Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

Ukiona hivo ujue hawakua karibu sana na Baba yao.Nitatoa mfano toka wadogo chekechea wamekaa boarding,Primary wamekaa booarding,Secondary boarding chuo boarding ! Hapa mapenzi hakuna anamuona baba au mama kama watu wa kawaida tu hakuna ile Bond ya mzazi na mtoto hizo ndio athari za kupeleka watoto boarding tangu wajkiwa wadogo mapenzi ya dhati yanakosekana ! wala sio uhakika wa pesa kama watu wanavodhani.
 
Kwani watoto wa Mengi au Ali mufuruki uliona wanalia?
Au watoto wa tajiri yeyote uliwahi ona wanagaragara chini?
Kwahiyo uliaji wa kimaskin ni wakupayuka na kugalagala na
Uliaji wa kitajiri niwa kukunja nne kwenye kiti huku unafuta tuchozi na kitaambaa au kukaa kimya sio
 
Kulia kunatokana na bond sasa huku uswahilini baba unamuona masaa 18 kati ya 24 wenzio baba wanamuona mara moja kwa wiki tangu wakiwa wadg sasa hisia zinatoka wapi baba kila mda kasafiri kikazi. Achilia mbali masuala ya umasikini
 
Mtoto wa tajiri huwa halii kwenye msiba wa mzazi wake anahuzunika machoni pa watu moyoni anasherehekea kurithi utajiri wa mzazi wake,wanaolia ni watoto wa masikini kwa kuwa wanakuwa wameingia kwenye anga ya kupigika zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…