ukiangalia kweliLabda sisi wa uswazi huwa tuna bond sana na familia kuliko hao wa mageti makali ndio maana tunakua na hisia kali😂
Ndugu yangu ukifikilia hujui unga au mchele ataleta nani tena nyumbani lazima ulie na kusaga meno..Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Si unaona sasa, tunalia na mengi eti🤣🤣Wengine wana stress zao wakija msibani wanaunganishia humu humo , huwa natamani niwanase kofi wale wadada wanajigaragaza chini kabisa huku wakisema nita mpigia nan tena simu, jamanieeeee nani atanishauri eeeeee😂😂
Uswazi baba akifariki ujue ni mwisho wa kula pilau kuku.Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Kweli. . Watoto wa matajiri na watu wakubwa wanaazia shule za bweni wakiwa wadogo mpaka vyuoni. Wengine nje ya nchi hivyo hisia kwa wazazi ziko chini.Labda sisi wa uswazi huwa tuna bond sana na familia kuliko hao wa mageti makali ndio maana tunakua na hisia kali😂
JamaniiiiiBaba mwenye tabia za Baltazar nani akulilie
Ni kweli tena mimi sijui itakuaje nilivyo. NileleeniHii inau
Kweli. . Watoto wa matajiri na watu wakubwa wanaazia shule za bweni wakiwa wadogo mpaka vyuoni. Wengine nje ya nchi hivyo hisia kwa wazazi ziko chini.
Wanamjua matroni, masister kama shule zinamilikiwa na.madhehebu ya kidini pamoja na warden
Ndiyo mkuu. Kufa kufaana bossWaroho / Wamelo utawajua tu.
Ndugu waliomaanishwa hapo sio ndugu wa damu bali ndugu katika Kristo Yesu!1 The 4:13-18
Hao watoto walilisoma hili fungu nakulielewa nafikiri.
Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana, hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti. Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele. Basi, farijianeni kwa maneno hayo.
Hapana mkuu, anakuwa na miwani nyeusi na kakitambaa, utasikia tu Its ok, Its Ok, Our beloved dad hatunaye, amepumzika.
Huku kwengine, Ukunga mkubwa, woooooooooooooooi woi woi. Ameeendaaaaa jamani ameeenda,
Ntaweka wapi sura yangu mie, Babaaaaa rudi unichukue na mimi, umendaaaaa. Huku ana kwikwi, kamasi n.
95% ya uliaji wa kupiga makelele ni umaskini na dhikiKwahiyo uliaji wa kimaskin ni wakupayuka na kugalagala na
Uliaji wa kitajiri niwa kukunja nne kwenye kiti huku unafuta tuchozi na kitaambaa au kukaa kimya sio