Kwanini Watanzania wengi hawamtaki Waziri wa Nishati, January Makamba?

Mkuu hii inatokana na sababu kuwa mti wenye matunda ndio ambao hurushiwa mawe. Pia ni eneo ambalo ndipo wanyama na ndege wala matunda utawakuta hapo.
 
N
Nani amekwambia hamtaki?Huku uswahilini umeme ukikatika tunanyamaza.Ukirudi tunapaza sauti ya juu na kusema..."huuuuuuoooooooooooooooo"!Tunacheza singeli kidogo halafu tunarudi ndani kula ugali kwa matembele.
 
JM ana maneno mengi yasiyo na athari chanya kwa jamii.

Wizara ngumu kapewa haiwez, bora apelekwe wizara za kisiasa siasa , umeme unakatika katika hovyo lazma waziri husika alaumiwe.
 
Hii wizara tukiacha ukabila na udini Kalemani alipaweza sn kupita kiasi hata kama alikuwa na madhaifu yake lakini siyo kama Makamba
Yaani kwa sababu Makamba ni muislam na aliyemteua ni muislam kwako wewe huo ni udini lakini alipoteuliwa msukuma na mkiristo na aliyeteua ni msukuma na mkiristo wewe hukuona kama huo ni udini na ukabila!
 
"Watanzania" wengi wanamtaka Nani?
 
Sensa ya mwaka gani ndio inaonesha watanzania wengi hawamtaki au ni nyie wapiga zumari nyuma ya keyboard ndio mmeconclude?
Mwenyekiti wa mtaa usie na akili. Ndio maana wenzio wamekuwa mawaziri wewe umebaki kuwa mshusha bendera uwani kwako.
Ila CCM inawakomesha sana, yaani mmetengwa kwa ajili ya kuwalinda wakubwa zenu na kuwalamba viatu alafu nyie mmebaki pangu pakavu
 
Aliwekwa hyo wizara makusud kumalizwa kisiasa na ndoto zake za urais.. hahahah. Watu wanamipango mikali
 
Mwenyekiti wa mtaa usie na akili. Ndio maana wenzio wamekuwa mawaziri wewe umebaki kuwa mshusha bendera uwani kwako.
Ila CCM inawakomesha sana, yaani mmetengwa kwa ajili ya kuwalinda wakubwa zenu na kuwalamba viatu alafu nyie mmebaki pangu pakavu
 
Huo utafiti uliufanya fanyaje?

Hao wengi kwako ni wachache kwetu. Punguani wahed.
 
Haaaaa, jibu hoja usipanic bro, tunaongelea inshu nyingine kabisa ww unaparamia kwingine, anzisha thread yako ipe jina mwenyekiti asiye na akili tutaichangia pia, hoja hujibiwa kwa hoja man
Kotapini ya baiskeli
Kuingia kwa nyundo, kutoka kwa nyundo
 
Huu utafiti umefanya lini? Watanzania wangapi walionyesha kumkataa? Ninapataga sana shida na hizi generalization, yaani umekutana na watu mia unasema watanzania wengi wamesema hivi. Sasa unamuuliza hao watanzania wengi umewagundua kwa utafiti upi? Nchii hii ina watu milioni 60
 
makamba, mwigulu and nape......ingekuwa nchi inayotawaliwa na chama makini.....wala wasingekuwa wanasikika kabisa
 
Tatizo limagufuli kwa miaka mitano liliwaonjesha watanzania kuwa inawezekana kuwa na UMEME usiokatikakatika.
Zamani tulizoea tu kama tunavyozoea TOZO kwa sasa.
 
Wengi wasiomtaka Makamba Ni kundi la sukuma gang, ambao wameumia kuondolewa msukuma mwenzao Kalemani kwenye hiyo wizara, kwaiyo walitamani arudishwe msukuma mwingine ,

Na wengine wanamchukia Makamba sababu ya dini yake, na pia wanashaka nae huenda kutokana na uchapakazi wake January Makamba na hile hali yakutokuwa na skendo, Kuna uwezekano mwaka 2039 Samia akimaliza muda wake January akasimamishwa na Chama kugombea urais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…