Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
ni lugha gani hiiWai chato katambikwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni lugha gani hiiWai chato katambikwe
kwaiyo?Kwaiyo Bora Sabaya na makonda
Huyu kiumbe sijawahi kumuelewa hata dakika moja toka aingie sekta hii,Na nina mashaka soon umeme utapanda bei kwa unit,mark my words.Ndiyo,
Napitia michango mingi kutokea mitandaoni, karibu Mitandao yote inayotumiwa na watanzania,
Wengi wao hawataki uongozi wa Waziri Makamba, ni kwa nini?
Mawaaziri ni wengi, lakini kwa nini iwe ni Makamba pekee asiyetakiwa na watanzania wengi?
Hata hivyo, wizara hii anayoiongoza, mawaziri wengi waliopita hapa, hawakuwahi kuzimaliza changaoto zilizopo hata Leo, licha ya hivyo, hakukuwa na kelele nyingi kama zinavyppigwa Leo kwa mh Waziri, kwa nini Makamba na sio kina Mhongo na kina ngeleja ambao hawakukataliwa waziwazi kama ilivyo leo
Je, Waziri analifahamu hilo,?
Na kama analifahamu anangoja nini kuachia madaraka, kunaumaana gani kufanya kazi ambapo watu wengi hawakutaki?
Niwalinganishe kwa umri,dini,kabila au kwa kipi? Magufuli aliwajaza wasukuma na wakristo kwenye baraza lake la mawaziri lakini hamkusema kitu ndio kwanza mkawa mnadai vyeo havizingatii dini ya mtu bali inaangalia vigezo vingine.Linganisha Makamba na Kalemani kwanza
Tulikuwa hatujapata somo la uzalendo toka kwa JPM, sasa wengi wanaelewa haikuwa ni sahihi ilifanywa kusudi. Ni hilo tu! RIEP JPMKwa hiyo ndiyo sababu watu wengi wanampinga mtandaoni? Nakumbuka miaka ya nyuma kulikuwa ni migawo ya umeme ya kufa mtu lakini watanzania walikuwa kimya tu. Leo kaja Makamba, umeme umekatikakatika kidogo imekuwa nongwa juu ya nongwa! Kwetu huku Kisiwani tungesema Makamba ana damu ya kunguni na siyo kwamba si mtendaji mzuri!
Daah,Huyu kiumbe sijawahi kumuelewa hata dakika moja toka aingie sekta hii,Na nina mashaka soon umeme utapanda bei kwa unit,mark my words.
ndio sampuli ya viongozi mnaowaitajikwaiyo?
sabaya na makonda ndiyo akina nani?
Unaupeo mdogo saana wa kuelewa na kupambanua mambo!Niwalinganishe kwa umri,dini,kabila au kwa kipi? Magufuli aliwajaza wasukuma na wakristo kwenye baraza lake la mawaziri lakini hamkusema kitu ndio kwanza mkawa mnadai vyeo havizingatii dini ya mtu bali inaangalia vigezo vingine.
Wakristo wa Tanzania jaribuni kuwa na subira na uvumilivu.
Hii wizara inahitaji mtu makini na mtendaji na sio mjanja janja anayependa porojo na show off kama huyo jamaa.
On top of that atuambie kama karejesha zile 1.2 bilion za NSSF .
Wote uliowataja ni Mawaziri wa hovyo.Ni watu wasioipenda nchi yao na badala yake wanaangalia maslahi yao.Makamba in particular ana more disadvantages.Anajiona mjuaji kumbe hajui,alimnanga Magufuli kipenzi cha Watanzania,na wengi hatukulipenda jambo hili.Mwisho alikuwa karibu sana na Kikwete ambaye wengi tulimuona ni Rais asiyefaa.Hili nalo lilimchafua kwa kiasi kikubwa.Ndiyo,