Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
2))NAITAJI AFYA NJEMA KWANGU NA WAZAZI WANGU/FAMILIA NK

2))Lazima uokoke...hilo halina ubishi kwamba wokovu ni lazima ,na napenda kurejea tena leo kwamba BIBLIA inaweka wazi kwamba BAADA YA KIFO HUKUMU.....hakuna sehemu iliyoandikwa ukifa unanafasi nyinge ya kuomba msamaha ama kuomba uokoke..biblia iko wazi wakati wa wokovu ni sasa...
hakuna haja ya kupoteza muda wewe unaesoma leo hii amua kutoka moyoni mwako mrudie bwana yesu....mfwate akuokoe kama bwana na mokozi wa maisha yako kumbuka yule alietoa sadaka sana yesu akamwambia pamoja na kunitolea sadaka umeoksa kitu kimoja nacho ni wokovu..hivyo pasipo kuwa na wokovu utahudhuria kanisani mpaka soli iachie hakuna kubarikiwa

MKUU MBONA SIJAONA HAPO LINALOPINGANA
 
Mkuu sidhani kama vinapingana. Lengo la kifo pale msalabani ni ukombozi wa mwanadamu. Hatahivyo kifo kile hakitupi ruksa ya kutenda dhambi au kutufanya tuendelee kutenda dhambi kwa kuwa tumekombolewa la hasha. Ni kwamba, ukombozi upo kwa yule atakaye mpokea Kristo katika maisha yake kwani kabla ya kile kifo tulikuwa tumetengwa na uso wa Bwana.

AMINA MTUMISHI WA BWANA
 
Kingine cha kuongezea wakati adam na hawa wanajificha ....aikuwa mazumuni ya mungu kujificha bali ni kutokana na matendo yao waliyoyafanya ambayo kila mmoja alianza kujitetea nyoka nyoka ...mmimi alinipa yule..nk.mpaka sasa kwenye biblia aijatuambia baada ya kujificha walihama eden ..wakati wanaondoka ile eden ilibaki na yule nyoka...ambae ni shetani...ndio maana kuna mistari nitatuma kesho kwamba shetani alibaki na ile enzi na ndio maan kuna wakati anakuwana kiburi....sasa kama mkristo hakuna siku shetan atakuwwa juu yetu...kuna mistari mingi na mambo mengi ya kufanya ili kuikamata ile enzi ndio maana kila siku tunasikia mambo machafu ,mapya...yote yameandikwaa kwenye biblia...

MAOMBI YA ULINZI
kuna maombi,ya kujiwekea ulinzi mwenyewe...shetani halali wapendwa kila siku anasaka watumishi wa bwana...nasi pia tunaitaji kujiwekea ulinzi..maombi ya ulinzi yana mambo kadhaa kwanz aunatakiwa ujue kusudio lake.pili kujitoa...
ntwaeleza kesho mungu akitupa neema yake

VISASI
hivi ni visasi vinavyofanya watu wanataabika sana sana hasa katika familia tunaona zinavyowakaanga.....ukiwa unasali unatakiwa kukemea na kuvikatakata visasi vyote vya enzi za mababu na mababu..nini maana yake yawezekana baba yako ama mamayako alikorofishana na wazazi kabla ya kufa ama hata kama wako hai...akamtolea maneno ya kisasi..kama wengine wasemapo utahangaika na uzao wako wote mpaka ukome...hiki kinatambaliza hadi vizazi vya nne....tunaitaji kujivua kabisa na hili

KUKATA KITOVU
yaaah tunaona hata kwenye biblia kuna sehemu ambazo watu walikuwa wanateseka kabisa ya kutokatwa kitovu...najua wengi wanahisi kitovu kama kitovu yaa ni muunganiko..unajua katika wazazi wetu tunaunganishwa na kitovu na ndio maana wakati wa kuzaa ukikata kitovu vibaya unamwondoa mtoto...sasa basi lengo ni kuelekeza ukiwa unafanya maombi unatakiwakukata kitovu kwa imani kutoka kwa wazazi wako ili kujiondoa na laana na visasi na mizimu yote ya wazazi wako waliokuwa nayo ambayo ulikuwa umeunganishwa nayo....

