Kwanini watu hawawapi watoto wao majina haya?

mmesahau matatizo, chausiku, masumbuko, majaliwa, siwatu na yakufanana na hayo.....
 
Herode
Farao
Pilato
Nebucadreza
Etc...
Ongezea na wewe majina ambayo watu hawapendi kuwaita watoto wao........

Wasalaam
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
UMEOLEWA? UNA MTOTO/WATOTO? KWA NINI USITUMIE HAYO MAJINA? NI KUAMUA TU. UKIOLEWA UKAZAA UNAWEZA CHAGUA JINA UTAKALO.
 
Herode
Farao
Pilato
Nebucadreza
Etc...
Ongezea na wewe majina ambayo watu hawapendi kuwaita watoto wao........

Wasalaam
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Hapo mengine ni title tu.
Farao ni kama Mangi au Mtemi
likewise Pilato
 
Nimesoma na mtu anaitwa Herode. Alikuwa mbishi sana.
Halafu kwenye maisha yangu sijawahi kukutana na zakayo mrefu.
Zakayo mrefu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
UMEOLEWA? UNA MTOTO/WATOTO? KWA NINI USITUMIE HAYO MAJINA? NI KUAMUA TU. UKIOLEWA UKAZAA UNAWEZA CHAGUA JINA UTAKALO.
Mkuu mm ni MWANAUME siwezi kuolewa....
Hapa tunajadili kwanini watu wengi hawapendi kuyatumia majina Fulani...😊
Asante Kwa mchango wako Chizi Maarifa
 
Nakumbukaga kuna mwaka niliendaga masasi vijijini uko kuna mwamba alikua anaitwa herode😁😁😁 anakunywa pombe kama maji sasa akishalewa anaanza kujisifia "mimi ndo mfae herooooode"
Haaahaa,
 
Herode
Farao
Pilato
Nebucadreza
Etc...
Ongezea na wewe majina ambayo watu hawapendi kuwaita watoto wao........

Wasalaam
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Hayo ni majina waliyopewa na baba zao,ni ya kwao.

Mimi nawapatia watoto wangu majina ya kwangu sio ya watu wengine
 
Hizo ni Nick name za HomeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kuna Mwamba anaitwa Ponsyooo....usikutwe na kesi umeishaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…