Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
English ndiyo kila kitu hakuna namnaMkuu kiswahili ndio lugha ya taifa kufundishwa shuleni ni wajibu,lakini kujifunza lugha ya kiingereza kama tunavyojifunza katika masomo mengine kama hesabu,chemia na mengine kwa kuwa kiswahili ni changa hahijitosherezi kwenye nyanja nyingine.
Matokeo yake hata kazi ya udereva vijana wetu kupata kazi Saudia,Iraq,Bahrain,Kuwait, Qatar, UAE,hawapati kwa kuwa communication skills wanataka English tena basic.Lakini Kenya na Uganda wako madereva kwa maelfu.