WASIMAMIZI
hawa ni watu ,kabisa ambao unaweza kuwaona katika ulimwengu wa roho ,wasimamizi ni watu wabaya sana sana...ni watu ambao wanaangalia kwa nini huyu anafanya hili...utakuta wat weni wanateswa na wasimamizi...pia nitaleta maandiko yanayohusu wasimamizi na jinsi ya kujivua kutoka kwa wasimamizi.....utakuta ntu anafanya kazi miaka 25-30 lakini maisha yake ni mabovu kabisa kabisa...anapata hela la kini wasimamizi wana deal nae
 
Ndugu zangu kumekuwa na maswali mengi sana kwa waumini mbalimbali...makanisa mengi hayawaweki watu wazi jinsi gai ya kubarikiwa badala yake wanaelimisha sana kuhusu matoleo.......
yaaah unaweza kutoa sadaka nyiiingi kupita kiasi na zaka nyingi na kila siku mchungaji akawa anakutembelea nyumbani kwako kwa ajili tya heshima za zako .....lakini tujiulize kwa nini makanisa mengi ya watu wa mungu watu hawabarikiwi.....yaani unakuta idadi ya masikini ni kubwa kliko matajiri...

Mkuu yaani kwa tafsiri yako kubarikiwa ni kuwa tajiri?
 
Mkuu yaani kwa tafsiri yako kubarikiwa ni kuwa tajiri?
ans:
naomba nimjibie utajiri ni moja tu ya baraka zitokazo mikononi mwa mungu....umasikini ni shetan na wala si mapenzi ya mungu mpendwa
 
kornelio alibrikiwa sana na utajiri wa dunia hii na kumtolea bwana awezavyo lakini mungu alimwambia bado....roho yako yaitaji kupona...mrudie bwana uokoke ndipo alipoanza safari ya mbinguni
 
Mkuu yaani kwa tafsiri yako kubarikiwa ni kuwa tajiri?
ans:
naomba nimjibie utajiri ni moja tu ya baraka zitokazo mikononi mwa mungu....umasikini ni shetan na wala si mapenzi ya mungu mpendwa

Kwa hiyo "matajiri" wote wamebarikiwa na Mungu? hata wale wanaopata huo utajiri kwa njia za mkato?
 
zzzzzzzzzzzzzzzzzz! kazi kwelikweli, maskini wote ni wa shetani?? na mafisadi wamebarikiwa, naota au!!
 
Yaani Bibi kizee umewapa watu kitetemeshi cha mdomo 😀
 
Kingine cha kuongezea wakati adam na hawa wanajificha ....aikuwa mazumuni ya mungu kujificha bali ni kutokana na matendo yao waliyoyafanya ambayo kila mmoja alianza kujitetea nyoka nyoka ...mmimi alinipa yule..nk.mpaka sasa kwenye biblia aijatuambia baada ya kujificha walihama eden ..wakati wanaondoka ile eden ilibaki na yule nyoka...ambae ni shetani...ndio maana kuna mistari nitatuma kesho kwamba shetani alibaki na ile enzi na ndio maan kuna wakati anakuwana kiburi....sasa kama mkristo hakuna siku shetan atakuwwa juu yetu...kuna mistari mingi na mambo mengi ya kufanya ili kuikamata ile enzi ndio maana kila siku tunasikia mambo machafu ,mapya...yote yameandikwaa kwenye biblia...

MAOMBI YA ULINZI
kuna maombi,ya kujiwekea ulinzi mwenyewe...shetani halali wapendwa kila siku anasaka watumishi wa bwana...nasi pia tunaitaji kujiwekea ulinzi..maombi ya ulinzi yana mambo kadhaa kwanz aunatakiwa ujue kusudio lake.pili kujitoa...
ntwaeleza kesho
mungu akitupa neema yake

