REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Mpaka umeona makosa basi umeelewa nilichosema= fulani.
Hivi hizo hule mlienda kusomea ujinga?
Nimeelewa, nisingeelewa nisingeweza kukusahihisha.Mpaka umeona makosa basi umeelewa nilichosema
MSiba wa kishua
😁jamani unafanya watu tucheke msibani kwann lkn😂Kwo mtoto mmoja sio wa mafuru
Mbona kuna misiba mingine ya kishuwa lkn ngumi mkononi...ugomvi wa MaliMSiba wa kishua
Yeah.....ni hivyo tu, bond ndogo.Labda sisi wa uswazi huwa tuna bond sana na familia kuliko hao wa mageti makali ndio maana tunakua na hisia kali😂
Wakishua unadhani wan wtt kwa mafungu!? Itokee tuKumbe ana wtt 2 tuu?
Mbona wakishua sie tunazaa kama kyukyu...sema ni vile mnataka...Magufuli kikwete wana wtt kibaoWakishua unadhani wan wtt kwa mafungu!? Itokee tu
Nadhani ndio hivyoWatakuwa wako associated zaidi na ujombani. Watoto wa hivyo ndio Mara nyingi wako hivyo.
Una uhakika?Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Madingi wengi hasa wenye hela wanakuwaga wakuda wakuda unakuta watoto hawana uhuru wa hela za wazazi sasa hapo ukifa wanawaza kamgao ka mali zakoMuda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Madingi wengi hasa wenye hela wanakuwaga wakuda wakuda unakuta watoto hawana uhuru wa hela za wazazi sasa hapo ukifa wanawaza kamgao ka mali zako