Tumepofushwa macho na akili kuamini kwamba wingi wa tegemezi ni kikwazo cha maendeleo. Kwanza hawa hawakwepeki labda uende kuishi Mbinguni.
Wingi wa walaji ni kigezo cha ukuaji kiuchumi. China, India, US, Nigeria nguvu zao za uchumi zinategemea idadi kubwa ya watu.
Hao tegemezi siyo laana ni lulu kwa faida ya maendeleo yako na taifa. Watengenezee programu kabambe maalum ya ku-match consumption na production alafu isimamie vilivyo, utatamani u-rush Kijijini kuongeza tegemezi wengine hata toka ujombani au ukweni.