VISASI
hivi ni visasi vinavyofanya watu wanataabika sana sana hasa katika familia tunaona zinavyowakaanga.....ukiwa unasali unatakiwa kukemea na kuvikatakata visasi vyote vya enzi za mababu na mababu..nini maana yake yawezekana baba yako ama mamayako alikorofishana na wazazi kabla ya kufa ama hata kama wako hai...akamtolea maneno ya kisasi..kama wengine wasemapo utahangaika na uzao wako wote mpaka ukome...hiki kinatambaliza hadi vizazi vya nne....tunaitaji kujivua kabisa na hili

KUKATA KITOVU
yaaah tunaona hata kwenye biblia kuna sehemu ambazo watu walikuwa wanateseka kabisa ya kutokatwa kitovu...najua wengi wanahisi kitovu kama kitovu yaa ni muunganiko..unajua katika wazazi wetu tunaunganishwa na kitovu na ndio maana wakati wa kuzaa ukikata kitovu vibaya unamwondoa mtoto...sasa basi lengo ni kuelekeza ukiwa unafanya maombi unatakiwakukata kitovu kwa imani kutoka kwa wazazi wako ili kujiondoa na laana na visasi na mizimu yote ya wazazi wako waliokuwa nayo ambayo ulikuwa umeunganishwa nayo....

WASIMAMIZI
hawa ni watu ,kabisa ambao unaweza kuwaona katika ulimwengu wa roho ,wasimamizi ni watu wabaya sana sana...ni watu ambao wanaangalia kwa nini huyu anafanya hili...utakuta wat weni wanateswa na wasimamizi...pia nitaleta maandiko yanayohusu wasimamizi na jinsi ya kujivua kutoka kwa wasimamizi.....utakuta ntu anafanya kazi miaka 25-30 lakini maisha yake ni mabovu kabisa kabisa...anapata hela la kini wasimamizi wana deal nae
Mkuu, mi bado nasubiri. Uliahidi kutuletea maandiko zaidi. Naendelea kusubiri. Asante.
 
Kwa hiyo "matajiri" wote wamebarikiwa na Mungu? hata wale wanaopata huo utajiri kwa njia za mkato?

siyo matajiri wote wamebarikiwa na Mungu, lakini kama unafuata mapenzi yake lazima atakubariki na moja ya baraka zake ni kuwa tajiri, Mungu wetu hapendi tuwe maskini, wala tuishi maisha ya dhiki.
Na tunapotoa sadaka na zaka zetu Mungu mwenyewe kwenye neno lake amesema atamkemea yeye alaye na anayeharibu kazi za mikono yako hapo siyo kazi ya mchungaji wala askofu ni Mungu mwenyewe, na unapotoa zaka yako unatakiwa uisemee neno kama Pdidy alivyosema siyo unatoa tu unaondoka unatakiwa usema natoa zaka hii nataka afya njema au kazi nzuri nk.
na Mungu bwana wa majeshi atatenda sawa sawa na neno lake.
 
zzzzzzzzzzzzzzzzzz! kazi kwelikweli, maskini wote ni wa shetani?? na mafisadi wamebarikiwa, naota au!!

nadhani hujamuelewa vizuri embu kabla hujajibu soma vizuri uelewe sijaona mahali amesema maskini wote ni wa shetani , Mungu anatupenda wote na sisi ni mali yake uwe maskini au tajiri, hakuna kwenye neno lake aliposema mimi ni Mungu wa matajiri, na mafisadi wanaweza wakawa wamebarikiwa na Mungu wao shetani ibilisi lakini kwa sababu hawaijui kweli wanaona ni baraka za Mungu na ndo maana itakuwa shida kwao kuingia kwenye ufalme wa Mungu.
 
Pia kumbukumbu la Torati 28:1-14,inaweka wazi masharti ya kupata baraka,kwanza ni lazima kutii maagizo ya Mungu hilo nalo pia ni sharti la kubarikiwa,tunatii vipi maagizo ya Mungu? Tunaweza kutii maagizo ya Mungu kwa kufuata yale ambayo tunaelezwa na viongozi wetu wa dini na hata pia wazazi wetu,maana hata katika waefeso 6 imesema waheshimu baba na mama ili upate kuwa na miaka mingi katika dunia kwa hiyo pia kuwa na miaka mingi ni baraka mojawapo.
 
