Paka anautiifu sema hujampa mafunzo, kila kiumbe kina utiifu sema ni tabia zetu wanadamu tu, mbona wazungu wamewezakila mtu kuna mnayama anampenda huwa napenda sana mbwa sababu yuko mtiifu, mstaarabu ukirud anakushangilia ni kiumbe wa tofauti
I’ll be honest sipend paka, yale manyoya yake ndio changamoto kwangu kabisa, ukilala unashangaa na yeye kalala upande mwingine wa kitanda sipend hiyo tabia
kila mtu kuna mnayama anampenda huwa napenda sana mbwa sababu yuko mtiifu, mstaarabu ukirud anakushangilia ni kiumbe wa tofauti
I’ll be honest sipend paka, yale manyoya yake ndio changamoto kwangu kabisa, ukilala unashangaa na yeye kalala upande mwingine wa kitanda sipend hiyo tabia
Sasa tatizo, linaanzi mnapofuga hao bimbwa vyenu, chakula mnaacha wajitegemee, wanachakra chakra kila sehemu.Binafsi napenda viumbe hai, nikimkuta nge porini ambapo hakuna watu nimuue ili iweje? ninafuga mbwa na nawapenda sana,mbwa wangu akizaa huwa simpatii mtu watoto hovyo, nikikuhisi utawatesa jua umewakosa sikupi hata kama utumie lugha gani .
Boss sio wote wanakimbilia usafiri, kuna wengine wanakimbia then wakifika barabara ya kuelekea Posta wanatembea kawaidaWale wanakimbilia magari usafiri shida sio wanapenda kukimbia vile
Mm nadhan ni kuheuka tuu, mara ya kwanza mm nilikimbia kidogo, kabla cjafika getini ikabidi nisimame kabisa nikaanza kujiuliza nakimbia nn 😁😁Hivi nin kinawafanya wakimbie Yaan kuna mambo yanatia aibu
Boss sio wote wanakimbilia usafiri, kuna wengine wanakimbia then wakifika barabara ya kuelekea Posta wanatembea kawaida
Ahahahha sio huko hata hapa mwanza hivyo hivyo kule kivukoni wengine hudumbukia kisa kuwahi sijui wanawahi nin,wakati ni kusubiri tu isimame vyema tu yaan kuna vitu vinachekeshaBoss sio wote wanakimbilia usafiri, kuna wengine wanakimbia then wakifika barabara ya kuelekea Posta wanatembea kawaida
Mm nadhan ni kuheuka tuu, mara ya kwanza mm nilikimbia kidogo, kabla cjafika getini ikabidi nisimame kabisa nikaanza kujiuliza nakimbia nn 😁😁
Daladala je 😂😂😂Na watu wa kivukoni wanakimbiaga kama kuku wa kienyeji wanaofugwa free range system [emoji28]
Isiwe kupanda au kushuka panton
Hhah napenda paka alikuwa akiona hujatandika kitanda haji kulala ukitandika tu anakuja lala weeeeee akiamka anaenda sehemu yake ya kukojoa anakojoa hajawah kukojoa kitandani au kujisaidia popote ndani kisha huyo anakufata umfatie nyama,kuna siku nikamkuta chooni anakojoa [emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka mno
Ikifika usiku wakati wa kulala nae anaenda kupanda kitandani kulala kile kile kitanda habadilishi,anajiingiza kwenye blanket basi hicho kitanda ni aunt yangu,muda mwingine aunt kapitiwa usingizi paka anaenda penyeza kwenye blanket analala akamtengenezea sehemu yake ya kulala akawa anamuekea alale lakin sasa mkiaka asubuhi anapanda kitandani analala ndani ya blanket nikija kutoa blanket anakuwa mkali tunaanza kuvutiana blanket nilikuwa nacheka jamani,mkifunga mlango kama hajaingia ndani wee atapiga piga huo mlango na kulia mpaka mtamfungulia aje alale ndani eti kulala nje hawezi
😂😂😂 Hatari sana mzee wangu, mm mara ya kwanza napita pale baada ya kuona watu wanakimbia ikabidi na mm nikimbie ila nikawa sielewi ikabidi nisimame naangalia huku na huku kujua kuna tatizo gani watu wanalikimbia lkn sikuambulia chochote, baada ya kupazoea ndo naona kila mtu akishuka lzm akimbieehh kumbe wapo wanafanya hivyo [emoji23][emoji1430]
Utanzania ni tatizo, yn ni kama kuna laana flani tumepewa watanzania wote hvy kuna mambo hasa ya kijinga tutafanana tuuAhahahha sio huko hata hapa mwanza hivyo hivyo kule kivukoni wengine hudumbukia kisa kuwahi sijui wanawahi nin,wakati ni kusubiri tu isimame vyema tu yaan kuna vitu vinachekesha
Kuwah kuingia kwenye daladala na kuwahie kushuka kwa kusukumana jamani
Ustaarabue0
Daladala je [emoji23][emoji23][emoji23]
Una fuga wa aina gani Mkuu? Kwa maana nahitaji GSD so dearly.Binafsi napenda viumbe hai, nikimkuta nge porini ambapo hakuna watu nimuue ili iweje? ninafuga mbwa na nawapenda sana,mbwa wangu akizaa huwa simpatii mtu watoto hovyo, nikikuhisi utawatesa jua umewakosa sikupi hata kama utumie lugha gani .
Kunguru wa Manzese Hahaahaaaa... Nimecheka sana kwa hiyo reply.Tumekukosea nini
Daladala watu wanaingia kupitia dirishani au wanaweka mzigo/begi ili mtu mwingine asikae.Daladala je 😂😂😂
Yes, sichezi na wajinga kwani huyu mtoto na wenzake huu ulikuwa mchezo wao.....kila nikawakataza walifanya kama mchezo. Wakitoka shule na madrasat wanapitia nyumbani na kurushia mbwa mawe ili awabwakie tu. Mtoto akicheza na moto au wembe -----------!Whaat!
ulimkamata Mtoto ukampeleka kwa Mbwa amng'ate!!
hii ya kwako imevuka mipaka aiseee na Mtoto ana Makovu ya kung'atwa na Mbwa!![emoji15]
dude! ni Mtoto kama Mtoto au alikua Mtu Mzima Kibaka!!??
Msongo wa mawazo uliosababishwa na umasikini kiasi kwamba ukiomuona paka au mbwa anakufata unadhan anakuomba hela.