Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

Wengine wana stress zao wakija msibani wanaunganishia humu humo , huwa natamani niwanase kofi wale wadada wanajigaragaza chini kabisa huku wakisema nita mpigia nan tena simu, jamanieeeee nani atanishauri eeeeee😂😂
Si unaona sasa, tunalia na mengi eti🤣🤣
 
Hii inau
Labda sisi wa uswazi huwa tuna bond sana na familia kuliko hao wa mageti makali ndio maana tunakua na hisia kali😂
Kweli. . Watoto wa matajiri na watu wakubwa wanaazia shule za bweni wakiwa wadogo mpaka vyuoni. Wengine nje ya nchi hivyo hisia kwa wazazi ziko chini.

Wanamjua matroni, masister kama shule zinamilikiwa na.madhehebu ya kidini pamoja na warden
 
Hii inau

Kweli. . Watoto wa matajiri na watu wakubwa wanaazia shule za bweni wakiwa wadogo mpaka vyuoni. Wengine nje ya nchi hivyo hisia kwa wazazi ziko chini.

Wanamjua matroni, masister kama shule zinamilikiwa na.madhehebu ya kidini pamoja na warden
Ni kweli tena mimi sijui itakuaje nilivyo. Nileleeni
 
Sometime bond kati ya watoto na baba. Unajua ukishakuwa mtumishi wa uma kwenye nyazifa za juu ni kuwa bize Sana, Leo upo Tanzania kesho upo London etc. sasa sisi wa kuhemea asubh jioni upo nyumbani ni tofauti
 

1 The 4:13-18​

Hao watoto walilisoma hili fungu nakulielewa nafikiri.
Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti. Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele. Basi, farijianeni kwa maneno hayo.
Ndugu waliomaanishwa hapo sio ndugu wa damu bali ndugu katika Kristo Yesu!
 
😄 🤣 😂 😆 😄 we jamaaa sio mazuri aise
Hapana mkuu, anakuwa na miwani nyeusi na kakitambaa, utasikia tu Its ok, Its Ok, Our beloved dad hatunaye, amepumzika.

Huku kwengine, Ukunga mkubwa, woooooooooooooooi woi woi. Ameeendaaaaa jamani ameeenda,

Ntaweka wapi sura yangu mie, Babaaaaa rudi unichukue na mimi, umendaaaaa. Huku ana kwikwi, kamasi n.

Kwahiyo uliaji wa kimaskin ni wakupayuka na kugalagala na
Uliaji wa kitajiri niwa kukunja nne kwenye kiti huku unafuta tuchozi na kitaambaa au kukaa kimya sio
95% ya uliaji wa kupiga makelele ni umaskini na dhiki
 
Back
Top Bottom