Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Nimekuwa mara nyingi nikisikia kutoka kwa wanasiasa wakiwambia wafuas wao kuwa umasikin walio nao umeletwa na ccm, mimi huwa sielewi ccm kasababisha vp watu wawe masikin,

Sizan kama ni sahihi kuaminisha watu kuwa umasikin wao umeletwa na ccm

Je wewe mwenzangu una ona ni sahihi kuwa umasikin wa taifa letu na watu wake umesababishwa na ccm

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
Anza na kutafakari hili, Ukerewe ni kisiwa ndani ya ziwa Victoria. Kisiwa hiki nacho kina shida ya maji ya bomba kama kule Dodoma,Singida,...........
 
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Nimekuwa mara nyingi nikisikia kutoka kwa wanasiasa wakiwambia wafuas wao kuwa umasikin walio nao umeletwa na ccm, mimi huwa sielewi ccm kasababisha vp watu wawe masikin,

Sizan kama ni sahihi kuaminisha watu kuwa umasikin wao umeletwa na ccm

Je wewe mwenzangu una ona ni sahihi kuwa umasikin wa taifa letu na watu wake umesababishwa na ccm

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa unatuuliza sisi ambao tayari tunaamini hivyo tukujibu nn sasa, waulize ccm labda wanaeza kuwa na jibu tofauti
 
Ili ujue ondoa mahaba kwa CCM weka mahaba yako kwa watanzania wote. Weka mahaba kwa taifa lako.
Usifurahie kuona watanzania wanateseka kwa sababu tu sio CCM au wazazi wao sio makada wa CCM au marafiki zao sio makada wa CCM.

Wengi wanaokula mema ya nchi hii katika madaraka ,ajira nzuri zenye mishahara minono,ama sehemu zenye maisha bora ni ama makada au marafiki zao au wanatokana na mizizi ya wazazi waliokua makada wa CCM.
Hawa akili zao zimegota mana hawajawahi kufikiri sawasawa kuhusu umaskini wa watanzania zaidi ya 80 % kwa kuwa marafiki zao pia ni hao wa kundi hilo. Hawa kamwe hawawezi kujua tatizo la sera , bunge na serikali ya CCM kupata ufaulu wa 20 % tu na kufeli kwa 80%.

Nikirejea kwenye mada :
Mwalimu Nyerere alisema ili tuendelee tunahitaji mambo MANNE:-
1. Watu
2. Ardhi
3. Siasa safi
4. Uongozi bora.

Hapo namba Tatu ndipo tulipo kosa sana na kupoteza uelekeo tangu CCM ilipofanya mapinduzi na kuua azimio la Arusha.Na pia kuzuia juhudi za kulirejesha kwa kupinga Katiba ya Warioba.

Namba nne haijawahi kuwa na shida sana mana kila mmoja anafuata udhaifu wa CCM( chama na bunge lake lenye 78% makada na wakuu wa taasisi zote ambao ni makada.)
Kuna sera nyingi tunazolazimishwa na CCM kuzifuata za kutuletea umaskini na kamwe hatutaweza kutoka kama tutaziendekeza.
Mara nyingine hata marais wetu wanakuja naawazo bora na dhamira ya kujenga nchi lakini sera na misimamo ya CCM ina waangusha chini na kuwagalagaza.
Mfano ni nia nzuri ya kishujaa aliyokuwa nayo Rais wa awamu ya nne ya kutuletea katiba ya wananchi.
Wazo lake na nia yake ilizimwa na CCM na wabunge wake. Chama kilisimama kidete kulinda sera zake na kuangamiza taifa kwa kutuachia katiba ya mkoloni. Katiba inayowafanya wafrika wenzetu kututawala kikatili kinyume na walivyokusudia babu zetu walipinga utawala wa kikatili wa mkoloni.
Yani mtanzania na mtanzania hawawezi kuvumiliana na kukosoana kwa hoja. Watu wanazungumza kwa pingu,risasi na virungu .
Bunge limekuwa ni sehemu ya vyama kuadhibiana na kuwajibishana badala ya kuiwajibisha serikali na kuiadhibu pale inapokuja hoja ya wazi ya serikali kukosea.
Chama kimetoka mbali kabisa na malengo ya waasisi wa taifa hili waliokusudia kujenga,uhuru, umoja, mshikamano na amani ya kweli kwa waafrika wa nchi hii kwa kujenga ustawi wa watu kama makazi bora na kilimo chenye tija na kuwainua wakulima na wafanyakazi.
Chama kimekua ni mali ya wanasiasa na watawala badala ya wakulima na wafanyakazi. Mfanyakazi haruhusiwi tena kukosoa chama chake(CCM).
Nyundo imekua ni kwa ajili ya kuwaponda watanzania na kuwaua na Jembe limekua kwa ajili ya kuwachimbia kaburi.

