gigabyte
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,717
- 6,465
Kwani wewe ndio unayeitwa watanzania?.Watanzania ni utambulisho wa jumla na Mo na bahresa wako umo ndani.sasa sijajua kwanini unataka mtoa mada amwongelee mtu mmoja mmoja wakati iko wazi kua nchi hii ni moja ya nchi maskini duniani.Wewe mtu mmoja kuweza kukidhi mahitaji yako hakuiondoi nchi kutoka kwenye umaskini.Nimejibu nilichoulizwa.
Mtoa mada kasema Watanzania ni masikini.
Nikamjibu kwamba siyo wote masikini. Mimi siyo moja wapo ya hao masikini anaowasema.
Kwani utajiri ni kuwa na mabilioni tu?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app