Kwanini watoto wa wanasiasa wakubwa Tanzania huwa hawana uwezo wa kujiajiri?

Hii yote inatokana na "socialism hangover" kwa kuwa wawapo madarakani wanajifanya wao ni maskini na pia ni watetezi wa wanyonge. Kwa hiyo basi watokapo madarakani, licha ya kuwa na ukwasi mkubwa, inawapasa waishi kinafiki ili wadanganyika wasiweze kuwatambua.

Viongozi waliohudumu wakati wa utawala wa Mwl. Nyerere ndiyo waliishi na kujijenga kwa vipato vyao halali. Awamu zote zilizofuata, viongozi wake ni wapigaji wakubwa wa dili na majizi ya kutupwa ya mali za taifa letu.

Nchi za kibepari suala la kuwa na mali si la kificho, cha msingi tu, uwe na uthibitisho kuwa unazimiliki kihalali. Ubepari unaishi katika kanuni kuu moja tu, "somebody can be better off at the expense of the other"

Kwa hiyo basi mtu kujinufaisha na kutajirika kutokana na fursa aliyokuwa nayo wala siyo "big deal" Ni jinsi mtu mwenyewe anavyochachalika kujilimbikizia mali zake, huku akiwadhulumu kwa akili maskini wengi wasiojitambua.

Jaribu kufuatilia kampeni zinazoendelea za uchaguzi wa Rais wa Kenya, huwezi kusikia mgombea akijinasibu kwa maneno kama "kuwakomboa wanyonge" ama "kutetea wanyonge". Wanatambua kuwa na kundi kubwa la hao wanyonge ndiyo fursa pekee na nzuri kwao kuweza kuendelea kulimbikiza mali.

Mnyonge mkope fedha kidogo kidogo akishindwa kukulipa chukua mali zake ambazo ameziweka kama dhamana, mnyonge mtumikishe kazi nyingi kwa "low pay", hizi zote ni fursa za kuweza kupata kongole kutoka kwao hata pale unapoanikwa hadharani utajiri wako.
 
Wanasiasa wa Tanzania hawana akili, hivyo nasaba zao hazina akili pia. Wakizaa watoto wanakuwa vilaza kama wao na hakujawahi kuwepo bilionea kilaza. Msitake kusema wamezoea hela za wizi, kwani mtoto wa kigogo akichaguliwa kwenye taasisi ya serikali anashindwa kuwa na biashara binafsi?

Wanazo hizo biashara binafsi tena wengine za mitaji ya mabilioni ila tunarudi palepale, baba kilaza alizaa mtoto kilaza kwahiyo wana biashara za kuwekeza bilioni moja ukapata faida ya milioni 80 kwa mwaka ndio maana wanalazimika kuishi kwenye teuzi. Tanzania ina fursa nyingi sana za kumfanya mtu smart kuachana na teuzi za ukuu wa wilaya kama kina Kipi Warioba na kwenda kwenye biashara. Akina Mo Dewji waliingia kwenye siasa kulinda maslahi yao sio kuchukua mishahara ila hawa wakurugenzi kina Lubuva Jr. ni uwezo finyu wa kuendesha biashara unawafanya wazubae kwenye V8 za serikali.
 
Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache

Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi

Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa kusimamia biashara za wazazi wao

Unakuta ukoo mzima wanajazana tu kwenye siasa wakati mzazi ana vitega uchumi kibao anaachia watu wabaki waendeshe sio mitoto yake aliyozaa

Nitatoa mfano halisi kuna Mbunge Kishimba mbunge wa Kahama anamililiki mibiashara kibao ikiwemo Imalaseko supermarket lakini kuna siku alisimama bungeni kulalamika kuwa mwanawe kamaliza degree na serikali haijamwajiri!! Inashangaza na uzee ule hana hata succession plan ya mtoto kwenye bussines zake

Shida nini .Wanasiasa wakubwa Tanzania wana kila kitu fedha,bishara nk mitoto yao kujiajiri inakuwa shida ok hata kama haitaki kujiajiri badi ikasimamie biashara za wazazi wao bado haiwezi inataka ajira na teuzi za kisiasa tu

Tatizo hivi ni nini? Ni laana au kitu gani

Halafu wazazi wao ndio kutwa utakuta wanabwata majukwaani ohh watoto wa maskini wajiajiri!!!! Wakati wa kwao pamoja na mazingira yote kuwepo mazuri kwao mitoto yao haina uwezo wa kujiajiri

Shida nini?

Serious somebody must do a research on this
Mleta mada umeandika bila kufanya utafiti wa tofauti kati ya mifumo ya siasa ya Kenya [emoji1139] na Tanzania [emoji1241].

Kwanza uelewe kwamba mwanasisasa wa Kenya pia ni mfanyabiashara.
Wakenya ni Capitalists.

Pili uelewe kwamba mwanasisasa wa Tanzania, alifungwa na mfumo wetu wa siasa za ujamaa na kujitegemea.
Socialists.

Sasa hapo utaona wazi chimbuko la swali lako,lakini pia jibu lake bila kuhitaji maneno mengi.

