Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
zzzzzzzzzzzzzzzzzz! kazi kwelikweli, maskini wote ni wa shetani?? na mafisadi wamebarikiwa, naota au!!

Mpendwa usijedhani kubarikiwa ni kuwa na pesa nyingi. La hasha baraka kwa maana fupi na nyepesi ni kuwa na balanced life. Kwa ufafanuzi balanced life ni maisha ya furaha; yenye amani; yanayokidhi mahitaji yako yote i.e unapata kila kitu kwa wakati muafaka na kwa quality unayotaka; unauwezo wa kubadili chochote kinacho kosesha furaha, amani au matamanio yako yoyote. Hofu haikutawali na unauhakika wa mambo yote unayoyafanya na ambayo ungependa kuyafanya huku ukiwa timilifu kiafya na kiutendaji. In short you master your environment.

Kama pesa zingekuwa baraka basi matajiri wasingeugua, wangekuwa na furaha wakati wote maana ikipungua wanaenda kununua tu. Remember you can have a good bed and yet fail to fall asleep. You can have all medical insurances and all doctors you know and yet you might end up paralysed. You can have as many wives/husbands as possible yet fail to get a child of your own any way cloning is possible though but the one which is socially accepted. You can have as many children as you want and yet all turn against you and become a curse and not blessing to you and so many examples that shows something else is needed other than human creation/doings and that is what we call a blessing which is not by doings but rather by grace.
 
Halafu kutoa sadaka siyo lazima, mimi kwakweli natoa sadaka nikijisikia maana bado kuna zaka sijui michango gani ya kuchangia ujenzi na makabrasha mengine. Pia kuna makanisa mengine yanalazimisha kutoa sadaka, sadaka hailaziimishwi. Ndo maana unaambia toa ndugu ulichonacho siyo chote.
Usitoe sadaka huku unaumia moyo hela huna na una mambo mengine magumu ya kufanya,kama unaamini Mungu anakuona amini pia anaelewa uwezo wako mdogo.

Belinda kutoa ni moyo si kwa maana ya pesa au kumpa Mungu ili akubariki. Hiyo injili haipo upande wa Yesu ni mambo ya wanadamu katika kusaidia kuhubiri injili ya Yesu. Sasa ukitaka kupeleka injili kama huna pesa unakipawa roho mtakatifu alichokupa let say wewe ni mwalimu siyo wakuusomea la bali karama ya ufundishaji ipo kwako kwakua huna pesa na wewe ni mwajiriwa sehemu fulani then kwasababu ya upendo wa mungu ndani yako una toa muda wako let say Sunday school unafundisha injili ya kweli kuhusu jinsi Mungu anavyoweza kubariki. Neno la Mungu litafanya kazi ndani ya watu hao unaowafundisha na umaskini wao ukiondoka umesha fanya kazi yako na Jina la Mungu litabarikiwa. Unajua mfano unakutana na mgonjwa yuko hoi bin taabani wewe unaanza kumwambia wagonjwa ni wadhambi ndiyo na wamelaaniwa ili kuondokana na ugonjwa wako lazima uokoke then mtu yule anaamua kuokoka alafu haponi. Then huyo mtu akimwasi Mungu utamlaumu yeye au utajilaumu kwa kuhubiri maneno yako na si neno la Mungu? Elewa kuwa neno la Mungu ndilo Mungu analolitafuta ili apate kulitenda na jina lake litukuzwe na si majina yetu. So ukikuta mtu wa jinsi hiyo ukaanza kumwambia mungu anakupenda na unajua Yesu alikufa kwaajili yako na kwakupigwa kwake yeye wewe umepona? Je wataka kupona? Kama ndivyo basi mpendwa mimi na mamlaka ya kumwondoa shetani ambaye ndiye sababu za magonjwa yetu uko tayari ni mwondoe shetani? Atasema yes then you do your role after preaching gospel and not your words. Then unachukua hatua ya imani unasema let say malaria kwa jina la Yesu toka. Then its hollyspirit's job to do the rest na kwa uzoefu wangu haijawahi tokea kushindwa kufanyika kama ulivyo sema na mwisho wa siku huyo mtu ataokoka kama si leo ni kesho as the spirit wants.

