Kwanini Watanzania wengi hufukuza ama kupiga wanyama bila sababu?

Wewe endelea kuwalea watoto wako ki-junior junior Ila akija kukutana na wahuni watamuingiza kwny Banda la mbwa na Cha kufanya hamna.
 
Paka shenzi kabisa unasaga Dona yako fresh unahifadhi kwenye kilindo ye anafukua unga anakata gogo afu anafukia
 
Aisee me nisingekuwa na mudA wa Kuna kukuuliza Wala kuendesha kesi ilikuwa ni kuwatia vilema wote wewe na mbwa wako,huwezi linganisha thamani ya mtoto na ya mbwa,never hata kiuumbaji Mungu alimpendelea zaidi binadamu
 
Dunia ya kupenda wanyama
Nikaumbwa nikimuhusudu mnyama Nyoka ,Nawapenda sana Nyoka maisha tuloumbiwa na huyu mnyama ni kama VitaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Sisi tupo kitofauti sana na mambo ya wanyama.

Hebu chukulia mfano yanayoendelea Ukraine, mtu unamkuta anaenda kutafuta hifadhi pamoja na mnyama wake
 
Tabia na mazoea.....

Haya maambo Yana fanywa Sana na wenzetu huko kufuga wa nyama na kuwa treat well kama anavyo lelewa binadam au mtoto,
Na huko kwa wenzetu Hilo haijatokea kwa bahati mbaya ni kuringana na mazingira yaliyopo huko.....
Zipo sababu nyingi tuu zinazo fanya mambo yawe hivyo mfano mdogo wao kulea wa nyama na kuwatret hivyo ya weza kuwa ni upweke Sasa huku kwetu haipo iyo kitu ndio maana

Nina kubaliana kabisa na mtoa Mada kuwa hiyo ni tabia ya hovyo but ndio maisha yetu haya hatuwezi badilika kirahis hivyo
 
Utotoni kulikuwa na michezo ya watoto kwenda kuwinda mijusi then kuwachezea na kuwaua.

Mzee alinifundisha si vizuri kuua kiumbe bila sababu. Walikuwa wananiita mlokole. sababu nilikuwa nikiwakataza nikisema sio vizuri.πŸ˜‚
umenikumbusha utotoni nilkua na hyo tabia ya kuwinda mijusi na kuifanyia operation kwa kiwembe, akifa naenda kuzika..nilitenga kabisa makaburi na mochwari ya mijusi.

Nilkua katili kwa wadudu yani walikua wakiniona wanaanza mbio...ila cha kushangaza kwenye ndege na wanyama hawa nilkua na huruma nao sana.Nilkua siwezi kuchinja kuku kabisa, walikua wakichinja kama kuku namjua nilkua nalia hatari πŸ˜‚ , bora nifuge kuku mpaka afe mwenye kuliko kuchinja.

Siku hizi niko peace na viumbe hai sipendi kuvidhuru, nikiona watu wana piga wanyama najisikia vibaya niko radhi nikule hela uache kumpiga huyo mnyama.

Kuna siku nilkua natoka kwenye mishe zangu maeneo flani hivi nikakutana na mzee fulani alikua watoto wameshika mbwa wawili mmoja mkubwa kengine kadogo, cjui hata hao mbwa waliwakosea nini.

Walikua wanataka kuwaua kwa kuwa nyonga ( just imagine ) kwanza hao mbwa walikua wamesha chapika hatar...pona yao ilikua ni mimi kutokea.

Niliwaomba wasiwadhuru hao mbwa lakin wapi mpaka nikatoa buku ten nikampa huyo, uzur alkua ni choka mbaya alikubali akanipa hao mbwa.

Niliwahudumia hao mbwa asee jinsi nilivyo wakuta na walivyo kuwa ni vitu viwili tofauti.Na huyo mbwa mkubwa kumbe alkua na mimba siku alivyozaa cjui alifuata nini barabarani akapigwa tairi na gari la wagonjwa akafa.Aliacha vitoto 6 vidogo hatar hata havioni kasheshe ikawa ni kuvilea, sema nilipambana navyo mpaka vikakua vikubwa.
 
Mimi sina shida na wanyama nipo peace nao. Lakin yale manyau yanakuja mlangoni usiku kuwanga na yanalia kama mtoto mdogo huwa sina simile nayo. Nikitoka ni jabali tu
 
Mimi napenda wanyama wengine wanaofugwa ila mbwa na paka siwapendi !! Nikimkuta sehemu sitampiga kwa ukatili nampita tu !! Ila kuwatunza nyumbani kwangu sipendi kabisa ! Wengine kama mbuzi , kuku , kondoo hao fresh
 
Shukuru umekutana na wazazi wastaarabu sio watu wa visasi yaaani mchukue Mwanangu ufanye ulichotenda kisha nikuache aiseee utajua hujui😬
 

Kuna watu wana cold heart
 
Bado vipo... Uliviuza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…