Kwanini Watanzania wengi hawafanikiwi kutokana na kazi zao?

BLACK TAX, ni mmojawapo ya vikwazo vikubwa vya maendeleo makubwa Africa.
 
Samahani mkuu, huyo bosi wenu alikuwa Mchina, Mhindi, au?
 
Naelewa maumivu yako mkuu hapo kwenye mwenge, watumishi wa tamisemi Ni kukatwa posho pasipo hiari kuchangia mwenge
Ila Sisi sijui tumerogwa namna gani,HV tunakubali VP ujinga kama huu lkn, yaani mtu anakuja na mkoti wake wa kijani kuchukua mchango WA mwenge
Huu Si usenge jamani
Tupo kama mazumbukuku
 
Wananchi siku moja wataamka tu.
 
Mbona kuna Wahindi walikuja Tanzania wakiwa na hali duni kiuchumi, wakapanga vyumba vya kawaida Uswahilini, lakini baada ya muda wakawa mabilionea?
Mfumo mfumo mfumo
Mlianzisha sera ya ujamaa na kujitegemea ambapo mlitaifisha Mali za Watanganyika.

Swali la kujiuliza jamii ya wahindi waliguswa?

Mlipiga marufuku Watanzania kumiliki biashara binafsi, kisa maduka ya ushirika.
Mbona wahindi waliluhusiwa?

Mfumo ulikosa amani ikiwa Watanganyika wakiweza kumiliki Mali kwa hofu ya kupinduliwa ila haukuwa na hofu na jamii ya Asia, ambayo yenyewe ilikuwa Profiteer na sio kitisho.

Mabenki na Taasisi za kifedha
Ni rahisi mpaka leo Mgeni (watu kutoka Asia na Ulaya) kupewa huduma ya kifedha kuliko Mtanganyika.

Hili limeanza kuisha ila Bado lipo.

Mnapojiuliza kwa nini, msisahau na tulipotoka, tulipo na tunapokwenda.

Ninyi ni JF lazima muwe smart
 
Dah!,bonge moja la mfano na bonge moja la point

Nimekuelewa sana
 
Kwa mtu mmoja mmoja, maendeleo ni nini?
Mwenye vigezo vya mtu kuitwa ameendelea naomba aviweke hapa ili na mimi nijitadhimini niko hatua ipi.
Nikijikuta mimi bado kapuku, basi niongeze kiwango cha kuiba pesa za umma
Tafadhali usifanye hivyo!

Acha nikutie moyo! Wewe umeshaendelea.
 
Tuwaulize TFF ya Karia na timu yetu ya vijana chini ya umri miaka 15!!!
 
BLACK TAX, ni mmojawapo ya vikwazo vikubwa vya maendeleo makubwa Africa.
Hapo kwenye BLACK TAX ufafanuzi unahitajika mkuu🙏

Sijaambulia chochote. Maelezo zaidi, tafadhali🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…