Tatu umekosea sana kumuita Gideon Moi kama mfanyabiashara maarufu Kenya wakati si kweli.
Bali anachokifanya ni kusimamia utajiri wa mali za marehemu Baba yake.

Familia ya Moi inamiliki property na maeneo ya ardhi ikiwemo mashamba makubwa sehemu mbalimbali nchini humo.
Ambayo upatikanaji wake ulikuwa na utata mwingi

Jambo ambalo hivi sasa linaisumbua familia hiyo kwa utitiri wa kesi kadhaa za madai ya ardhi.

Kwa
 
Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache

Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi

Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa kusimamia biashara za wazazi wao

Unakuta ukoo mzima wanajazana tu kwenye siasa wakati mzazi ana vitega uchumi kibao anaachia watu wabaki waendeshe sio mitoto yake aliyozaa

Nitatoa mfano halisi kuna Mbunge Kishimba mbunge wa Kahama anamililiki mibiashara kibao ikiwemo Imalaseko supermarket lakini kuna siku alisimama bungeni kulalamika kuwa mwanawe kamaliza degree na serikali haijamwajiri!! Inashangaza na uzee ule hana hata succession plan ya mtoto kwenye bussines zake

Shida nini .Wanasiasa wakubwa Tanzania wana kila kitu fedha,bishara nk mitoto yao kujiajiri inakuwa shida ok hata kama haitaki kujiajiri badi ikasimamie biashara za wazazi wao bado haiwezi inataka ajira na teuzi za kisiasa tu

Tatizo hivi ni nini? Ni laana au kitu gani

Halafu wazazi wao ndio kutwa utakuta wanabwata majukwaani ohh watoto wa maskini wajiajiri!!!! Wakati wa kwao pamoja na mazingira yote kuwepo mazuri kwao mitoto yao haina uwezo wa kujiajiri

Shida nini?

Serious somebody must do a research on this
Wanarithi kazi za wazazi wao
Kama ilivyo kwa wafanyabiashara, wacheza mpira nk
 
Hata hao Wakenya unadhani wanajiajiri kwa kuuza machungwa au kufanya connection ya kubugia tenda za hapa na pale ?

Anyway an Apple does not fall far from a Tree (nategemea hao watoto wao pia wawe wanasiasa) na watoto wa Bhakresa na kina MO waingie kulekule kwenye uwekezaji....

Ifike wakati tugundue kwamba kujiajiri is not for everyone ni for selected few...., inahitaji guts, discipline na experience more than anything.... (wanasiasa wengi wanaoingia / watakaoingia huko wengi wanaingia kwa upigaji sababu ya favoritism)
 
Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache

Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi

Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa kusimamia biashara za wazazi wao

Unakuta ukoo mzima wanajazana tu kwenye siasa wakati mzazi ana vitega uchumi kibao anaachia watu wabaki waendeshe sio mitoto yake aliyozaa

Nitatoa mfano halisi kuna Mbunge Kishimba mbunge wa Kahama anamililiki mibiashara kibao ikiwemo Imalaseko supermarket lakini kuna siku alisimama bungeni kulalamika kuwa mwanawe kamaliza degree na serikali haijamwajiri!! Inashangaza na uzee ule hana hata succession plan ya mtoto kwenye bussines zake

Shida nini .Wanasiasa wakubwa Tanzania wana kila kitu fedha,bishara nk mitoto yao kujiajiri inakuwa shida ok hata kama haitaki kujiajiri badi ikasimamie biashara za wazazi wao bado haiwezi inataka ajira na teuzi za kisiasa tu

Tatizo hivi ni nini? Ni laana au kitu gani

Halafu wazazi wao ndio kutwa utakuta wanabwata majukwaani ohh watoto wa maskini wajiajiri!!!! Wakati wa kwao pamoja na mazingira yote kuwepo mazuri kwao mitoto yao haina uwezo wa kujiajiri

Shida nini?

Serious somebody must do a research on this
Watoto wengi wa wanasiasa Tanzania ni malanguzi ya kuhodhi mali za umma, kujimilikisha ardhi ndio maana kimbilio lao ni CCM ili wasiguswe na mfumo.
 
Wajiajiri waache kula pesa za wajinga.

nchi ambayo kila saa wananchi wake wanabishana simba na yanga

Wananchi ambao badala ya kutafuta connection za kazi wako busy kutafuta connection ya picha za utupu au watu wakifanya mapenzi.
 
Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache

Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi

Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa kusimamia biashara za wazazi wao
wakenya ubepari upo kwenye damu. wazazi wanalea watoto wao kwa approach za kibepari na ubebari ni unyang'au.

ndio maana kwao ni kawaida kupata wafanyabiashara wakubwa na matajiri ni wanasiasa.

kwetu ni tofauti, ujamaa umetuharibu, wanasiasa wetu wanalea watoto wao kwa approach za kijamaa. hii ndio watoto wao wanakimbizana na watoto wa wakulima kwenye ajira wizarani, mashirika na taasisi za umma.
 