Halafu kutoa sadaka siyo lazima, mimi kwakweli natoa sadaka nikijisikia maana bado kuna zaka sijui michango gani ya kuchangia ujenzi na makabrasha mengine. Pia kuna makanisa mengine yanalazimisha kutoa sadaka, sadaka hailaziimishwi. Ndo maana unaambia toa ndugu ulichonacho siyo chote.
Usitoe sadaka huku unaumia moyo hela huna na una mambo mengine magumu ya kufanya,kama unaamini Mungu anakuona amini pia anaelewa uwezo wako mdogo.
 
naipenda hii topic, Mungu akubariki uliyeileta. natumaini hawataiondoa hapa. Kitu cha muhimu mtu aokoke, asamehe wengine wote bure, aachene na visasi,fitina,kulipiza visasi,hasira,uchungu etc, hivyo vinaondoka kwa kutumia Nano la Mungu na maombi. pia anatakiwa kufanya maombi kila siku muda wote. kumbuka daniel alifanya maombi mara tatu kwa siku.

kuhsu sadaka na zaka, kwanza kabisa, unatakiwa kutoa zaka kwenye kanisa linalomwabudu Mungu katika roho na kweli, sio pale wanapoabudu tualimradi, toa pale ambapo Mungu anaonekana.pia lazima ujiunge na kanisa linalomwabudu Mungu Katika roho na kweli. fanya utafiti kabla ya kuwa mbishi. don't be possessed na dhehebu la wazazi wako kama si zuru, ni kifungo kikubwa sana. usile fungu la kumi, toa sadaka za kawaida, jihadhari na vikwazo vitakavyokuondoa kwenye uwepo wa Mungu. ukikaa kwenye uwepo wa Mungu, unasoma Neno mara kwa mara na kutafakari pamoja na kukiri kwa kinywa, kujikiria wewe mwenyewe, yanatendeka kwako hakika. Neo la Mungu li hai na linafanya kazi kabisaaa. ukifanya hivyo lazima utaona mabadiliko, mapepo wachawi wanganga na manguvu yote ya giza yatakukimbia kama simba.
 
UbungoUbungo
Nakupa tano za nguvu,UMENENA.
 
Halafu kutoa sadaka siyo lazima, mimi kwakweli natoa sadaka nikijisikia maana bado kuna zaka sijui michango gani ya kuchangia ujenzi na makabrasha mengine. Pia kuna makanisa mengine yanalazimisha kutoa sadaka, sadaka hailaziimishwi. Ndo maana unaambia toa ndugu ulichonacho siyo chote.
Usitoe sadaka huku unaumia moyo hela huna na una mambo mengine magumu ya kufanya,kama unaamini Mungu anakuona amini pia anaelewa uwezo wako mdogo.

Belinda,maandiko yanasema usiende nyumbani mwa Mungu mikono mitupu,na pia kumbuka sadaka si lazima iwe pesa,chochote kile ambacho utasukumwa kutoa ndani ya moyo wako,unaweza kusukumwa hata kutoa nguo,hiyo pia ni sadaka Mungu anachoangalia ni moyo wako.
 
Ni kweli ila utoe ulichonacho, no mashindano au kujionesha una uwezo mbele za watu wakati maisha yako tofauti.
Pia kwa vijijini ni raha sana, shamba lipo na umebarikiwa lina mazao mengi unaweza kuchukua kama mikungu ya ndizi na mahindi ukapeleka kanisani kama sadaka. Kama huna shamba ina maana bado utatumia pesa kununua kitu fulani kukiwakilisha kanisani kama sadaka badala ya pesa. Kutoa ni moyo na kweli unapata baraka,sadaka za kila wiki sitoagi labda mara chache na nikiwa ila zaka angalau nitajitutumua. Naenda kusali na biblia tu!

Hivi kweli unaweza kutoa kitu kingine badala ya pesa taslimu kama zaka? si unaijua zaka?
 