Reading between the lines you would see the difference between words of God and humans words. The possibility is if that person is healed/blessed then no body will ever tell him that god is not able but if he believe in your words then some other time he sees you doing things not according to his stds then anaanza kulaumu ooh nilidhani so and so as if yule so and so has turned to be Jesus. We are not the source of blessings but are agents of blessings if use the talents given to us according to words of God and this is his will that all are saved; therefore he sent us to save the multitude and make them his deciples. Tumegeuza injili kuwa biashara na a place to get fame this is not godly is devilish. Na jina la shetani linaendelea kutukuzwa bila sisi kutambua.

Be blessed
 
Last edited:
Kuhusu kubarikiwa huna unachoweza kufanya ukamplease Mungu zaidi ya alichofanya Jesus in calvary and your role is just to accept the grace which is freely given to you by just having God's like faith that if you confess Iam blessed then ye are blessed in whatever you do you will see the blessing of God it does not matter how or what you do for hollyspirit gives you a sound mind to do the right thing at the right time and he creats a favourable environment for you to be blessed.

Be blessed for I am blessed so much blessed and my life is excellent in all areas its balanced and am satisfied with no more worries of what will be of tomorrow.

mtumishi samahani napingana kidogo hapo juu....

MALAKI 3:10 LETENI ZAKA KAMILI GALAHANI ILI KIWEMO CHAKULA KAYIKA NYUMBA YANGU MKANIJARIBU KWA NJIA HIYO ASEMA BWANA WA MAJESHI...MJUE KAMA SITAWAFUNGULIA MADIRISHA YA MBINGUNI NA KUWAMWAGIENI:::

::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::BARAKA::::

JE HUONI KWA STATEMENT YAKO

Kuhusu kubarikiwa huna unachoweza kufanya ukamplease Mungu zaidi ya alichofanya Jesus in calvary and your role is just to accept

UNAPINGANA NA MAANDIKO YA BWANA YESU??
 
Kingine cha kuongezea wakati adam na hawa wanajificha ....aikuwa mazumuni ya mungu kujificha bali ni kutokana na matendo yao waliyoyafanya ambayo kila mmoja alianza kujitetea nyoka nyoka ...mmimi alinipa yule..nk.mpaka sasa kwenye biblia aijatuambia baada ya kujificha walihama eden ..wakati wanaondoka ile eden ilibaki na yule nyoka...ambae ni shetani...ndio maana kuna mistari nitatuma kesho kwamba shetani alibaki na ile enzi na ndio maan kuna wakati anakuwana kiburi....sasa kama mkristo hakuna siku shetan atakuwwa juu yetu...kuna mistari mingi na mambo mengi ya kufanya ili kuikamata ile enzi ndio maana kila siku tunasikia mambo machafu ,mapya...yote yameandikwaa kwenye biblia...

MAOMBI YA ULINZI
kuna maombi,ya kujiwekea ulinzi mwenyewe...shetani halali wapendwa kila siku anasaka watumishi wa bwana...nasi pia tunaitaji kujiwekea ulinzi..maombi ya ulinzi yana mambo kadhaa kwanz aunatakiwa ujue kusudio lake.pili kujitoa...
ntwaeleza kesho
mungu akitupa neema yake

VISASI
hivi ni visasi vinavyofanya watu wanataabika sana sana hasa katika familia tunaona zinavyowakaanga.....ukiwa unasali unatakiwa kukemea na kuvikatakata visasi vyote vya enzi za mababu na mababu..nini maana yake yawezekana baba yako ama mamayako alikorofishana na wazazi kabla ya kufa ama hata kama wako hai...akamtolea maneno ya kisasi..kama wengine wasemapo utahangaika na uzao wako wote mpaka ukome...hiki kinatambaliza hadi vizazi vya nne....tunaitaji kujivua kabisa na hili

KUKATA KITOVU
yaaah tunaona hata kwenye biblia kuna sehemu ambazo watu walikuwa wanateseka kabisa ya kutokatwa kitovu...najua wengi wanahisi kitovu kama kitovu yaa ni muunganiko..unajua katika wazazi wetu tunaunganishwa na kitovu na ndio maana wakati wa kuzaa ukikata kitovu vibaya unamwondoa mtoto...sasa basi lengo ni kuelekeza ukiwa unafanya maombi unatakiwakukata kitovu kwa imani kutoka kwa wazazi wako ili kujiondoa na laana na visasi na mizimu yote ya wazazi wako waliokuwa nayo ambayo ulikuwa umeunganishwa nayo....

