Kwanini Watanzania wengi hawafanikiwi kutokana na kazi zao?

Dr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba:

1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii.

2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii.

Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo. Kwa mara ya kwanza maishani mwake alishuhudia watu wanaofanya kazi sana lakini bado hawana maendeleo.

Sijui "case study" yake ilikuwa nchi gani Afrika, lakini maadam ni Afrika, na Tanzania inahusika, na ni kweli kuwa kuna Watanzania wengi wanaofanya kazi kwa bidii lakini wangali wana hali ngumu kiuchumi.

Kwanini iko hivyo?
Mshahara mdogo, hii ni basic knowledge kabisa
 
Nimeona mjadala huko Twitter daktari wa Tanzania anaanzia mshahara wa $349 huku chances za posho zingine zikiwa chini pengine akose kabisa.

Huku mbunge aongee vitu vya maana (ambayo kwa bunge hili fake hakuna) anatumia nusu saa kushukuru vimada wake na kumsifia Samia anaupiga mwingi akiondoka na kiasi cha $6440 kwa mwezi na posho lukuki na dili za ujanja ujanja.

Mwalimu wangu mmoja aliwahi kuniambia ukiona nchi watu wanagombea kwenda madarakani na wanatajirika kuliko wananchi wanaosema wanawatumikia hiyo ndio maana sahihi ya banana republic.

Nipende kuwapa pole madaktari walioangushiwa jumba bovu kwa sera mbovu za wanasiasa halafu wanasiasa wamewaruka , mafanikio yapo sehemu yoyote msingi wasikate tamaa kujaribu kwingineko.
 
Kale "kanchi" kadoogo, kenye watu wachaache", katuzidi kiasi hicho?

Mkuu, mimi sikubaliani na jibu lako! Nimelikataa kwa "makusudi", na sitaki kuchungulia mtandaoni kwa sababu nikilikuta jibu lako lipo sahihi nitaona aibu mie.

Acha "nijifariji" kuwa kanchi kadoogo, Israel, hakawezi kutuzidi kimapato hata siku moja!
Mwaka huo 2013 Israel ilikuwa uchumi wa 19 kwa ukubwa duniani.

Afrika hii ya wezi na mafisadi GDP yake ni US$.3 tr 2022 lakini yenyewe pekee ina 50% ya rasilimali za sayari ya dunia.
 
Mmeona mjadala huko Twitter daktari wa Tanzania aanzia mshahara wa $349 huku chances za posho zingine zikiwa chini pengine akose kabisa.

Huku mbunge aongee vitu vya maana (ambayo kwa bunge hili fake hakuna) anatumia nusu saa kushukuru vimada wake na kumsifia Samia anaupiga mwingi akiondoka na kiasi cha $6440 kwa mwezi na posho lukuki na dili za ujanja ujanja.

Mwalimu wangu mmoja aliwahi kuniambia ukiona nchi watu wanagombea kwenda madarakani na wanatajirika kuliko wananchi wanaosema wanawatumikia hiyo ndio maana sahihi ya banana republic.

Nipende kuwapa pole madaktari walioangushiwa jumba bovu kwa sera mbovu za wanasiasa halafu wanasiasa wamewaruka , mafanikio yapo sehemu yoyote msingi wasikate tamaa kujaribu kwingineko.
Aisee!
 
Mkuu, kama hutajali, fafanua the so called AMERICAN DREAM.
American dream ina tafsiri nyingi sana kwao Wamarekani, mmojawapo ni kwamba ni hakika zaidi katika America ukijituma kwa bidii nchi yao inatoa fursa sawa kwa watu wake wote kufikia kiwango cha juu cha mafanikio kutokana na vipaji vyao au na juhudi zao bila kujali mazingira waliyozaliwa au wanayotokea.
 
✅🙏🙏🙏
 
Mmeona mjadala huko Twitter daktari wa Tanzania aanzia mshahara wa $349 huku chances za posho zingine zikiwa chini pengine akose kabisa.

Huku mbunge aongee vitu vya maana (ambayo kwa bunge hili fake hakuna) anatumia nusu saa kushukuru vimada wake na kumsifia Samia anaupiga mwingi akiondoka na kiasi cha $6440 kwa mwezi na posho lukuki na dili za ujanja ujanja.

Mwalimu wangu mmoja aliwahi kuniambia ukiona nchi watu wanagombea kwenda madarakani na wanatajirika kuliko wananchi wanaosema wanawatumikia hiyo ndio maana sahihi ya banana republic.

Nipende kuwapa pole madaktari walioangushiwa jumba bovu kwa sera mbovu za wanasiasa halafu wanasiasa wamewaruka , mafanikio yapo sehemu yoyote msingi wasikate tamaa kujaribu kwingineko.
Sasa ndiyo uelewe kwanini Elon Musk alihamisha mitaji yake toka Afrika Kusini ambayo iko kwenye bara tajiri na rasilimaliwatu rahisi kwenda US na Canada ambako siyo rahisi kukwepa kodi za serikali na pia ambako kuna rasilimaliwatu ghali.
 
Hali hii itaendelea mpaka lini?
Mpaka pale tutakapoamua kuwafungia viongozi wote wa Afrika kasoro wa Morocco, Nigeria, Misri na Afrika Kusini tu lakini wengine hao 50 waliofeli wafungiwe kwenye kikao cha AU alafu washushiwe bomu humo ili Afrika tuanze upya. MUNGU alipoona Wafalme 450 wamemuacha wakamgeukia Baali alimruhusu Eliya kuwakusanya pamoja na kuwatia visu wooote kabisa ili kuanza upya (na viongozi wapya).

If a spade isn't a spoon as well a tortoise isn't a snail.
 
😃😃😃
 
Shida kazi inakuwa ngumu ela kiduchu au haindani na kazi unayofanya,
Mfano mlinzi anaingia saa 12 asubuhi, kutoka saa 12 jioni, hafu kwa mwezi wanapokea 104000, 20000, mpaka 300000, je Kuna kuendeleza hapo
 
Back
Top Bottom