Ndugu zangu kumekuwa na maswali mengi sana kwa waumini mbalimbali...makanisa mengi hayawaweki watu wazi jinsi gai ya kubarikiwa badala yake wanaelimisha sana kuhusu matoleo.......
yaaah unaweza kutoa sadaka nyiiingi kupita kiasi na zaka nyingi na kila siku mchungaji akawa anakutembelea nyumbani kwako kwa ajili tya heshima za zako .....lakini tujiulize kwa nini makanisa mengi ya watu wa mungu watu hawabarikiwi.....yaani unakuta idadi ya masikini ni kubwa kliko matajiri...si mapenzi ya mungu kuwa masikini ila leo hii napenda kukuelekeza njia za kubarikiwa hata kabla ya kukimbilia kutoa zaka na dhabihu.

1)))Hakikisha maisha yako yako safi..yaani unafwata yale mwenyezi mungu anayotutaka kuyafanya....yawezekana unatumia njia zisizo sahihi katika kutafuta pesa...hapo ndipo unapopishana na neno la mungu...jaribu kuangalia wapi umekosea...ndio maana unaweza kuta mtumishi anatoa kupita m,chezo lakini kila akirudi nyumbani..ugomvi mtupu na mkewe matokeo baba analala juu gorofani mama anaamua kulala ground floor
haya yote ni kwa ajili ya kumkosea mungu....tujaribu kubadilika na kutenda yanayompendeza ndipo tukatoe sadaka na dhabihu..

2))Lazima uokoke...hilo halina ubishi kwamba wokovu ni lazima ,na napenda kurejea tena leo kwamba BIBLIA inaweka wazi kwamba BAADA YA KIFO HUKUMU.....hakuna sehemu iliyoandikwa ukifa unanafasi nyinge ya kuomba msamaha ama kuomba uokoke..biblia iko wazi wakati wa wokovu ni sasa...
hakuna haja ya kupoteza muda wewe unaesoma leo hii amua kutoka moyoni mwako mrudie bwana yesu....mfwate akuokoe kama bwana na mokozi wa maisha yako kumbuka yule alietoa sadaka sana yesu akamwambia pamoja na kunitolea sadaka umeoksa kitu kimoja nacho ni wokovu..hivyo pasipo kuwa na wokovu utahudhuria kanisani mpaka soli iachie hakuna kubarikiwa\

3))Mwambie mungu akutendee kitu kwenye dhabihu yako/sadka/zaka
ndio maana nilikuwa na sisitiza katika mada moja kwamba watumishi wa mungu wanaitaji ufahamu wa mungu zaidi ili waweze kuwaombea washarika wapate ufahamu wa mungu ili wakombolewe.....ukombozi ukishatoke\a then hata umuhimu wa sadaka zaka nk utaujua tu...again ukiwa unatoa dhabihu mlilie mungu mwambie mungu kwa dhabihu hii mungu nakutolea leo hiinakuomba

1))NIPATIE MUME/MKE ANAETOKA KWAKO

2))NAITAJI AFYA NJEMA KWANGU NA WAZAZI WANGU/FAMILIA NK

3))NAITAJI HALI NZURI YA KIUCHUMI,KIFEDHA NIACHE KUAIBIKA...ANGALIA MUNGU NIKICHOKA MBAYA NAAIIBIKA JE UNAKUBALI KUAIBIKA...SEMA NA MUNGU WAKO USIMWOGOPE ANASEMA NJOONI TUSEMEZANE ASEMA BWANA WA MAJESHI...

4)IN GENERAL TAJA MAHITAJI YAKO YOTE UNAYOITAJI MUNGU AKUSAIDIE...SWALA SI KUTOA TU SADAKA/ZAKA/DHABIHU MWAMBIE MUNGU HITAJI LAKO NDIPO UTAKAPOBARIKIWA...KUMBUKA ZAKA NI KWA YALE MUNGU ALIOKUPA..SASA KAMA HUTOMWAMBIA MUNGU KWA ZAKA HII NAOMBA NIONGEZEE WATEJA KWENYE BIASHARA YANGU..NK...UTASHANGAA UNABAKI HAPO HAPO MWISHO WA MWEZI UNAKOSA CHA KUTOA NA KUISHIA KUSEMA MUNGU AMENIACHA...WAPIIIIII WEWE MUNGU AJAKUACHA WEWE MWENYEWE UMEJIACHIA.......RUDI KWENYE MISINGI YA UTOAJI...

baada ya hapo na hayo yote na mengineyo ambayo ama kwa ufahamu wangu sijayatambua naomba wenye ufahamu zaidi tuongezee ekuelimishana zaidi ili tupate baraka za bwana

SI MAPENZI YA MUNGU WANA JF KUISHI NA MAISHA YA KIMASKINI
NI HAKI YETU KUMUULIZA MUNGU NITOKE VIPI.....

