Kwanini Watanzania wengi hufukuza ama kupiga wanyama bila sababu?

embu waza unakula samaki wa kuokwa/ nyama chomaa/ etc halafu paka anakuja anakukodolea macho na yalivyo makaliii hahaaaa lazima nimbamize kwa tonge la ugali

na umtizamapo machoni huruma inakujia unawaza anahisi njaa
 
Mwanafalsafa wa Kijerumani aliyejulikana kwa jina la Immanuel Kant aliwahi kusema hivi "Mtu ambaye ni katili kwa Wanyama huwa ni katili hata kwa binadamu wenzao".
 
Unasemaje roho za kishetani na kutomtambua Mungu!?

Hujaenda nyumba ya mlokole anayemiliki maji ya Bulldozer, Hadi mende, mjusi huwa anamwagiwa maji, na kupigiwa kelele shindwaaaaah!
Duuh

Hayaa 🤣
 
Ni ujinga tu....hapa mtaani kwetu kuna watoto walikuwa wanatoka shule siku moja nikawaluta wanasalandia mbwa wangu aliyekuwa kwenye kibanda chake tena ndani ya geti wameshika mawe wamtungue. Nikawavizia na nikabahatiak kumkamata mmoja. Nikamuingiza ndani na kumfungulia mbwa amrarue na alimng'ata vizuri tu. Akaenda kwao kisha akarudi na wazazi wake kuja kulalamika na kunishitaki. Nikawaambia ukweli kilichotokea, baba wa mtoto kwa ujinga alionao alkasema eti huu ni mtaa wa Kiislam unafuga mbwa wa nini? Nikamjibu tu vibaka wengi wa hapa mtaani ni waislam Mze baba akanishangaa, wakaenda nishitaki Polisi Mabatini ila kesi haikufika mbali, ilifutwa. Yule dogo ni mwaka sasa hajathubutu kuja kurusha mawe tena, yuko tu makovu yake ya kujitakia.
Sasa mbona wewe ndio mkatili kuliko hata hao wanaopiga wanyama?unamuingiza mtoto ndani ili ashambuliwe na mbwa?hio ni akili kweli?

Hao watoto ilikuwa ni kuwaelimisha tu,angalau kama ungekuwa na hasira basi Kofi moja lilitosha kutoa funzo ukaachana nae.
 
Mkuu unakijua kichaa cha Mbwa? Ushawahi kuumwa na mbwa? Paka? Tuanzie hapo
 
Big NO. Alisaidia sana kumfunza adabu mtoto mtukutu ambaye wazazi wake hawakumfunza umuhimu wa kuheshimu mali za watu wengine. Mtoto ndiye aliyekuwa anafanya jambo la kikatili.
Kumfunza kwa kuhatarisha maisha ya mtoto?hio sasa ndio roho mbaya zaidi hata ya kumpiga mnyama.
 
Eoho za kimasikini zinaleta chuki sana na ukatili ndani yake
 
Ni ujinga tu....hapa mtaani kwetu kuna watoto walikuwa wanatoka shule siku moja nikawaluta wanasalandia mbwa wangu aliyekuwa kwenye kibanda chake tena ndani ya geti wameshika mawe wamtungue. Nikawavizia na nikabahatiak kumkamata mmoja. Nikamuingiza ndani na kumfungulia mbwa amrarue na alimng'ata vizuri tu. Akaenda kwao kisha akarudi na wazazi wake kuja kulalamika na kunishitaki. Nikawaambia ukweli kilichotokea, baba wa mtoto kwa ujinga alionao alkasema eti huu ni mtaa wa Kiislam unafuga mbwa wa nini? Nikamjibu tu vibaka wengi wa hapa mtaani ni waislam Mze baba akanishangaa, wakaenda nishitaki Polisi Mabatini ila kesi haikufika mbali, ilifutwa. Yule dogo ni mwaka sasa hajathubutu kuja kurusha mawe tena, yuko tu makovu yake ya kujitakia.
Ulikuwa na roho ngumu sana
 
Ila ulifanya vizuri
 
Ni tabia mbaya sana.

