Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Kwasababu ni viongozi wa ummaWatoto na wajukuu wa viongozi wakuu wa umma (Rais, Marais wastaafu, mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge, wakurugenzi wa wilaya, wakuu wa mashirika ya umma, wakuu wa chama tawala, nk) hawako kwenye shule za umma wanazoziongoza kwanini? Ni watoto na wajukuu wa wakulima, wafugaji na watumishi wadogo wa umma wanaosoma kwenye shule za umma.
Hali hii iendelee hivihivi au kuna kitu kifanyike?