Kwanini Watanzania wengi hawafanikiwi kutokana na kazi zao?

Dr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba:

1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii.

2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii.

Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo. Kwa mara ya kwanza maishani mwake alishuhudia watu wanaofanya kazi sana lakini bado hawana maendeleo.

Sijui "case study" yake ilikuwa nchi gani Afrika, lakini maadam ni Afrika, na Tanzania inahusika, na ni kweli kuwa kuna Watanzania wengi wanaofanya kazi kwa bidii lakini wangali wana hali ngumu kiuchumi.

Kwanini iko hivyo?
Ukiwa Marekani nadharia ya kufanya kazi kwa bidii na kufanikiwa ni sahihi sana kwa sababu kuna ukweli mkubwa kwamba US ni "land of equal opportunity" na watu wengi waliofanya kazi kwa bidii wamefikia American Dream katika siasa, sanaa, michezo, teknolojia n.k

Sehemu kubwa ya Africa hata ukiwa actor au mwanamziki mzuri sana hakuna wa kununua kazi zako,

Ukizaliwa na wazazi Immigrants kama Obama, hata uwe mzuri vipi Urais sahau.

Kuanzisha biashara vikwazo kibao, watawala mangimeza wanavuruga biashara na kazi za watu kwa sababu ya siasa tu.

Taaluma muhimu kama madaktari hazithaminiwi,

Haya ni baadhi ya mambo tu ambayo yanafanya hata walio na juhudi kubwa sana kubaki na maisha ya kubangaiza.
 
Kazi ngumu ni mafanikio yes ,mabondia ,soka,madini n.k
Kwenye madini wengi wanaofanikiwa sio wachimbaji, ni wenye migodi na wanahisa. Vibarua wachimbaji wachache hubahatika mafanikio ila mafanikio yao huambatana na kelele nyingi sana.

Ngumi na soka ni michezo ambayo wenye vipaji wakaongeza bidii na usimamizi mzuri ndio hufanikiwa zaidi, wapo wengi katika hiyo michezo wana bidii kubwa ila kutokana na kukosa vipaji au fursa wanaishia kuwa wa kawaida tu na wengi pia hawafiki popote.
 
Ukiwa Marekani nadharia ya kufanya kazi kwa bidii na kufanikiwa ni sahihi sana kwa sababu kuna ukweli mkubwa kwamba US ni "land of equal opportunity" na watu wengi waliofanya kazi kwa bidii wamefikia American Dream katika siasa, sanaa, michezo, teknolojia n.k

Sehemu kubwa ya Africa hata ukiwa actor au mwanamziki mzuri sana hakuna wa kununua kazi zako,

Ukizaliwa na wazazi Immigrants kama Obama, hata uwe mzuri vipi Urais sahau.

Kuanzisha biashara vikwazo kibao, watawala mangimeza wanavuruga biashara na kazi za watu kwa sababu ya siasa tu.

Taaluma muhimu kama madaktari hazithaminiwi,

Haya ni baadhi ya mambo tu ambayo yanafanya hata walio na juhudi kubwa sana kubaki na maisha ya kubangaiza.
✅🙏
 
Mkuu, kama hutajali, fafanua the so called AMERICAN DREAM.
 
Kwenye madini wengi wanaofanikiwa sio wachimbaji, ni wenye migodi na wanahisa. Vibarua wachimbaji wachache hubahatika mafanikio ila mafanikio yao huambatana na kelele nyingi sana.

Ngumi na soka ni michezo ambayo wenye vipaji wakaongeza na bidii ndio hufanikiwa zaidi, wapo wengi katika hiyo michezo wana bidii kubwa ila kutokana na kukosa vipaji au fursa wanaishia kuwa wa kawaida tu na wengi pia hawafiki popote.
✅🙏
 
Dr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba:

1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii.

2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii.

Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo. Kwa mara ya kwanza maishani mwake alishuhudia watu wanaofanya kazi sana lakini bado hawana maendeleo.

Sijui "case study" yake ilikuwa nchi gani Afrika, lakini maadam ni Afrika, na Tanzania inahusika, na ni kweli kuwa kuna Watanzania wengi wanaofanya kazi kwa bidii lakini wangali wana hali ngumu kiuchumi.

Kwanini iko hivyo?
Kwa uhalisia wetu maendeleo ni hali ya kufikirika, kwanini?
Maendeleo yanaletwa kutokana na changamoto za kimazingira, ardhi yetu ni yenye rutuba tuna maji ya kutosha, hali ya hewa ni nzuri, mifugo ya kutosha.
Kuamini imani za kishirikina (ulozi) kunaathiri sana maendeleo, mtu anamfanyia mwenziwe ulozi ili tu asitoboe.
Hatutaki kufuata sheria tulizozitunga wenyewe, jambo ambalo linasababisha ongezeko la rushwa, utumiaji mbaya wa madaraka na ofisi, kuathiri uzalendo wa kweli.
Elimu yenye tija ni mtihani kwa wanajamii wengi ndiyo maana tunatumia siasa kwa kuwanufaisha wachache waliyoko kwenye mfumo.
 
Kazi ngumu ni mafanikio yes ,mabondia ,soka,madini n.k
[emoji115]kufanya kazi za risk ya uhai ndizo zina mafanikio kwa sekunde moja tu umeingia kwenye orodha ya matajiri e.g.
1. Kuiba kura.
2. Kutoroka na masanduku ya kura.
3. Kutangaza matokeo feki ya uchaguzi.
4. Kufanya uamuzi mbovu kwenye mechi ya soka.
5. Kupanga vibaya timu ya mpira.
6. Usajili mbovu wa clubs za soka.
7. Kumnunua kipa.
8. Kumnunua refa.
9. Kumrithi sugar-mamy ambaye ni positive (miwaya) aliyeachiwa ukwasi.
10. Kuwachenga CAG na PAC kwenye mahesabu.
11. Kuvamia benki na AK47.
 
Back
Top Bottom