Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Nimeangalia nchi Saudi Arabia, China, South Africa na nyingine kama hizo ambazo kipindi flani tulikua nao sawa ila kwa sasa wametuacha mbali sana.

Hivi ni kweli hatuwezi jenga hata matundu choo mpaka tusaidiwe na Marekani?

Tuna kila kitu kuanzia rasilimali kama gesi, dhahabu nk nk lakini why sisi ni maskini?
Tanzania Sio maskini bali Kuna baadhi ya watanzania ni maskini Sio wote
 
Tuna kila kitu kuanzia rasilimali kama gesi, dhahabu nk nk lakini why sisi ni maskini?
Jiulize Wewe binafsi na ukoo wako Hilo swali Kwa Nini ninyi maskini wakati watanzania wengine matajiri.

AItisha kikao Cha ukoo wenu muulizane mna shida Gani ukoo wenu kujaa maskini watupu.msikutane kwenye vikao vya misiba tu ndugu yenu mmojawapo akifa
 
Eti kuwa na matundu ya choo ndi kunaaashiria Utajiiri? na kutokuwa nayo ni Umasikini

Una upimaje umasikini? kwa mlinganisho wa vyoo mlivyokuwa navyo?
 
Kwa sababu ya CCM.
Hilo halina mjadala.
Ni kama Cuba bado wanaishi maisha ya miaka ya 1950's.
Inasikitisha sana.
Wewe mpumbavu sana, kuna nchi gani yenye watu weusi imeendelea? Huko kote kuna CCM?
Hata nchi za American zenye watu weusi mfano Haiti ni masikini kuliko Tanzania Hadi wanaomba msaada wa ulinzi toka Kenya.
Kuwa na akili acha unyumbu.
 
Nimeangalia nchi Saudi Arabia, China, South Africa na nyingine kama hizo ambazo kipindi flani tulikua nao sawa ila kwa sasa wametuacha mbali sana.

Hivi ni kweli hatuwezi jenga hata matundu choo mpaka tusaidiwe na Marekani?

Tuna kila kitu kuanzia rasilimali kama gesi, dhahabu nk nk lakini why sisi ni maskini?
Tuna Roho mbaya... Huu ndio mzizi wa umasikini Africa, maarifa dio shida kwani yanaweza kuhamishika, raslimali zipo za kutosha, lakini ili mtu uendelee lazima kuwe na balance kati ya akili, mwili, na roho... Africa kimwili na akili tupo sawa ila shida tuna roho mbaya ya mtu kujiangalia yeye tu, akiwa kiongozi ataangalia maslahi yake na circle yake tu na hata wanaokandamizwa hujiangalia wao tu hivyo wanashindwa kupigania iliyo haki yao wanaendelea kuumizwa, ROHO ZETU NI MBAYA
 
Wewe mpumbavu sana, kuna nchi gani yenye watu weusi imeendelea? Huko kote kuna CCM?
Hata nchi za American zenye watu weusi mfano Haiti ni masikini kuliko Tanzania Hadi wanaomba msaada wa ulinzi toka Kenya.
Kuwa na akili acha unyumbu.
CCM ndio chanzo cha matatizo yote, kama umechukia kajinyonge lakini ndio ukweli, mnaongozwa na lichama miaka 60+ hakuna chochote.
 
Nimeangalia nchi Saudi Arabia, China, South Africa na nyingine kama hizo ambazo kipindi flani tulikua nao sawa ila kwa sasa wametuacha mbali sana.

Hivi ni kweli hatuwezi jenga hata matundu choo mpaka tusaidiwe na Marekani?

Tuna kila kitu kuanzia rasilimali kama gesi, dhahabu nk nk lakini why sisi ni maskini?
hofu na uoga wako ndio umaskini, udhaifu na unyonge wako...
 
Nimeangalia nchi Saudi Arabia, China, South Africa na nyingine kama hizo ambazo kipindi flani tulikua nao sawa ila kwa sasa wametuacha mbali sana.

Hivi ni kweli hatuwezi jenga hata matundu choo mpaka tusaidiwe na Marekani?

Tuna kila kitu kuanzia rasilimali kama gesi, dhahabu nk nk lakini why sisi ni maskini?
1.Utamaduni
2 Rushwa

3 Kupata marais wa kawaida kwa muda mrefu mfano huyu wa sasa ina maana tutapoteza muda for ten years .....tena akitokea mwingine wa kawaida 10 years

4.external factors unfair ground kule world bank and imf

Ni mengi mno chanzo cha umaskini hadi mfumo wa kiutawala umekaa ki kingship kidogo
 
Back
Top Bottom