Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WANASOMA SHULE ZA VIJIKO VIKUBWA VYA KUPAKULIA MBOGAWatoto na wajukuu wa viongozi wakuu wa umma (Rais, Marais wastaafu, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge, wakurugenzi wa wilaya, wakuu wa mashirika ya umma, wakuu wa chama tawala, nk) hawako kwenye shule za umma wanazoziongoza kwanini? Ni watoto na wajukuu wa wakulima, wafugaji na watumishi wadogo wa umma wanaosoma kwenye shule za umma.
Hali hii iendelee hivihivi au kuna kitu kifanyike?
kwa kodi zetuNi kwa sababu hizo shule zimejengwa mahsusi kwa ajili ya watoto wa masikini! Na siyo matajiri wakkwemo hao watoto wa wanasiasa wanaojilimbikizia mali kutokana na kodi za wananchi masikini.
Watoto wa wanasiasa wanasoma Ulaya, Marekani, Feza, St Francis, nk.
Halafu watoto wetu ndiyo wanasoma kwenye shule wanazolishwa kande/ugali maharage wakati wa mchana, baada ya sisi wazazi kuchangishwa debe mbili za mahindi, na debe moja la maharage pamoja na elfu 20-50 kwa mwaka.WANASOMA SHULE ZA VIJIKO VIKUBWA VYA KUPAKULIA MBOGA
SOMENI SANA WISDOM BOOK MJUE DUNIA INA WASHENZIHalafu watoto wetu ndiyo wanasoma kwenye shule wanazolishwa kande/ugali maharage wakati wa mchana, baada ya sisi wazazi kuchangishwa debe mbili za mahindi, na debe moja la maharage pamoja na elfu 20-50 kwa mwaka.
wanatufanya wajinga kwelikweli. Eti mbuga zetu, misitu yetu, madini yetu, gesi yetu, bandari zetu, biashara zetu na kodi zetu vyote hivi havitoshi kutoa elimu nzuri ambayo hata watoto wao wanaweza kusoma humo. Halafu wanatuomba kura sisi mabwege na sisi mabwege tunatoa kura. KAMA CHAKULA WANACHOTUPIKIA NI KIZURI NA SALAMA BASI TULE NAO SAHANI MOJA.Halafu watoto wetu ndiyo wanasoma kwenye shule wanazolishwa kande/ugali maharage wakati wa mchana, baada ya sisi wazazi kuchangishwa debe mbili za mahindi, na debe moja la maharage pamoja na elfu 20-50 kwa mwaka.
Tutaongea tu lugha moja. Ni suala tu la muda.Huwa nina mashaka makubwa sana na uzalendo wa viongozi wetu wengi.
Mfano waziri wa fedha.
Ulikuwa upo sahihi Tangu awali, na ulieleweka vizuri.Mkuu namaanisha masomo mengine kama sayansi kufundishwa kwa mtaala wa kiswahili, afu wakifika form 1 wanabadilishiwa GIA angani
Unataka wasijue Kiingereza Ili wawarithi wao! Shenzi type!Utaambiwa una wivu 🤣🤣
Kuna mzazi asietaka kumsomesha mtoto wake shule nzuri?Watoto na wajukuu wa viongozi wakuu wa umma (Rais, Marais wastaafu, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge, wakurugenzi wa wilaya, wakuu wa mashirika ya umma, wakuu wa chama tawala, nk) hawako kwenye shule za umma wanazoziongoza kwanini? Ni watoto na wajukuu wa wakulima, wafugaji na watumishi wadogo wa umma wanaosoma kwenye shule za umma.
Hali hii iendelee hivihivi au kuna kitu kifanyike?
Huna hela wewe tafuta hela utoe mentality ya kimasikini,Kwanza niulize,
Hivi watoto wa Hayati Mwl.J.K.Nyerere walisoma shule za umma?.
Mimi nikiwa rais watoto wangu watasoma shule za umma zikiwemo hizi za kata(kwa sekondari).