Inaonesha ambavyo nafsi zetu ni katili, zisizo na huruma na ushamba
Umenikumbusha miaka ya utotoni jirani yetu karudi shamba saa tisa mchana huku kabeba samaki wake wa kukaanga ili wapike ugali wa mchana baada ya kazi ngumu ya shamba. Baada ya kuingia nyumbani kwake na vijana wake na kuweka samaki mezani jikoni ili mapishi yaanze huko nje ikatokea tafrani (ugomvi) majirani zake wanapigana baada ya kuitana wachawi, jamaa na vijana wake wakakimbilia ugomvi huko nje. Baada ya ugomvi kwisha na yeye kurudi ndani akakuta paka ndiyo anamalizia kutafuna samaki wa mwisho. Kwa hamaki jamaa na vijana wake wakafunga milango na kufanikiwa kumkamata yule paka. Adhabu waliompa ni kumwagiwa mafuta ya taa na kumuwasha moto!! Basi paka akachomoka huku anawaka moto mbio akapanda ukutani nyumba ya jirani ya nyasi, na mara nyumba yote ikaanza kuungua moto na mwishowe kuteketea yote na mahindi yaliyokuwepo darini.. [emoji23] [emoji23]
 
Kumfunza kwa kuhatarisha maisha ya mtoto?hio sasa ndio roho mbaya zaidi hata ya kumpiga mnyama.
La; Sio hivyo. Ana akili na Alikuwa ana uhakika kwamba sio hatari kwa maisha ya mtoto ila litakuwa funzo muafaka kwake (mtoto mtukutu) ili siku nyingine asirudie tena.
Mie mbwa wangu wanapata chanjo kila mwaka na kwa hiyo nina uhakika wakimng'ata mtu sio hatari kwa maisha yake ila ni kidonda cha kawaida tu. Kwa hiyo watoto watukutu kama huyo nawakataza sana x 3-4 na kuwashirikisha wazazi. Inapotokea hawasikii nafanyaga hivyo-hivyo kwa uangalifu ili isiwe kwa kupitiliza na siku hizi hakuna tena mchezo huo hapa kwangu.
 
Hapana,huwezi kumruhusu mbwa amararue mtoto kwa kigezo cha kumfunza adabu,hicho ni kitendo cha kinyama,alikuwa na option nyingi sana za adhabu lakini sio hio.

Hata kama mtoto hakufa ila kitendo cha kumruhusu mnyama kumpa adhabu mtoto ni kudhalilisha utu.

Hana tofauti na wale wanaochoma moto watoto sehemu za mwili kisa kaiba hela ndani au kala mboga kwa kigezo cha adhabu.
 
Sawa. Ungekuwa ni wewe mwenye mbwa wako umpendaye, umemfungia ndani halafu linakuja genge la watoto na kumshambulia kila siku kwa kumpiga mawe kwa sababu mbwa hawezi kutoka, na umeshitaki kwa wazazi mara nyingi (3-4 times) na hakuna kinachofanyika. Je, ungefanyaje? Kumbuka umepoteza muda kuwatafuta wazazi (idadi2-3) na kuwaeleza tukio hilo lakini hawachukui hatua. Je, Mbwa anapopigwa kwa mawe hajeruhiwi? Mie napata gharama ya matibabu kwa mbwa wangu na isitoshe wanafahamu(Hao watoto) ikitokea mbwa amevunja banda na mimi sipo watajeruhiwa mno. Hebu mkuu litazame suala hilo kwa namna nyingine. Ukitenda kwa jeuri na ukaonywa, ukirudia watu hukutenda kwa jeuri ili ujifunze ubaya wa matendo yako. Watakutia bakora japo ww ni mtu mzima.
 
Hapo ulivuka mstari mkuu,watoto wengi hufanya mambo kwa mazoea ya kuiga matendo ya jamii,

Ilibidi wewe kama mtu mzima ukae nao uwaelimishe kwamba huyo mbwa wasimsumbue na kisha uwape onyo kwamba wakirudia kuna hatua za kinidhamu utawachukulia.

Baada ya hapo wangerudia ni bora ungechapa hata viboko, viboko dawa nzuri sana kwa watoto wa aina hii, ndiyo adhabu ambayo hata imeruhsiwa katika vitabu vitakatifu.

Huyo mbwa aliewararua kucha zake zingewatoboa macho hao watoto si wangekuwa vipofu maisha yote?

Ni vema kutoa adhabu inayostahilika kuliko kutoa adhavu unayoitaka wewe.
 
Back
Top Bottom