WASIMAMIZI
hawa ni watu ,kabisa ambao unaweza kuwaona katika ulimwengu wa roho ,wasimamizi ni watu wabaya sana sana...ni watu ambao wanaangalia kwa nini huyu anafanya hili...utakuta wat weni wanateswa na wasimamizi...pia nitaleta maandiko yanayohusu wasimamizi na jinsi ya kujivua kutoka kwa wasimamizi.....utakuta ntu anafanya kazi miaka 25-30 lakini maisha yake ni mabovu kabisa kabisa...anapata hela la kini wasimamizi wana deal nae




Mkuu, mi bado nasubiri. Uliahidi kutuletea maandiko zaidi. Naendelea kusubiri. Asante



MAOMBI YA ULINZI

ISAYA 62:6 NIMEWEKA ULINZI JUU YA KUTA ZAKO..EE YERUSALEMU..HAWATANYAMAZA MCHANA WALA USIKU NINYI WENYE KUMKUMBUSHA BWANA MSIWE NA KIMYA WALA MSIMWACHE AKAE KIMYA MPAKA ATAKAPOUFANYA IMARA YERUSALEMU NA KUUFANYA KUWA SIFA DUNIANI............TUSIACHE KUMKUMBUSHA BWANA KAMA MANENO YA BIBLIA YANAVYOSEMA ....TUJITAHIDI KUJUA MANENO YA MUNGU....YATATUFUNGUA KATIKA KILA KITU..HASA UKIWA UNASALI..JITAHIDI...
 
Jambo lingine napensa tushirikiane leo ni umuhimu wamafuta katika maombi na jinsi mafuta yanavyoweza kuangusha nira za shetani kama ukiwa na imani
zab 105:14-15
usiwaguse masihi wangu unaitaji kuhifadhiwa kwnye matumizi mabaya ya fedha.....upako kwa ajili ya uponyaji
yako 5:14-15
isaya 10:27
mafuta yanavunja nira za shetani
isaya 22:22 annointing for open days
upako kwa ajili ya kufungua nira za shetani
matendo 3
waesalonike 3:10
zab 3:5

kufungua milango ya shetani through annointing
isaya 22:22
1sam 16:13
mwanzo 28:18/19
kumb 2:24/25 upako kwa ajili ya visasi
2nyakati 22:7


wewe ni hot button

zab 89:20-22
isaya 38:16
math 28:18-20
 
Mwz 13:14--uanitaji kuhifadhiwa
2sam 12:20
waamuzi 14:19--samsoni aliifadhiwa lakini alipovuliwa kuhifadhiwa alipoteza hifadhi wakamkamata.........
Zab 79:12
 
watu wa mungu tunaitaji kutembea na mbawa za mungu....

.,isaya 7:11
kumb 15
ufunuo 12:11 wakamshuhudia kwa damu ya yesu
joshua ....6:11
mafuta ya oembe yalipoangusha yeriko
zab 89:21
89:24
ikor 15:15--27 mauti ni adui wa mwisho lazima tumshinde
joshua 10:20--26
marko 11:20--21

isam 6:15
ezekiel 4
yohana 1:5 mtangaa katika jina la yesu
 
Mambo mengine ambayo watumishi wa mungu tunatakiwa kujua ni kuishi na
ur spiritual father anaweza kuamua ufanikiwe ama usifanikiwe
mwanzo 41:33 basi farao ba ajitafutie mtu wa akili na hekima amweke juu ya nchi...
Daniel 5:11
yeremia 15
efeso 3:1,2
yeremia 3:14-17 unatakiwa ukae kwenye wachungaji sahihi.....,si tu kukaa katika kila kanisa ama kusali kanisa lolote
wafalme 2:3
3:10-12

nyakati 18:4-7
efeso 3:2
luk 2:11
isaya 9:9
9:6
mat 16:9
waamuzi 17:7-13
mwanz 39:1-5 kubarikiwa sababu ya kuwa na mtu sahihi
mwanzp 20:3
2wafalme 2:9-15
mwanzo 7:13--15
hosea 12:13
ufunuo 17:03
muhubiri 14:6
mdo 3:8
zab 105:14--15
 
