Tanzania Sio maskini bali Kuna baadhi ya watanzania ni maskini Sio woteNimeangalia nchi Saudi Arabia, China, South Africa na nyingine kama hizo ambazo kipindi flani tulikua nao sawa ila kwa sasa wametuacha mbali sana.
Hivi ni kweli hatuwezi jenga hata matundu choo mpaka tusaidiwe na Marekani?
Tuna kila kitu kuanzia rasilimali kama gesi, dhahabu nk nk lakini why sisi ni maskini?