Sasa hapo utaona wazi chimbuko la swali lako,lakini pia jibu lake bila kuhitaji maneno mengi.
umekosea sana kumuita Gideon Moi kama mfanyabiashara maarufu Kenya wakati si kweli.
Bali anachokifanya ni kusimamia utajiri wa mali za marehemu Baba yake.

Familia ya Moi inamiliki property na maeneo ya ardhi ikiwemo mashamba makubwa sehemu mbalimbali nchini humo.
Ambayo upatikanaji wake ulikuwa na utata mwingi
At least Gideon Moi ni mtoto wa mwanasiasa ambaye ana guts za kujiajiri kusimamia biashara za marehemu baba yake hata ziwe na utata mtoto yuko strong

Tanzania wanasiasa wakubwa wengi wana biashara kibao tena kubwa Mitoto yao inasubiri tu ajira na teuzi haina guts za kujiajiri kusimamia hizo biashara hata kama ni biashara zisizo na utata wowote haitaki inataka ajira na teuzi za kisiasa
 
Ukiangalia Kenya watoto wengi wa wanasiasa wakubwa hujiajiri isipokuwa wachache

Mfano tajiri mfanyabiashara mkubwa kenya ni Gideon Moi mtoto wa Raisi wa zamani wa kenya Marehemu Daniel Arap Moi

Tanzania ni kinyume mitoto ya viongozi wakubwa wa siasa haina uwezo wa kujiajiri hata uwezo tu wa kusimamia biashara za wazazi wao

Unakuta ukoo mzima wanajazana tu kwenye siasa wakati mzazi ana vitega uchumi kibao anaachia watu wabaki waendeshe sio mitoto yake aliyozaa

Nitatoa mfano halisi kuna Mbunge Kishimba mbunge wa Kahama anamililiki mibiashara kibao ikiwemo Imalaseko supermarket lakini kuna siku alisimama bungeni kulalamika kuwa mwanawe kamaliza degree na serikali haijamwajiri!! Inashangaza na uzee ule hana hata succession plan ya mtoto kwenye bussines zake

Shida nini .Wanasiasa wakubwa Tanzania wana kila kitu fedha,bishara nk mitoto yao kujiajiri inakuwa shida ok hata kama haitaki kujiajiri badi ikasimamie biashara za wazazi wao bado haiwezi inataka ajira na teuzi za kisiasa tu

Tatizo hivi ni nini? Ni laana au kitu gani

Halafu wazazi wao ndio kutwa utakuta wanabwata majukwaani ohh watoto wa maskini wajiajiri!!!! Wakati wa kwao pamoja na mazingira yote kuwepo mazuri kwao mitoto yao haina uwezo wa kujiajiri

Shida nini?

Serious somebody must do a research on this
Sio tu watoto wa wanasiasa bali hata watoto wa lumumba pia wao kutwa wanafikiria kuteuliwa tu
 
Wanarithi kazi za wazazi wao
Kama ilivyo kwa wafanyabiashara, wacheza mpira nk
Unakuta sasa mzazi ana vitega uchumi vya uhakika kibao kuanzia real estates, mahoteli,mashamba productive,nk na biashara nyingi za uhakika hizo nani azisimamie wakati hao wazazi wake wanazeeka sana na uwezo wao kuendesha unaelekea kufa na wao wanaelekea umri ule wa kizee wa kutojitambua? Nani asimamie hata kuwezesha kupeleka hizo business next level ya juu kama mtoto wa Marehemu Raisi Daniel Arap Moi wa Kenya mtoto Gideon Moi alivyofanya?
 
Matoto ya mavi ongozi yetu yaliyo mengi hayana akili,

Bila akili ya kuzaliwa huwez jiajiri
Naunga mkono hoja hiyo mitoto yao bila mbeleko haibebeki

Wazazi wao walijitahidi mno kutafuta Mali na kuanzisha biashara lakini mitoto yao hopeless kabisa mingi inategemea tu kubebwa kwa mbeleko wakati ni mijitu mizima mingine imeoa au kuolewa na ina watoto

Nadhani ifike mahali viongozi was juu kisiasa wajitathimini kuhusu mitoto yao hasa na wafikirie mini kifanyike walau uwekezaji wao uwe halali au haramu uwe na litoto linaloweza endeleza

Trend iliyopo sasa watoto wengi wa wanasiasa wakubwa ni kama kuku wa mdondo legelege mno wanataka tu ajira na teuzi za kisiasa kama watoto wa maskini wategemea pesa za kaya maskini zinazotegemea TASAF hili halijakaa sawa wajitathmini wakae na watoto wao waongee
 
Watoto wa wakubwa huku kwetu ni "wazalendo" huwa wanaitikia wito wakuitumikia Jamuhuri ndio maana huwa wanaacha kujishughulisha na mambo mengine
 
Wamejazana taasisi zote nyeti.

Na nafasi zote muhimu.

Na nafasi za kisiasa pia wamezikamata.
Wanasema..'maji hufuata mkondo'

Huenda wako kwenye mkondo wa vyeo...

Ila kwa mtindo huu ni ngumu kupata mawazo mapya maana fikra zitakua zile zile.
 
Back
Top Bottom