozi nyeusi, popote alipo mtu mweusi ni matatizo!

Matatizo ya nchi zote za kiafrika yanafanana

Ni nani aliyekuambia mtu mweusi ni mtu kamili kwa 100%.

Majina tu tunavopy kwa Waarabu, Wa Israel na wazungu.

Imagine kama majina tu tunacopy vipi vitu vingine vikubwa?

Unaweza linganisha South Africa na Tanzania kiuchumi?

Pia kimbelembele cha kutetea wengine palestina msumbiji Namibia etc

Tumeacha akili ndogo ndiyo iongoze nchi....!

These CHADEMA's operatives may have preconeived notions about Tanzania that are not grounded in reality-lets face it, none of these 'scripted rhetoric' messages came with a solution.

CHADEMA has to engage its citizens in a dialogue that is rooted in respect. And not negative reinforcement that are compounded with superficial judgment.


Much like how borders can be seen as arbitary lines that don't necessarily reflect the true nature of a region or its people. CHADEMA arbitarily uses foreing agents to spearhead provocative, senseless and unfounded narrative to fit its agenda in Activism, by mocking Tanzania's citizens?

To you who hide behind scripted messages and digital avatars to spread such misconceptions, know that your actions are a diisservice to Tanzania.

CHADEMA, you must change your narratives, and strive for deeper comprehension that goes beyond superficial judgements. Tanzania, like all nations, cannot be defined by a single narrative or a singular issue, for instance the presence or absence of latrines.

Question to the CHADEMA hired Operatives-Why are you hiding in the guise of being Tanzanians? Why digital blackfacing?

Your digital masks perpetuates hate and division and distorts and diminishes the lived experiences of Tanzanians.

Somewhat, you think the words you're using are not harmless; well, they are. They contribute to a narrative that dehumanizes and mocks and slander, all under the guise of fostering development, democratic ideals and so on using humor or social commentary or the 'Savior mentality, where you believe you're helping or saving Tanzania problems while actually perpetuating stereotypes.

CHADEMA cannot solve Tanzanias problems if it continues to engage foreign operative and agents in a socio-political sphere that is culturally different from them.

I urge all Tanzanians to reject CHADEMA their foreign agents and Operatives and their digital masks that perpetuate hate and division, and instead urge CHADEMA and its affiliates of foreign advesaries to engage in a dialogoe rooted in respect and truth.

We must challenge these narratives.
 
UMASIKINI UNAANZIA KICHWANI.

Siungi mkono hoja ya rangi ya ngozi maana katika historia kuna ngozi nyeusi wengi tuu wameshakuwa matajiri tena wa kutupwa kama yule Muhuni wa Mali anaitwa Mansa Musa, nenda kwenye list ya matajiri Africa wakina Dangote na wengineo
Hapa hapa Tz tuna watu weusi matajiri sana tena sana wasanii na wasio wasanii. Na hii ni prove kama ngozi nyeusi inaweza ikawa tajiri ikiamua tuu.

Tunapokuja kwenye swala la nchi basi kunaongezeka mambo mengine ila tukumbuke pia hata hao wenyewe ngozi nyeupe huko kwenye nchi zao wanao masikini kama sisi tuu huku tulionao. Nafikiri mada ingekua Uimalishaji zaidi kipato cha nchi husika zaidi kuliko upande wa ngozi au chama tawala. Maana hata ukiangalia nchi nyingine ambao kipato cha nchi ni kidogo sio kwamba na wenyewe wanatawaliwa na kiongozi mmoja au chama kimoja miak yote.

Lakini vipi kuhusu huyu jilani yetu Kagame amekaa uongozini kwa muda gani? Na vipi maendeleo ya nchi toka ameanza kutawala yanapolomoka ama yanakua, na je ana ngozi ipi? Nyeusi au nyeupe?

