Kwanini watoto wa viongozi wa umma hawasomi shule za umma?

English ndiyo kila kitu hakuna namna
 
Watu wenye akili na mtazamo kama wako ndio mnapendwa sana serikali ya ccm Ili waendele kuwatawa wewe na kizazi chako

Ebu niambie ofisi gani nyeti ya serikali inatumia lugha ya kiswahili?

Wewe unajua umuhimu wa kiswahili katika nchi hi kuliko Mawaziri ? Mbona wao watoto wao wanawapeleka English Media
 

Ni watoto na wajukuu wa wakulima, wafugaji na watumishi wadogo wa umma wanaosoma kwenye shule za umma.

Hali hii iendelee hivihivi au kuna kitu kifanyike?

Lakini pia Tanzania viongozi wengi ni wazee

Walishamaliza kusomesha
makonda ni mzee? anahubiri uzalendo lakini mwanawe hasomi shule za kizalendo.
 
Lazima zitungwe sheria kali watoto wa viongozi wote lazima wasome shule za umma
ndo magufuli alikataa viongozi kutibiwa nje ya nchi, yeye na familia yake kutibiwa kwenye hospitali za umma ilisababisha yeye kuboresha hospitali za umma kama muhimbili na Mzena na nyinginezo. Kama viongozi wa umma watapeleka watoto wao kusoma kwenye shule za umma itasaidia kuziboresha.
 
Iwe ni sheria, haiwezekani unasema umeboresha huku mtoto wako hasomi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…