MUNGU AWABARIKI

WENU

SHALLOM

Nakubaliana na sehemu kubwa ya maneno yako kuhusu baraka. Ila tu kumbuka mungu haangalii sadaka/dhabihu kwa mtizamo wa kutoa mali au fedha na jinsi yakutoa. Maana dhabihu njema na safi imekwisha tolewa na Yesu pale msalabani na hakuna yeyote iliyowahi kutolewa ama itakayotolewa itakayo mpendeza Jehova kama aliyoitoa Yesu pale msalabani na ndiyo maana pazia la hekalu lilipasuka siku ile so no more restrictions to enter the holly and the holliest. Unapaswa kujua kuwa yote yalikwisha pale kalvari kilicho baki ni uchaguzi wa amakukubali baraka alizoahidiwa Ibrahim kwa imani au kuendelea ku struggle on your own ili umpendeze Mungu au shetani kwa dhabihu zako. Kwa wale walioamua kuwa wazao wa Ibrahim baraka ni unconditional for Jesus has done all kina baki kitu kimoja tu kupeleka hizo baraka kwa wengine yaani kupeleka injili kwa wale ambao hawajaielewa au pokea jinsi inavyotakikana. Sasa wengine wanatoa fedha; wengine muda; wengine maisha yao e.g mchungaji na kila mtu kutokana na kipawa alichojaliwa na roho mtakatifu ambaye ndiyo patronage/custodian wa injili sasa hivi hapa duniani mpaka Yesu atakaporudi mara ya pili kuestablish an everlasting Kingdom and at this time those who did according to hollyspirit directives are going to be rewarded. The reward is according to his standard but for the saved no judgement only rewards but to those who are non believers there is judgement according to his own standards and not the standards we now give to them although we are cautioned not to judge but to preach the gospel of Jesus christ. So ndugu peleka habari njema ambayo nikuwa fungua waliofungwa na ibilisi, hubiria maskini habari njema kwamba umaskini si mapenzi ya Mungu na hiyo hali inaondoka anapopata right knowledge of God etc etc. Kuhusu kubarikiwa huna unachoweza kufanya ukamplease Mungu zaidi ya alichofanya Jesus in calvary and your role is just to accept the grace which is freely given to you by just having God's like faith that if you confess Iam blessed then ye are blessed in whatever you do you will see the blessing of God it does not matter how or what you do for hollyspirit gives you a sound mind to do the right thing at the right time and he creats a favourable environment for you to be blessed.

Be blessed for I am blessed so much blessed and my life is excellent in all areas its balanced and am satisfied with no more worries of what will be of tomorrow.
 
zzzzzzzzzzzzzzzzzz! kazi kwelikweli, maskini wote ni wa shetani?? na mafisadi wamebarikiwa, naota au!!

Bibi kizee nakushauri usome biblia vizuri na uielewe. Kila kitu kinachotoa kilishatokea au tabiriwa tangu enzi hizo.Inawezekana mafisadi wakabarikiwa na shetani, kumbuka Yesu kule mlimani alijaribiwa na ibilisi kuhusu kumsujudia, Naamini angekua mtu mwingine pale mlimani angekubali kumsujudia shetani na kupewa utajiri alioaidiwa. Yesu alikataa kumsujudia shetani, na akajibu "msujudie bwana Mungu wako tu"So uwezekano wa mafisadi kumsujudia ibilisi au kutenda maovu ili kuwa matajiri ni mkubwa.Kuna watu hawana madawa hospitali, wananjaa nk, kwasababu fedha au michango yao imefisadiwa na mafisadi. We huoni huo ni ujasiri wa kiibilisi?
 
Back
Top Bottom