Ifike mahali watanzania wenzangu tuchunguze maisha yetu binafsi na tugundue tatizo ni nini hasa linalopelekea tuwe hapa, bila kulaumu Chama wala uumbaji wa Mungu (ngozi nyeusi)

1. Kwanza kabisa maendeleo ya nchi hayaletwi na Chama bali ni wananchi, em tujiulize sisi wenyewe kwanza tumefanya nini? Katika vitu ambavyo mwanadamu bila kujali ngozi yake alipewa ni pamoja na AKILI, Je wewe unatumia vipi akili yako, ni kwambie tuu ukweli maendeleo yako wewe binafsi yakiongezeka basi na taifa linakua na maendeleo.

Usiwaze Chama kitakufanyia nini, anza kuwaza wewe utafanyia nini nchi yako, akili si ulipewa, itumie.

Au na akili bado unamawazo kuwa walipewa wazungu tuu? Haya turudi kwenye historia je unajua Satilite ya kwanza kurushwa marekani katika watu waliokuwa wanapiga hesabu (NASA) na watu weusi walikuepo? Fatilia wakina Clarence Ellis, Fredrick Jones na wengine kibao.
Vipi kuhusu hawa watanzania mfano yule mmoja alieajiliwa Apple na kashiliki kutengeneza iphone 15 (Abubakary Ally) hizi ni akili kubwa sana nawatajia ila ni ku prove tuu kuwa kila ngozi ina akili.

Sasa tunapokuja kwenye swala la Maendeleo huletwa na Sheria za kimaendeleo, na hizi sheria zinatakiwa zifatwe na kila mmona wetu, sio wengine wanatapanya mali, wengine wavivu, wengine wanaharibu uchumi na wengine wanaleta maendeleo, ila ikifika kipindi asilimia kubwa ya waTz wakataka maendeleo na kuyapata basi nchi lazima iendelee.

HIVYO NASHAURI TUANZE NA SISI MMOJA MMOJA KUJIULIZA UNAJIKWAMUAJE NA UMASIKINI PASIPO KUMTUPIA MTU MWINGINE LAWAMA? HAKUNA MCHAWI MWINGINE ZAIDI YAKO.
JUA WEWE NDIO KILA KITU KATIKA NCHI, HATA UKITAKA CHAMA TAWALA KIBADILISHWE BASI WEWE NDIO UNATAKIWA KUFANYA HIVYO SIO MWINGINE.

INAANZIA KWAKO

ASANTE.
 
Kama kikwete alikua Rais kwa miaka 10 na hii ni baada ya kutoka jeshini na kuwa waziri kwa miaka kadhaa na bado HAJUI.

sisi raia ukituuliza hilo swali si unatuonea tu.
 
Labda ni mimi tuu ambae sielewi unaposema uongozi mbaya unamaanisha nini. Em tuelezee uongozi mzuri na mbaya
 
Wa-Africa Kusini ni Matajri ? Wahindi ni Matajiri ? Siongelei South Africa kama nchi au India kama nchi bali majority ya wa-africa kusini na wahindi....

In short tukitaka model ya kufanya / kufuata the best way is not to be like Indians au South Africans The Gap in classes ni ya kutisha na kuna masikini wa kutupwa (jambo ambalo ni hatari kwa security ya nchi)
 
Wa-Africa Kusini ni Matajri ? Wahindi ni Matajiri ? Siongelei South Africa kama nchi au India kama nchi bali majority ya wa-africa kusini na wahindi....

In short tukitaka model ya kufanya / kufuata the best way is not to be like Indians au South Africans The Gap in classes ni ya kutisha na kuna masikini wa kutupwa (jambo ambalo ni hatari kwa security ya nchi)
Mkuu masemea uchumi wa nchi ma sio mtu!
 
Nimeangalia nchi Saudi Arabia, China, South Africa na nyingine kama hizo ambazo kipindi flani tulikua nao sawa ila kwa sasa wametuacha mbali sana.

Hivi ni kweli hatuwezi jenga hata matundu choo mpaka tusaidiwe na Marekani?

