GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #41
β πHard-work alone won't gurantee success, kuna watu tunafanya kazi kwa bidii lakini bado hatujafanikiwa.
Bidii + Malengo= Mafanikio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
β πHard-work alone won't gurantee success, kuna watu tunafanya kazi kwa bidii lakini bado hatujafanikiwa.
Bidii + Malengo= Mafanikio
MKuu siasa ni wizi/utapeliNasita kukubali hilo mkuu! Wengi wa wanaoonekana wamepata mafanikio ya kifedha baada ya kuingia kwenye Siasa ni "wezi".
Labda ungesema "ujambazi" wa kisasa" ni mrahisi zaidi barani Afrika.
Lakini simaanishi wanasiasa wote ni "majambazi", wapo walio "wazuri".
β πUpo uhusiano
β πSijafanya research ya kuweza kuhalalisha majibu yangu.
Ila nitatoa mfano.
Kesho unatakiwa kuukata mti.
Unajihimu Alfajiri na vitendea kazi, unafika pale na kuanza kukata mti. Unajitoa kweli kweli, unatumia msumeno, unatumia shoka na unatumia panga.
Lakini muda wote huo ulikua hauahangaiki kukata shina, ulikua unakata mizizi na matawi.
Kufika jioni mti haujakatika.
Kesho unarudi tena, na kwenda na routine ile ile.
Kwa maoni yangu WaTz wengi wanaoonekana wanafanya kazi angalia kama kazi yao inashughulikia tatizo. Utakuta ni inalizunguka tatizo.
Angalia wanasiasa, timu za mpira, hata maofisini n.k. ni wachache wanaaddress tatizo.
Ninaamini ndiyo sababu tunaonekana tunafanya kazi ila mafanikio hayaji au yanakuja kiduchu
Israel je?Mwamba ngozi...
Maxwell ni Mmarekani. Ni wajibu wake "kuifagikia" nchi yake.
Japo na Wamarekani nao ni wachapa kazi, lakini mimi ningeambiwa niyaorodheshe Mataifa yenye bidii ya kazi, orodha yangu ingekuwa kama ifuatavyo:
1. China
2. Japan
3. South Korea
Siyo uwizi mkuu, ingawa kuna wanaotumia siasa kufanya "uwizi"MKuu siasa ni wizi/utapeli
Tofauti na Wahindi wa kwanza walioletwa na ukoloni wahindi wengine wote waliokuja baadaye na wakafanikiwa huletwa na ndugu zao ambao tayari wameshafanikiwa au wameona fursa na wangetaka kuhakikisha mafanikio hayo na siri za kufanikiwa kwao vinabaki ndani ya familia zao kwa watu wanaowaamini kwa muda mrefu.Mbona kuna Wahindi walikuja Tanzania wakiwa na hali duni kiuchumi, wakapanga vyumba vya kawaida Uswahilini, lakini baada ya muda wakawa mabilionea?
Ok, vizuriSiyo uwizi mkuu, ingawa kuna wanaotumia siasa kufanya "uwizi"
Kwa kuiondoa CCM madarakani.Maendeleo yanapatikanaje?
Tatizo kazi nyingi za watanzania hazileti kitu kipya katika labda kwa uchache wa tu kama akina diamond ndio wamefanikiwa zaidi na pia wapo wengine ktk fani mbalimbali waliofanikiwa ila tu hatufanyi ugunduzi na pia hata tukiufanya hatuufanyii promotion sana lakini pia sekta binafsi ndio yenye watu wengi na yenye potential ya kuleta maajabu ya kunufaika kwa watu ila nayo imekuwa ikipigwa vita na serikali kwa kutokuwekea jitihada za makusudi kukua tokea uhuru hii ilichangiwa na sera zetu za ujamaa japo kwa sasa inabadilika sana siku sekta binafsi ikishika hatamu basi watanzania watanufaika zaidi na zaidi kwa kumiliki gunduzi zao na kuzifanya ziwainguzie kupata na pia kujenga utamaduni wa kuinovate kimaslahi.Africa tunahali ya hewa nzuri na Ardhi Sasa kufanya kazi sana Ili iweje?
Hakuna winter Wala barafu so nishati yetu ni kidogo sana na hatuhitaji kuhifadhi chakula msimu wa baridi .
Marekani lazima wafanye kazi kwanza wakizeeka wanaenda kulelewa ktk majumba ya wazee na wanalipia pesa ndefu ,so ujana ni kupambana Ili kesho ujilee maana SI kama Africa watoto kulea wazee wao.
Ufeminist pia ni sababu Kwa baada ya mapinduzi ya viwanda wanaume ndio waliokuwa wafanyakazi na wanawake walezi wa familia.
Mabeberu Kwa kutaka cheap labor basi mwanamke naye akaanza kazi na mishahara ikashuka na ndo mpaka Leo.
No Harry in Africa.
Kale "kanchi" kadoogo, kenye watu wachaache", katuzidi kiasi hicho?Israel je?
Mwaka 2013 makusanyo ya mapato ya mwezi 1 ya Israel yalikuwa sawa na bajeti ya JMT ya miaka 2.
Maana yake ni kuwa kama JMT tungepewa makusanyo ya mapato ya mwezi 1 ya Israel basi hakuna Mtz angeenda shamba, ofisini, biashara, kuvua, kuchunga wala viwandani, yaani unaamka una kula na kunywa kwa miaka 2m.
Israel ni nchi ya ajabu pekee kwenye sayari ambayo uchumi wake unapaa ndani ya vita visivyoisha tangu uhuru mwaka 1948 hata sasa miaka 75.
β πOk, vizuri
β πππππππππππππππππMimi binfsi Kama ntatoa wazo kuwa tufanye nini ili tutoke katika umasikini na kupata mafanikio tuanze tuwekeze katika Akili zetu .
Mtu mwenye maarifa na akili nzuri ambaye katumia muda mwingi kuwekeza huko anakuwa na uwezo Wa kufanikiwa Kwa haraka kuliko yule anayefanya kazi Kwa bidii.
Tatizo la Africa kutotoboa lipo kichwani . hivyo thesis yangu nitakayoiandika itajikita katika Elimu ya utambuzi kuwa inabidi kufundishwa shule ili MTU ajipate mapema