Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Ila awe mwenye kujali utu, asiye na upendeleo wala ubaguzi, huyo anayo nafasi ya kutupelela mbele.Maelezo yako ni mazuri ila Mimi naamini Mungu anaipenda sana Tanzania licha ya mabaya yote tunayoyatenda . Kuhusu umaskini wetu sababu zake ni nyingi lakini kubwa ninaloliona ni mgawanyo mbaya wa raslilimali ambazo zinawanufaisha wachache...