Mombo Wetu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2008
- 377
- 36
zzzzzzzzzzzzzzzzzz! kazi kwelikweli, maskini wote ni wa shetani?? na mafisadi wamebarikiwa, naota au!!
Mpendwa usijedhani kubarikiwa ni kuwa na pesa nyingi. La hasha baraka kwa maana fupi na nyepesi ni kuwa na balanced life. Kwa ufafanuzi balanced life ni maisha ya furaha; yenye amani; yanayokidhi mahitaji yako yote i.e unapata kila kitu kwa wakati muafaka na kwa quality unayotaka; unauwezo wa kubadili chochote kinacho kosesha furaha, amani au matamanio yako yoyote. Hofu haikutawali na unauhakika wa mambo yote unayoyafanya na ambayo ungependa kuyafanya huku ukiwa timilifu kiafya na kiutendaji. In short you master your environment.
Kama pesa zingekuwa baraka basi matajiri wasingeugua, wangekuwa na furaha wakati wote maana ikipungua wanaenda kununua tu. Remember you can have a good bed and yet fail to fall asleep. You can have all medical insurances and all doctors you know and yet you might end up paralysed. You can have as many wives/husbands as possible yet fail to get a child of your own any way cloning is possible though but the one which is socially accepted. You can have as many children as you want and yet all turn against you and become a curse and not blessing to you and so many examples that shows something else is needed other than human creation/doings and that is what we call a blessing which is not by doings but rather by grace.