Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Kabisa mkuu, umasikini mbaya sana.😄 🤣 😂 😆 😄 we jamaaa sio mazuri aise
95% ya uliaji wa kupiga makelele ni umaskini na dhiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu, umasikini mbaya sana.😄 🤣 😂 😆 😄 we jamaaa sio mazuri aise
95% ya uliaji wa kupiga makelele ni umaskini na dhiki
Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Definitely 👍 sio huko uswahilini unawaona wanafki wanakuwa wanamlilia marehem hadi wana gala gala huku pembeni wanang'ong'a na kusengenya marehem, umbwa kabisa.Emotional intelligence
🤣@ILAN RAMON huna akili mkuu Ila upo sahihi kabisa mwanangu mimi maza angu alipofariki Niliumia Sana sababu alikuwa ananiconnect na watu alipoondoka wale watu nao wakaondokaWalie nini baba ameacha pesa na mali nyingi?!! Watoto huwa wanalia kwa sababu wanajua baba akifa hawana pa kushika na wao wanaweza kufa
Wengine wana stress zao wakija msibani wanaunganishia humu humo , huwa natamani niwanase kofi wale wadada wanajigaragaza chini kabisa huku wakisema nita mpigia nan tena simu, jamanieeeee nani atanishauri eeeeee😂😂
Pole sana kumbe mama ametangulia mbele ya haki ✋ 🤚.🤣@ILAN RAMON huna akili mkuu Ila upo sahihi kabisa mwanangu mimi maza angu alipofariki Niliumia Sana sababu alikuwa ananiconnect na watu alipoondoka wale watu nao wakaondoka
Baba akiwa ni pesa huwa hafi mkuu.Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Nilimwona Rais Dr Hussein Mwinyi akilia kwenye msiba wa baba yake pamoja na status aliyo nayo Hussein pamoja na uzee aliokufa nao mzee wake, waswahili walisema damu ni zito......Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Umemaliza uchochezi wako?Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Kanga inastiri kitu gani?Mke wake mkisema ni Mchaga ?
Basi mabinti watakuwa wanamfuatisha mama Yao huwa hawaliagi hao Walii wengi.
Hata kanga huwa hawavai kujisitiri.
Kwa wasiojitambuwa.Kumbukeni hela za urithi hazichelewi kukata ndo hapo madogo wanageukiaga uteja
Ahhh hamna brother, watu wanafikiria ni nini kinafuataLabda sisi wa uswazi huwa tuna bond sana na familia kuliko hao wa mageti makali ndio maana tunakua na hisia kali😂
Na ndio sababu ya wanaume kufa mapema kuacha wajane, wanaume wa hizi familia za kawaida wamegeuzwa punda wa familia, yani mtu ni kama anasindikiza wengine duniani.Ahhh hamna brother, watu wanafikiria ni nini kinafuata
Familia zetu hizi ambazo baba anafanya kazi za hand to mouth ili familia ile. Akiondoka watu wanaanza kujiuliza wataishije. Mwisho wa siku uchungu unawaka hadi unazimia