Ufunuo 12:12 tunaona uwezo wa mungu kumnyakua mtu kutoka uharibifu
isaya 39:1-2(proph ya uovu)
zak 5:5-11
wafalme 2:5
kuotka 4:8.9
11:1 bwana akamwambi musa liko pigo moja bado nitakalolileta juu ya farao na juu ya misri baadaye atawapa ninyi ruhusa mtoke huku naye hapo atakapowapa ruhusa atawafukuza mtokehuku kabisa ......
 
Proph sign
isam 15:26-28 diving on proph wings
isaya 59:19 mungu basi wataliogopa jina la bwana toka magaribi na utukufu wake toka mawio ya jua maana yeye atakuja kama mkondo wa mto ufurikao uendeshwao kwa pumzi ya bwana
mungu lazima akuinue kwa kiwango cha ajabu hakuna matapeli watakaokuingia ....unapopoteza proph wings yaani mbawa za mungu unageuzwa mtumba..kila mtu atakupitia ndio maana unakuta kila mwanaume anakuja kujipima uume wak kwenye sehemu zako za sirio

ukikutana na mtesi wako usiogope sema kama nilivyokutana na wewe hatutakutana tena milele...biblia inasema utakuwa na ubora wa siagi maishani mwako lakini leo hii watu wamejawa na magonjwa ya ajabu wanaogopa siagi...mmm sitaki pressure sitaki kuumwa...
Math 26:26-28 church iliachwa na mbwa za mungu
nehemia 5:13 tena nikakunguta nguo yangu nikisema mungu na amkungute hivyo hivyo kila mtu nyumbani mwake na kazini mwake.....asiyetimizaahadi ya bwana naam na akungutwe vivyo hivyo na kuwa hana kitu mkutano wote wakasema amina
tunaona uki vuliwa mbawa za mungu shetan ana uwezo wa kukuchezea popote kwenye mwili wako maisha yako laikini ukiwa na mbawa za mungu unaweza kuamuru lolote na mungu akatenda kazi kupitia maneno yako midomoni kama
hesabu 14:28nasema waambieni kama niishivyo mimi bwana hakika yangu kama ninyi mlivyonena masikioni mwangu ndivyo nitakawavyowafanyia....haya ni mamlaka tuliopewa watu wa mungu ....tutakachokiri mdomoni ndicho kitakachofanyika.....
 
Mathayo 11:28/29 njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na mizigo nami nitawapumzisha...jitieni nira yangu mjifunnze kwangu kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo nanyi mtapata raha nafsini mwenu
woooohhh
kumbe tukishajitita nira ya bwana tunakuwa na amani n furaha....familia nyingi zimefungwa na malango ya shetwani na nira za mwovu adui ndio maana kila kukicha wakiamka ni vurugu tupu hakuna amani watoto wanafanya uchangudoa...basiii tu hakuna amani nyumbani hii yote ni kutojifunga nira na bwana yesu mwambie bwana mi ni wako wewe ni wangu ishi katika matendo yanayompendeza mungu uone manufaa yake...unaweza kuwana na mapesa mengi tu kama amafisadi lakini napenda kuwaambia familia nyingi za wwalio na pesa shetani ameziingia sana na ndio maana usishangae baba analala gorofa ya kwanza mamaya tatu watoto ya pili;ndugu wana jf saa ya ukombozi ni sasa amka uchague moja baridi moto achana na kuwa uvugu vugu...... Ndio maana unakuta famili nyingine ati mwanamke kakasirika anavua pete anaitupilia mbali. Kwa sabu ya mumewe kupungukiwa pesa....ndugu hii ni proph sign ya kumwambia mungu
kama nitupavyo pete hii niliokuwekea nadhiri basi shetani yuko radhi kuniingia muda wowote.....,unashangaa mara mumeo kapitiwa mara unalalamika mumeo umemfumania....niiniiii wakati ulitupa pete mwenyewe
wakolosai 3:13
naye alituokoa katika nguvu za giza akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa mwana wa pendo lake.....
Math 12:34/35
efe 2:6--jinsi ya kuketishwa katika ufalme wa mungu
zab 18:10/11 giza ni maficho ya ibilisi je kwanini we mwana jf unangangania giza...njo kwa yesu uokolewe
 
