Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

Ukipata jibu ndio utapata ili kwanini msiba wa baba mzazi alikua anacheka muda mwingi lakini kwa jiwe alilia mpaka macho yakavimba
 
Attachments

  • 20210326_195325.jpg
    20210326_195325.jpg
    99.7 KB · Views: 3
Hilo gari linoapakiza coffin ni gari aina gani?
 
Attachments

  • 059c0fc6e5f9477583676543377aef6c.mp4
    1.8 MB
Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
Madingi wengi hasa wenye hela wanakuwaga wakuda wakuda unakuta watoto hawana uhuru wa hela za wazazi sasa hapo ukifa wanawaza kamgao ka mali zako
 
Back
Top Bottom