Tuna kila kitu kuanzia rasilimali kama gesi, dhahabu nk nk lakini why sisi ni maskini?
Mkipata Rais dikteta kama Magufuli lakini anapenda maendeleo ya vitu huyo ndio wa kwenda naye vinginevyo miundo mbinu mizuri mtaisikilizia kwenye Bomba tu.
 
Jiulize Wewe binafsi na ukoo wako Hilo swali Kwa Nini ninyi maskini wakati watanzania wengine matajiri.

AItisha kikao Cha ukoo wenu muulizane mna shida Gani ukoo wenu kujaa maskini watupu.msikutane kwenye vikao vya misiba tu ndugu yenu mmojawapo akifa
1. Ukoo wetu sio maskini. Na ukiongelea level ya ukoo au mtu na mtu basi sisi wenda tukawa top layer ya hii mchi.

2. Nnachoongelea hapa ni nchi kwa ujumla sio mtu.
 
Tuna Roho mbaya... Huu ndio mzizi wa umasikini Africa, maarifa dio shida kwani yanaweza kuhamishika, raslimali zipo za kutosha, lakini ili mtu uendelee lazima kuwe na balance kati ya akili, mwili, na roho... Africa kimwili na akili tupo sawa ila shida tuna roho mbaya ya mtu kujiangalia yeye tu, akiwa kiongozi ataangalia maslahi yake na circle yake tu na hata wanaokandamizwa hujiangalia wao tu hivyo wanashindwa kupigania iliyo haki yao wanaendelea kuumizwa, ROHO ZETU NI MBAYA
Aisee
 
1. Ukoo wetu sio maskini. Na ukiongelea level ya ukoo au mtu na mtu basi sisi wenda tukawa top layer ya hii mchi.

2. Nnachoongelea hapa ni nchi kwa ujumla sio mtu.
Umaskini Sio wastani wa hesabu kuwa unachukua idadi ya Umaskini ulioko kati mtaa au nchi Kisha unagawia wakazi wotevakiwemo Bahkresa,Mo dewji na kuja na jibu kuwa Bahkresa na Dewji ni maskini wa kiwango Gani?

Hesabu zako za wastani wa Umaskini jigawieni wenyewe na ukoo wako wengine tutoe kwenye hiyo hesabu Yako wasani wa umaskini kuwa Kila mtanzania wastani wake huu .Kwenu hukohuko
 
Umaskini Sio wastani wa hesabu kuwa unachukua idadi ya Umaskini ulioko kati mtaa au nchi Kisha unagawia wakazi wotevakiwemo Bahkresa,Mo dewji na kuja na jibu kuwa Bahkresa na Dewji ni maskini wa kiwango Gani?

Hesabu zako za wastani wa Umaskini jigawieni wenyewe na ukoo wako wengine tutoe kwenye hiyo hesabu Yako wasani wa umaskini kuwa Kila mtanzania wastani wake huu .Kwenu hukohuko
Mkuu hoja ya msingi hii..

Kwanini Tanzania kama nchi ni maskini?

Hayo mengine sijui wastani sijui ukoo hayatatusaidia.
 
Mkuu masemea uchumi wa nchi ma sio mtu!
Uchumi wa nchi una faida gani kama majority wanateseka ? Ni heri ukakaa Dar kwenye slums na unakula milo miwili kwa wiki au mmasai unakaa serengeti kwenye nyumba ya nyasi na kila dakika ukitaka kula unapata chakula na unapata natural air condition ?!!!

Ndio maana nikasema Chumi (for the lack of a better word) nyingi za ulimwengu huu ni unsustainable hususan kipindi hiki cha automation kipo Prone sana kwa Matabaka ambayo mwisho wa siku yanayeleta security problems
 
Kuwa na akili wee nyumbu, kj
Jibu swali, nchi gani yenye watu weusi ambako hakuna CCM iliyoendelea?
We utakuwa unatafuta mume..
Naona hoja zimekushinda unaanza matusi, au upo kwenye siku zako.. au una mimba inakupeleka vibaya..
 
Back
Top Bottom