Kutembea kwenye mbawa za kinabii
kuhifadhiwa na damu ya yesu
2kor 16
kol 1:13
mwanzo 2
kol 16:13--akatuokoa na nguvu za giza
mwanzo 3:23-24 mtu akatwaliwa mikononi na shetani
ayubu 1:12
luk 4:6 yoh 4:'30 mtu anapopoteza kuhifadhiwa
isaya 14:13 shetani anapojitanua nitapanda kuchukua nafasi ya munguu....
Uf 12:7
ufunuo 5:1-5 kuishi nyuma ya maumivu
kuto 3:17/7

nguvu za wivu
luka 4:6kol 1:13 alituokoa katika nguvu za giza akatuhamisha
yoh 1:12 waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika wana wa mungu

mungu awabariki kwa leo wapendwa atuwezeshe kulitenda jema...
 
Kuhusu kubarikiwa huna unachoweza kufanya ukamplease Mungu zaidi ya alichofanya Jesus in calvary and your role is just to accept the grace which is freely given to you by just having God's like faith that if you confess Iam blessed then ye are blessed in whatever you do you will see the blessing of God it does not matter how or what you do for hollyspirit gives you a sound mind to do the right thing at the right time and he creats a favourable environment for you to be blessed.

Be blessed for I am blessed so much blessed and my life is excellent in all areas its balanced and am satisfied with no more worries of what will be of tomorrow.

mtumishi samahani napingana kidogo hapo juu....

MALAKI 3:10 LETENI ZAKA KAMILI GALAHANI ILI KIWEMO CHAKULA KAYIKA NYUMBA YANGU MKANIJARIBU KWA NJIA HIYO ASEMA BWANA WA MAJESHI...MJUE KAMA SITAWAFUNGULIA MADIRISHA YA MBINGUNI NA KUWAMWAGIENI:::

::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::BARAKA::::

JE HUONI KWA STATEMENT YAKO

Kuhusu kubarikiwa huna unachoweza kufanya ukamplease Mungu zaidi ya alichofanya Jesus in calvary and your role is just to accept

UNAPINGANA NA MAANDIKO YA BWANA YESU??

Ubarikiwe mtumishi sipendi kubisha ila kidogo naomba kuchangia kuwa Yesu alikuja kutimiliza torati. Hakuja kutangua wakati ule kabla ya ahadi ya mungu kukamilika tulitoa zaka/dhabihu kwania ya kumpendeza Mungu maana bado tulikuwa hatustahili baraka zake bali bado zilikuwa ni ahadi hadi yesu alipokufa na kufufuka na kutoa dhabihu once and for all kwahiyo baraka ipo ready made kilichobaki ni aidha wewe kukubali na kuzi rith kwanjia ya Imani au kukataa ili uje uhukumiwe sawasawa na matendo yako. Maneno ya Mungu hayapingani hata sikumoja ila sisi knowledge yetu ndo limitation ndo maana Mungu akasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. sisemi watu wasitoe fedha kanisani no hiyo ni ibada pia kwani zinahitajika kupeleka injili na mambo yote yanayohusiana na hizo lakini si kwakutoa ndo tuna barikiwa no tuna barikiwa kwa sababu tu watoto wa Ibrahimu warith wa baraka zilizoahidiwa na Mungu na ili u qualify the condition is your willingness and not your giving kwani Ibrahim alimpa nini Mungu hata akampa ahadi? soma vizuri neno la Mungu. Na hii ndo ilisababisha shetani akatukuzwa kwenye DECI issues na jina la bwana likatukanwa. Luck of knowledge of God. Kwahiyo utaona kama unaroho mtakatifu kutoa kwako hakuendi na conditionalities you give because of love and you chearfully give it not expecting God to pay you. and why should God pay you while he has already given all unto you? Unakuwa kama kaka mkubwa wa prodigal son kwamba hakujua vyote vya baba yake ni vyake na angeweza kuchukua saa yoyote kufurahi na rafiki zake. Ila mdogo wake aliyepotea aliporudi na kuchinjiwa mnyama mnono he refused to party with the family. Many of children of God dont know that they are blessed bado wanabaki kujiundia njia zao za baraka contrary na neno la Mungu. Those will die poor the onlything will get is going to heaven but have lived a miserable lfe here on earth. You are blessed believe that confess it daily and see if the blessings wont come and overflow.

