GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Wajapan ndio wanaongoza kwa bidii. Tanzania wakati kuna watu wanafanya kazi kwa bidii sana, wengine nao wanaiba kwa bidii zaidi ya sana2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii.
Mwamba ngozi...Wajapan ndio wanaongoza kwa bidii
Maendeleo yanapatikanaje?Hakuna uhusiano wowote kati ya kufanya kazi kwa bidii na kupata maendeleo.
Kwa Wamarekani wanafanya kazi kwa bidii ni sawa ila si kwa 100%, Wachina na Wadachi naamini kabisa maana nilishawahi kufanya nao kazi.Dr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba:
1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii.
2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii.
Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo. Kwa mara ya kwanza maishani mwake alishuhudia watu wanaofanya kazi sana lakini bado hawana maendeleo.
Sijui "case study" yake ilikuwa nchi gani Afrika, lakini maadam ni Afrika, na Tanzania inahusika, na ni kweli kuwa kuna Watanzania wengi wanaofanya kazi kwa bidii lakini wangali wana hali ngumu kiuchumi.
Kwanini iko hivyo?
Kwa kuiba, kudhulumu, kuua, unyonyaji, ukoloni, rushwa, kutumikisha wengine nkMaendeleo yanapatikanaje?
Kwa kufanya kazi kwa bidii na maarifaMaendeleo yanapatikanaje?
Huyo Mr John Maxwell kuna kitabu chake kazungumzia haya mambo Kwa style hiiDr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba:
1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii.
2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii.
Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo. Kwa mara ya kwanza maishani mwake alishuhudia watu wanaofanya kazi sana lakini bado hawana maendeleo.
Sijui "case study" yake ilikuwa nchi gani Afrika, lakini maadam ni Afrika, na Tanzania inahusika.
Na ni kweli kuwa kuna Watanzania wengi wanaofanya kazi kwa bidii lakini wangali wana hali ngumu kiuchumi.
Kwa nini hivyo?
Si wanasema mtu anapaswa kulala masaa 8 kwa siku? Au Wachina "hawajaelimika?"Kwa Wamarekani wanafanya kazi kwa bidii ni sawa ila si kwa 100%, Wachina na Wadachi naamini kabisa maana nilishawahi kufanya nao kazi.
Mchina ana masaa matano tu ya kulala kwa saa 24.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mkuu, na wewe unaamini kabisa watanzania ni wachapakazi?Dr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba:
1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii.
2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii.
Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo. Kwa mara ya kwanza maishani mwake alishuhudia watu wanaofanya kazi sana lakini bado hawana maendeleo.
Sijui "case study" yake ilikuwa nchi gani Afrika, lakini maadam ni Afrika, na Tanzania inahusika, na ni kweli kuwa kuna Watanzania wengi wanaofanya kazi kwa bidii lakini wangali wana hali ngumu kiuchumi.
Kwanini iko hivyo?
Kutumikisha wengine ni sawa, ni mojawapo ya smart work, ila hayo mengine uliyoandika kabla hayana uhusianoKwa kuiba, kudhulumu, kuua, unyonyaji, ukoloni, rushwa, kutumikisha wengine nk
❎🤫Kwa kuiba, kudhulumu, kuua, unyonyaji, ukoloni, rushwa, kutumikisha wengine nk
Kwa 'Kupatia' kuchagua fursa kati ya fursa nyingi zilizopoMaendeleo yanapatikanaje?
Mazingira yetu ni magumu mno tunaishi kislavery kwenye mfumo wa capitalism.Dr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba:
1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii.
2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii.
Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo. Kwa mara ya kwanza maishani mwake alishuhudia watu wanaofanya kazi sana lakini bado hawana maendeleo.
Sijui "case study" yake ilikuwa nchi gani Afrika, lakini maadam ni Afrika, na Tanzania inahusika, na ni kweli kuwa kuna Watanzania wengi wanaofanya kazi kwa bidii lakini wangali wana hali ngumu kiuchumi.
Kwanini iko hivyo?
Nasita kukujibu mkuu nisije nikacommit "fallacy".Mkuu, na wewe unaamini kabisa watanzania ni wachapakazi?
Huo uchapa kazi mnaupima kwa vigezo vipi?Mwamba ngozi...
Maxwell ni Mmarekani. Ni wajibu wake "kuifagikia" nchi yake.
Japo na Wamarekani nao ni wachapa kazi, lakini mimi ningeambiwa niyaorodheshe Mataifa yenye bidii ya kazi, orodha yangu ingekuwa kama ifuatavyo:
1. China
2. Japan
3. South Korea