Mleta mada nadhani umepata jibu kama utaruhusu akili yako isimame kwenye ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia ya watanzania ya kuwa wavivu. Kutaka pesa bila kufanya kazi
 
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Nimekuwa mara nyingi nikisikia kutoka kwa wanasiasa wakiwambia wafuas wao kuwa umasikin walio nao umeletwa na ccm, mimi huwa sielewi ccm kasababisha vp watu wawe masikin,

Sizan kama ni sahihi kuaminisha watu kuwa umasikin wao umeletwa na ccm

Je wewe mwenzangu una ona ni sahihi kuwa umasikin wa taifa letu na watu wake umesababishwa na ccm

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
Nanyupu ki kwetu ni K
 
Ccm na serikali take ndio wanasema magari ya kawaida tuu hata pick up Navara,D4D, Nissan na mengineyo ya shamba kodi ipo ili wananchi waendelee kutumia vibovu ilihali uwezo wa kununua magari mazuri kama Wazambia wanao...
 
Boss nanyupu Si sahihi kuwaaminisha Watu kuwa umasikini umeletwa na CCM. Mimi nakataa 110%. Umasikini wa Wananchi umeletwa na Sisi Wananchi wenyewe. Sisi ndio tuliowaweka CCM madarakani. Ni sisi tunaowachagua kila Chaguzi. Ni sisi tusiojua HAKI na WAJIBU wetu. Ni sisi tunaowachekea. Ni sisi tunaowaogopa. Ni sisi tunaodanganywa na Vi Kanga na Vipilau vya Msimu. Ni sisi tunaosombwa na Malori wakati wa Kampeni tu au Mikutano ya hadhara.

My Take: Tanzania itajengwa na MTanzania, tusitegemee Miujiza au Mzungu au Watu kutoka nje ya Tanzania waje kutuondolea Umasikini.

Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Nimekuwa mara nyingi nikisikia kutoka kwa wanasiasa wakiwambia wafuas wao kuwa umasikin walio nao umeletwa na ccm, mimi huwa sielewi ccm kasababisha vp watu wawe masikin,

Sizan kama ni sahihi kuaminisha watu kuwa umasikin wao umeletwa na ccm

Je wewe mwenzangu una ona ni sahihi kuwa umasikin wa taifa letu na watu wake umesababishwa na ccm

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa

Husika na kichwa cha habar hapo juu

Nimekuwa mara nyingi nikisikia kutoka kwa wanasiasa wakiwambia wafuas wao kuwa umasikin walio nao umeletwa na ccm, mimi huwa sielewi ccm kasababisha vp watu wawe masikin,

Sizan kama ni sahihi kuaminisha watu kuwa umasikin wao umeletwa na ccm

Je wewe mwenzangu una ona ni sahihi kuwa umasikin wa taifa letu na watu wake umesababishwa na ccm

LONDON BABY

Sent using Jamii Forums mobile app

Jibu ni YES na Here is Why?

Ili tuendelee Tunahitaji Vitu Vinne, WATU, ARDHI, SIASA SAFI na UONGOZI BORA, sasa WATU wapo check! ARDHI ipo, check, Shida Iko Wapi then? SIASA chafu za Hilla za Chama Kilicho Madarakani na UONGOZI wa OVYO wa Viongozi wa Chama na serikali Iliyotawala Karibu miaka 57.
 
Back
Top Bottom