Be blessed
 
Ufisadi, uroho, ulafi, ubinafsi, kujilimbikizia mali na ubadhilifu unaoendelea miongoni mwa viongozi wa siasa ndio unaotufanya nchi yetu iwe masikini mpaka leo. Maadili yameporomoka mpaka viongozi wanageuza mali ya umma kuwa ya kwao binafsi. Nchi yetu imefika pabaya
 
Sisi kama nchi ni matajiri wa rasilimali lakini maskini wa akili. Poverty is a state of mind.
 
Sisi ni maskini wa akili tu lakini ni matajiri wa kila kitu duniani hapa
 
Tatizo letu tunafikiria kama panzi alivyo na kichwa kidogo na ndio maana tunakuwa masikini
 
10. You are not interested in money

You think that when you make enough money at work all your money related problems will take care of themselves
Actually the opposite is true - over 90% of people winning a multi million dollar lottery end up with less money just after 5 years of winning.


Getting rich takes effort and planning. If you are not interested in money then chances are that money is not interested in you.


9. You are afraid to lose your money

You are so afraid to lose your money that you keep it in an ordinary bank account with a terribly small interest rate. You are afraid to invest your money because you think that the risk of losing everything is too great.


By keeping your money on a savings account, it generates less interest than the inflation. This means that by keeping your money in a safe place you are actually losing it to inflation.


8. You invest in what you don’t know

After reading a story about a new high tech invention you decide to invest all your money into this startup company. If it’s high tech and complicated it must be a great invention, right?


Wrong!


Investing your money in what you don’t understand is the fastest way to losing everything. Something that looks like a good idea doesn’t have to be one. Stick to what you know and you will be able to keep yourself from the dumb ideas and go along with the great ones.


7. You hope that other people will take care of your money

You give professional money managers free will to take care of your money as they wish. Everyone wants to have more money so they will just end up making a lot of “necessary transactions” - of course you are the one paying the transaction fees.


Take care of your own money - always have the last say in what to invest and what to buy.


6. You want too much too fast

You want to get a lot of money fast and with little or no effort. This makes you go along with tens of get rich quick schemes that always end up losing money. Your decisions are affected by the need to get a lot of money fast, which makes you take unnecessary and stupid
risks.


You need to remember that there is no such thing as easy money.


5. You don’t have an emergency fund

You spend everything you make and don’t keep an emergency fund for unexpected things. If you are not covered by insurance an accident can set you back tens of thousands of dollars.

Without an emergency fund you would need to borrow to come up with the money. This also means that you will have to pay interest - not having an emergency fund can end up loosing you a lot of money.


4. Your goals suck

You don’t have any goals and even if you have one - its awful.
Just about every 10-year-old wants to be rich and famous but only a few will actually get there.

You need a goal that says what you want to achieve, how you are going to achieve it and by what time will it be achieved.

After coming up with a goal you will also need to make a plan on how to achieve it. You must be able to measure your progress at any point to get feedback on how you are doing.


3. You have bad habits

You smoke, drink and watch TV all day long. You spend money on the things that will never bring you anything back. In the long run you need to spend even more money on health in order to get back to your best drinking shape!


A bad and devastating habit can also be negative thinking. Research has shown that people who are more willing to keep their mind open and positive to new ideas are wealthier than pessimists.


2. You are impatient

You want to have everything now and are not willing to wait in order to buy it later. The concept of saving money for something you want to buy is not known to you - instead you use one of your many credit cards.


You probably haven’t heard that using a credit card makes other people rich (owners of credit companies) and keeps you poor.


