Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ni akili kubwa pekee tunaelewa ulichomaanisha.Emotional intelligence
Mazumbukuku hudhani kulia sana msibani ndio kumpenda sana marehemu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni akili kubwa pekee tunaelewa ulichomaanisha.Emotional intelligence
Huwa tunalia na mengi.Labda sisi wa uswazi huwa tuna bond sana na familia kuliko hao wa mageti makali ndio maana tunakua na hisia kali😂
Unalia nini shindikanaa😂Huwa tunalia na mengi.
Bado wadogo, hebu tuliza boli.Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Hahaha. Ila ikitokea marehemu akaamka hizo mbio wanaweza wasirudi tena hiyo nyumba.Na muda si muda anatupa waombolezaji kazi ya kumbeba baada ya kuzimia.
Watarudi baada ya hali kupoa sana.. Unajiuliza si ndio hawahawa walisema ''baba bora ungetuchukua tuende pamoja''?Hahaha. Ila ikitokea marehemu akaamka hizo mbio wanaweza wasirudi tena hiyo nyumba.
Kwahiyo uliaji wa kimaskin ni wakupayuka na kugalagala naKwani watoto wa Mengi au Ali mufuruki uliona wanalia?
Au watoto wa tajiri yeyote uliwahi ona wanagaragara chini?
Kwahiyo haipiti nikiiweka?Bado wadogo, hebu tuliza boli.
Ntalia mpaka mwisho wa marejeshoDah, hicho ni Kilio cha marejesho. Too sad.
Ada, chakula, pa kuishi nk nk nk.Unalia nini shindikanaa😂
Wengine wana stress zao wakija msibani wanaunganishia humu humo , huwa natamani niwanase kofi wale wadada wanajigaragaza chini kabisa huku wakisema nita mpigia nan tena simu, jamanieeeee nani atanishauri eeeeee😂😂Ada, chakula, pa kuishi nk nk nk.
Yaani fyucha is not fyucharing🤣🤣