Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

Walie nini baba ameacha pesa na mali nyingi?!! Watoto huwa wanalia kwa sababu wanajua baba akifa hawana pa kushika na wao wanaweza kufa
🀣@ILAN RAMON huna akili mkuu Ila upo sahihi kabisa mwanangu mimi maza angu alipofariki Niliumia Sana sababu alikuwa ananiconnect na watu alipoondoka wale watu nao wakaondoka
 
🀣@ILAN RAMON huna akili mkuu Ila upo sahihi kabisa mwanangu mimi maza angu alipofariki Niliumia Sana sababu alikuwa ananiconnect na watu alipoondoka wale watu nao wakaondoka
Pole sana kumbe mama ametangulia mbele ya haki βœ‹ 🀚.
Yeah huo ndio ukweli tunalia sabab hatuna pa kushika mzazi akitangulia
 
Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Nilimwona Rais Dr Hussein Mwinyi akilia kwenye msiba wa baba yake pamoja na status aliyo nayo Hussein pamoja na uzee aliokufa nao mzee wake, waswahili walisema damu ni zito......
Hao mabinti hawajalia leo upo muda wamelia au watalia
 
Labda sisi wa uswazi huwa tuna bond sana na familia kuliko hao wa mageti makali ndio maana tunakua na hisia kaliπŸ˜‚
Ahhh hamna brother, watu wanafikiria ni nini kinafuata

Familia zetu hizi ambazo baba anafanya kazi za hand to mouth ili familia ile. Akiondoka watu wanaanza kujiuliza wataishije. Mwisho wa siku uchungu unawaka hadi unazimia
 
Ahhh hamna brother, watu wanafikiria ni nini kinafuata

Familia zetu hizi ambazo baba anafanya kazi za hand to mouth ili familia ile. Akiondoka watu wanaanza kujiuliza wataishije. Mwisho wa siku uchungu unawaka hadi unazimia
Na ndio sababu ya wanaume kufa mapema kuacha wajane, wanaume wa hizi familia za kawaida wamegeuzwa punda wa familia, yani mtu ni kama anasindikiza wengine duniani.

Kudadeki kesho ni ijumaa lazima nitoke out nikakemee pepo la umaskini.
 
Misiba yetu kulia lazima kwasababu shughuli zote za msibani utakuta unashiriki. Utakuta mtoto wa marehemu umepangwa kushughulikia jeneza. Hao msiba wao ni wa serikali. Wao ni karibia tu sawa na waombolezaji wengine. Na msibani kuna vishindo vya wakubwa na watu wa usalama.
 
Ni watu wenye uwelewa wa juu, wanajua kua kifo sio tokeo la dhambi bali ni Sheria ya ulimwengu. Watu wanaolia ni either ni wajinga au waigizaji. Usipojijua wewe ni nini, ukajichukulia wewe nihuu mwili basi utalia sana ukidhani aliyekufa ni sehemu ya mali Yako kwakua una attachment naye. Hatuhitji kulia tunapaswa ku-celebrate kwakushare maisha naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…