Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
kunguru mshezi, alishawahi kunilisha wali mkavu samaki Kenda kumla yeye!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kama mazuri
Sasa kakukosa nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kunguru mshezi, alishawahi kunilisha wali mkavu samaki Kenda kumla yeye!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kama mazuri
Sasa kakukosa nini
[emoji23][emoji23][emoji23].sasa ukishalenga na jiwe unataidi nn [emoji23][emoji23].Yani kunguru apite mbele yangu akae site nzuri jiwe linamuhusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Nikikuta Paka kwako Ila kitendo Cha kulia tu nyauuuuu bonge la teke litamhusu.
Wapigania haki za wanyama uwanja Ni wenu.
[emoji23]Tatizo baadhi ya wanyama wakishakuwa kwa binadamu huwa wanajiona kama binadamu kweli, huwa wanawaletea dharau wanyama wenzao hata binadamu ambao mifukoni ni apeche alolo.
Sasa binadamu akishaona mnyama analia mbele yake, yeye anajistukia, anahisi mnyama anamn'gong'a kwa sababu hana hela. kinachofuata ni teke kubwa sana au jiwe.
kunguru mshezi, alishawahi kunilisha wali mkavu samaki Kenda kumla yeye!!
nakwambia kunguru hastahili kuhurumiwa hata kidogo, Ni mshenzi na muhuni Kama wahuni wengine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni kucheka leo nimecheka Walahi
Tena kwa sauti
Sasa huyo alikuwa Tai sio kunguru [emoji23][emoji23]
nakwambia kunguru hastahili kuhurumiwa hata kidogo, Ni mshenzi na muhuni Kama wahuni wengine.
sasa mtu hataki ngombe wale uroda anapiga mawe 😀Hebu chukulia mfano yanayoendelea Ukraine, mtu unamkuta anaenda kutafuta hifadhi pamoja na mnyama wake, leo hii sitashangaa hapa kwetu mtu akihamia hata mtaa wa nne basi atamtelekeza mbwa wake.
kuwatesa wanyama ni kumtemea mate usoni Mwenyezi Mungu alieumba viumbe vyote,
kuna hizi tabia mbaya sana zimezoeleka na watanzania wengi kwa wanyama 👇👇
-unakuta tu mtaani mbwa anajipitia zake, mtu anaanza kumrushia mawe.
-nyumbani kwako unafuga paka, ukimualika mgeni anaanza kumfukuza sshh tokaa!! aende wapi sasa wakati hapo ni kwao ?
-Mtu kavimbiwa nyama, zile zilizobaki ambazo hata hajazila anaenda kutupa badala ya kumpa hata mbwa au paka wanaeishi nae
-kuku yupo bize anatafuta chakula, mara mtu anaanza kumkimbiza tu bila sababu.
-Mbuzi ameletwa kwajili ya nyama ya sherehe, usiku umefika anaachwa ukutani, yani mtu hata hajali kama kuna baridi, mvua, mbuzi angalau apumzike vizuri siku yake ya mwisho, n.k.
-usiombe kukutana na mtu anatumia ng'ombe kulima, yani hizo stiki huyo ng'ombe anazokula na matusi juu ni balaa.
-Dume limempanda jike, mtu anaanza kuwarusha mawe.
-mbuzi analia meee meee kwavile ndivyo alivyoumbwa, mtu anachukia anaenda kumpiga.
-Punda anabebeshwa mizigo mizito yani hata kutembea inakuwa shida lakini mtu wala hajali.
-Mbwa kila usiku anakulinda wewe, familia yako na mali ila kibanda chake hakijasafishwa mwaka mzima kimejaa viroboto, chakula chake ni makombo kila siku, yani mtu hajiongezi hata kumpa nyama mara moja kama shukrani ya ulinzi anaompa.
Hivi hawa wanyama wanakosa lipi?
Kukimbia kwa pale kivukoni ni jambo la kihistoria na mazoea zaidi.Hii haina tofauti na wale watanzania pale kivukoni wakishashuka kwenye ferry wanaanza kukimbia, bc ujue matatizo na shida ndiyo yanawafanya watu waheuke wafanye mambo kama hayo.
Ndo umaskini wenyewe huo na sio wote wanakimbilia usafiri.Kukimbia kwa pale kivukoni ni jambo la kihistoria na mazoea zaidi.
Kama ushafika Dar es salaam zamani na kufika kivukoni tambua zamani magari yalikua ya shida sana na daladala zilikua zinapaki right after lango la panton, basi watu walikua wakishuka tu ni mbio kuwahi daladala.
Ila kwa sasa kituo kipo mbali na bado utamaduni ukabaki ule ule....
Tunakimbia kusimama kwenye daladala iliyojaa...Ndo umaskini wenyewe huo na sio wote wanakimbilia usafiri.
Kuna wengine wanakimbia then wakifika kwenye ile barabara ya kuelekea Posta wanatembea kawaida.Tunakimbia kusimama kwenye daladala iliyojaa...
hapo ndipo anaposhuhulisha akili zetu, acha na sisi tumshuhulishe!!Lakini mjanja sana ukimuangalia karuka anataka timing haswa [emoji23]
Mbwa wangu ni muhimu kuliko mtoto wa watu anayetafuta matatizo ya kujitakia. Una shida na hili pia?Akili yako haipo sawa, yaan mtoto anafanana na mbwa?? Hao wazazi labda ni masikini sana ila ingekua mm show ungeipata vzur
Ni kwa sababu nilishawachoka awa watoto. Nilishawakataza mara kibao na kuwalalamikia wazazi wao lakini hakuna walichpkifanya kwani bado watoto wao wanazidi kuongezeka na kuwapiga walinzi wangu. Dawa pekee ya kuondoa huu ujinga ni ukatili tu, wembe kwa wembe. Na toka nifanye vile kwa yule mtoto inakaribia mwezi sasa hajakuja mjinga yeyote hapa nyumbani zaidi ya kunguru kuwaudhi hawa mbwa.Sasa mbona wewe ndio mkatili kuliko hata hao wanaopiga wanyama?unamuingiza mtoto ndani ili ashambuliwe na mbwa?hio ni akili kweli?
Hao watoto ilikuwa ni kuwaelimisha tu,angalau kama ungekuwa na hasira basi Kofi moja lilitosha kutoa funzo ukaachana nae.
Inabidi kuwa hivyo kwani ukicheka na kichaa atakufuata mpaka chooni aje kukuchungulia unavyokunya ili akufukuze anye yeye kwani anaona ni mchezo kwake.Ulikuwa na roho ngumu sana
Ndiyo dawa yao kwani sasa wamenyamaza, nikipita wananiangalia tu na kugeukaIla ulifanya vizuri