1. You buy everything your neighbors and friends have

Trying to impress your neighbors and friends by buying all the stuff they have plus everything they would like to have? Don’t do it - spending money on things that you really have no need for is the number 1 reason why people have less money than they want to. Having a lot of things and having a lot of money are 2 things that contradict each other - you need to give money away in order to get stuff.


True wealth and money comes to those who are willing to wait - the 1000 dollars you choose not to spend on a new plasma TV with a giant screen can turn into 100 000 dollars in 20 years. Think of how much TV-s this money would get you then (as opposed to how much you would get when selling your TV after 20 years)
 
Finn's Facts: We are not poor; we have too many criminals occupying public office

FINNIGAN WA SIMBEYE
THIS DAY
DAR ES SALAAM

MARIE Shaba, the former chairperson of Tanzania Association of Non Governmental Organizations (TANGO) and interim chairperson of Non-State Actors (NSAs) task force, once stood her ground and disputed the fact that Tanzania is called a poor country. It was during the trademark World Bank monthly breakfast talks last year and the subject was mining.

''We are not poor, are we?'' Shaba wondered while sitting next to former World Bank Country Director for Tanzania and Uganda, Judy O'Connor. ''We are not a poor country, the term is often used by donors to weaken our bargaining position, but honestly we are a very rich country,'' she argued.

The WB director, O'Connor, a very humble, soft spoken Irish national compared to her successor, nodded her head in approval and agreed that indeed Tanzania was not a poor country.


Imagine if we can be able to collect half of what is being siphoned out of this country by the so-called foreign investors and our brainwashed thieving politicians and bureaucrats who inflate prices of property bought by the government like the Rome embassy building, the record high 152m/- per day Dowans Holdings capacity fee being paid by the Treasury and the single year 133bn/- Bank of Tanzania's external payment arrears account looting?

Let's get a few examples now; this is journalism, not blah blah. Annual tanzanite sales to the United States alone top over $300m (approx. 390bn/-) per annum for cut tanzanite. Our own earnings per annum for the gem which is exclusively mined in Tanzania is less than $100m (about 130bn/-). Spot the difference; in excess of 260bn/-, money which is enough to construct over 500 kilometres of bitumen standard road network at a rate of 300m/- per km.

Foreign trawlers are illegally catching tuna and other species of fish in the country's exclusive economic zone (EEZ) with an estimated value of over $220m annually. Last March a single Oman registered fishing boat, MV Tawariq 1, was nabbed with over 290 metric tonnes of tuna valued at over 2bn/-.

The World Bank estimated that the $200m loss is enough money to construct another 800km of tarmac road. What about training doctors, teachers, mining engineers, hire more policemen and modernize Tanzania Revenue Authority (TRA) to enable it collect an estimated $2bn or a third of the annual national budget which is said to be lost through evaders?

President Kikwete who has vowed to ensure that the mining sector benefits the country more, has often made chilling revelations regarding crooked acts which have been practiced by foreign mining companies over the years to deny Tanzanians a fair share of the resources in terms of taxes. An Alex Stewart Assayers report for 2005/6 confirms this.

The president, who unlike his predecessor who often emotionally defended foreign mining companies as doing a good job after investing over $2bn in the mining sector, has come out openly to express his dissatisfaction with how the sector is being plundered by the so-called investors and their crooked local partners.

Between 2000 and 2006, the country's two major gold producers earned over 3.4trn/- or slightly close to the country's annual budget, but paid a paltry 118bn/- as royalty and taxes while repatriating the bulk of the money abroad. In fact all foreign mining companies still maintain offshore accounts which means that such money never gets into the local economy at all.

We need no donors here but upright, committed public leaders that would flush out hundreds of suspect criminals currently occupying public offices getting paid by taxpayers but who work in the interest of individuals.

The job which the president started at Tanzania Police Force soon after taking over from his predecessor in 2005, which he later extended to Bank of Tanzania and finally to one of his highest lieutenants and close ally, former prime minister Edward Lowassa should not be stopped.

Presence of too many criminals in public offices sometimes at the helm of the country's administration is a sin the majority of us must work hard closely together with President Kikwete and Prime Minister Mizengo Pinda to get rid of.
 
Thanks a lot Marrie Shaba, It is true our beloved country is not a poor country at all, but we have too many fisadis in high offices.
 
Back
Top Bottom